Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:47
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2JN:1 


2JN 1:1     Alignment score: 0.293 → 0.31
From the elder to the chosen lady and her children , whom I love in truth and not only I , but also all those who have known the truth
Kutoka kwa mzee kwenda kwa mwanamke mteule na watoto wake , niwapendao katika kweli na si mimi tu , bali na wote wale wanao ifahamu kweli ,


2JN 1:2     Alignment score: 0.367
because of the truth that remains in us and will be with us forever :
kwa sababu ya kweli iliyomo ndani yetu na itakayodumu pamoja nasi milele .
2JN 1:3     Alignment score: 0.69
Grace , mercy , and peace will be with us from God the Father and from Jesus Christ , the Son of the Father , in truth and love .
Neema , rehema , amani zitakuwa nasi kutoka kwa Mungu Baba na kutoka kwa Yesu Kristo , Mwana wa Baba , katika kweli na pendo
.
2JN 1:4     Alignment score: 0.398 → 0.409
I rejoice greatly that I have found some of your children walking in truth , just as we have received this commandment
from the Father .
Ninafurahi sana kwamba nimegundua baadhi ya watoto wanaenenda katika kweli , kama vile tulivyoipokea amri hii kutoka kwa Baba .
2JN 1:5     Alignment score: 0.236 → 0.241
Now I plead with you , lady not as though
I were writing to you a new commandment , but one that we have had from the beginning that we should love one another .
Na sasa nakusihi wewe , mwanamke , siyo kwamba nakuandikia amri mpya , bali ile tuliyokuwa nayo tokea mwanzo , kwamba tunapaswa kupendana sisi kwa sisi . Na huu ndiyo upendo , tunaopaswa kuenenda nayo , kulingana na amri yake .
2JN 1:7     Alignment score: 0.426 → 0.432
For many deceivers have gone out into the world , and they do not confess that Jesus Christ came in the flesh . This is the deceiver and the antichrist .
Kwa kuwa wadanganyifu wengi wametawanyika katika ulimwengu , na hawakiri kwamba Yesu Kristo alikuja katika mwili . Huyu
ndiye mdanganyifu na mpinga Kristo .
2JN 1:8     Alignment score: 0.234
Look to yourselves , that you do not lose
the things for which we have labored , but so that you may receive a full reward .
Jiangalieni wenyewe kwamba hampotezi mambo yale tuliyokwisha fanyia kazi , lakini ili kwamba mweze kuipokea tuzo kamili .
2JN 1:9     Alignment score: 0.347
Whoever goes on ahead and does not remain in the teaching of Christ does not have God . The one who remains in the teaching , this
one has both the Father and the Son .
Yeyote aendeleae mbele na hadumu katika fundisho la Kristo , hana Mungu . Yeye adumuye katika fundisho anaye Baba na Mwana pia .
2JN 1:10     Alignment score: 0.237 → 0.246
If anyone comes to you and does not bring this teaching , do not receive him into your house and do not greet him .
Kama mtu anakuja kwenu na haleti fundisho hili , msimkaribishe katika nyumba zenu na msimsalimie .
2JN 1:11     Alignment score: 0.11 → 0.228
For the one who speaks a greeting
to him participates in his evil deeds .
Kwa kuwa amsalimuye hushiriki katika matendo yake maovu .
2JN 1:12     Alignment score: 0.354 → 0.355
I have many things to write to you , but I did not wish to write them with paper and ink . However , I hope to come to you and speak face to face , so that our joy will be complete .
Ninayo mambo mengi ya kukuandikia , na sikutaka kuyaandika
kwa karatasi na wino . Lakini natumaini kuja kwenu na kuongea uso kwa uso , kwamba furaha yetu ipate kufanywa kamili .
2JN 1:13     Alignment score: 0.431
The children of your chosen sister greet you .
Watoto wa dada yenu mteule wanawasalimia
.
2JN 1     Average alignment score: 0.358 for 12 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2JN:1