Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:45
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of ACT:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28 


ACT 1:1     Alignment score: 0.199 → 0.236
The former account I wrote
, Theophilus , told all that Jesus began to do and to teach ,
Katika kitabu cha kwanza , ewe ndugu Theofilo , nilikiandika nikisema yote Yesu aliyoanza kufanya na kufundisha ,


ACT 1:2     Alignment score: 0.403
until the day that he was taken up , after he had given commands through the Holy Spirit to the apostles he had chosen .
mpaka siku ambayo Yeye alipokelewa juu . Hii ilikuwa baada ya kutoa amri kupitia Roho Mtakatifu kwa mitume aliokuwa amewachagua .
ACT 1:3     Alignment score: 0.384 → 0.383
After his suffering , he presented himself alive to them with many convincing proofs . For forty days he appeared to them , and he spoke about the kingdom of God .
Baada ya mateso yake , Yeye alionekana kwao akiwa hai pia na vithibitisho vingi
vikishuhudia . Kwa siku arobaini alijidhihirisha kwao , na alizungumza kuhusu ufalme wa Mungu .
ACT 1:4     Alignment score: 0.398 → 0.437
When he was meeting together with them , he commanded them not to leave Jerusalem , but to wait for the promise of the Father , about which he said , " You heard from me
Alipokuwa akikutana pamoja nao , aliwaamuru wasiondoke Yerusalemu , lakini wasubiri kwa ajili ya ahadi ya Baba , ambayo , alisema , Mlisikia kutoka kwangu
ACT 1:5     Alignment score: 0.557
that John indeed baptized with water , but you will be baptized with the Holy Spirit in a few days . "
kwamba Yohana alibatiza kabisa kwa maji , lakini mtabatizwa kwa Roho Mtakatifu kwa siku hizi chache .
ACT 1:6     Alignment score: 0.37 → 0.369
When they were assembled together they asked him , " Lord , is this the time you will restore the kingdom to Israel ? "
Na walipokuwa wamekutanika pamoja walimuuliza , Bwana , je , huu ndio muda utakaowarudishia Israeli ufalme ?
ACT 1:7     Alignment score: 0.364
He said to them , " It is not for you to know the times or the seasons which the Father has determined by his own authority .
Yeye akawaambia , Siyo sawa kwenu kujua wakati au majira ambayo Baba amekusudia kwa mamlaka yake mwenyewe .
ACT 1:8     Alignment score: 0.528 → 0.528
But you will receive power when the Holy Spirit comes upon you , and you will be my witnesses both in Jerusalem and in all Judea and Samaria , and to the ends of the earth . "
Lakini mtapokea nguvu , wakati Roho Mtakatifu atakapokuja juu yenu , na ninyi mtakuwa mashahidi wangu kote katika Yerusalemu na Yudea yote na Samaria mpaka mwisho wa dunia .
ACT 1:9     Alignment score: 0.374 → 0.371
When the Lord Jesus had said these
things , as they were looking up , he was raised up , and a cloud hid him from their eyes .
Bwana Yesu alipokwisha yasema haya , wakiwa wanatazama juu , Yeye aliinuliwa juu , na wingu likamfunika wasimwone kwa macho yao .
ACT 1:10     Alignment score: 0.33 → 0.332
While they were looking intensely to heaven as he went , suddenly , two men stood by them in white clothing .
Wakati wanatazama mbinguni kwa makini akienda
, ghafla , watu wawili walisimama katikati yao wamevaa mavazi meupe .
ACT 1:11     Alignment score: 0.377 → 0.38
They said , " You men of Galilee , why do you stand here looking into heaven ? This Jesus , who has been taken up from you into heaven , will return in the same manner as you saw him going into heaven . "
Walisema , Enyi watu wa Galilaya , kwa nini mnasimama hapa mkitazama mbinguni ? Huyu
Yesu aliyepaa juu mbinguni atarudi kwa namna ile ile kama mlivyomuona akienda mbinguni .
ACT 1:12     Alignment score: 0.412
Then they returned to Jerusalem from the mountain that is called Olives , which is near to Jerusalem , a Sabbath day 's journey .
Ndipo wakarudi Yerusalemu kutoka kwenye mlima wa mizeituni , ambao
uko karibu na Yerusalemu , kiasi cha umbali wa kutembea mwendo wa Sabato .
ACT 1:13     Alignment score: 0.57 → 0.585
When they arrived , they went up into the upper chamber , where they were staying . They were Peter , John , James , Andrew , Philip , Thomas , Bartholomew , Matthew , James son of Alphaeus , Simon the Zealot , and Judas son of James .
Walipofika walikwenda ghorofani walikokuwa wakikaa . Nao ni Petro , Yohana , Yakobo , Andrea , Filipo , Thomaso
, Batholomayo , Mathayo , Yakobo Mwana wa Alfayo , Simoni Zelote na Yuda Mwana wa Yakobo .
ACT 1:14     Alignment score: 0.369 → 0.392
They all were devoted with one purpose to prayer , together with the women , and Mary the mother of Jesus , and his brothers .
Wote walikuwa wamejitolea kwa nia moja kuomba , miongoni mwao walikuwemo wanawake , Mariamu Mama yake Yesu , na kaka zake .
ACT 1:15     Alignment score: 0.477
In those
days Peter stood up in the midst of the brothers , about 120 names , and said ,
Katika siku zile Petro alisimama katikati ya ndugu , kama watu 120 , akasema ,
ACT 1:16     Alignment score: 0.379 → 0.379
" Brothers , it was necessary that the scripture
should be fulfilled , that the Holy Spirit spoke before by the mouth of David concerning Judas , who guided the ones who arrested Jesus .
Ndugu , ilikuwa lazima kwamba maandiko yatimizwe , ambapo zamani Roho Mtakatifu alisema kwa kinywa cha Daudi kuhusiana na Yuda , ambaye aliwaelekeza wale waliomkamata Yesu .
ACT 1:17     Alignment score: 0.232
For he was one of us and received a share of this ministry . "
Kwa kuwa yeye alikuwa mmoja wetu na alipokea fungu lake la faida katika huduma hii .
ACT 1:18     Alignment score: 0.263 → 0.282
( Now this man bought a field
with the earnings he received for his wickedness , and there he fell headfirst , and his body burst open , and all his intestines poured out .
( Sasa mtu huyu alinunua eneo kwa kile alichokipokea kwa uovu wake na hapo alianguka akitanguliza kichwa , mwili ukapasuka na matumbo yake yote yakamwagika .
ACT 1:19     Alignment score: 0.442
All those living in Jerusalem heard about this , so they called that field
in their language " Akeldama , " that is , " Field of Blood . " )
Wote walioishi Yerusalemu walisikia kuhusu hili , hivyo eneo hilo wakaliita kwa lugha yao Akeldama , kwamba ni Shamba la Damu . )
ACT 1:20     Alignment score: 0.325
" For it is written in the Book of Psalms , ' Let his field
be made desolate , and do not let even one person live there ' ; ' Let someone else take his position of leadership . '
Kwenye kitabu cha Zaburi imeandikwa , Ngoja eneo lake liwe mahame na asiruhusiwe hata mtu mmoja kuishi pale ; Acha mtu mwingine achukue nafasi yake ya uongozi .
ACT 1:21     Alignment score: 0.257 → 0.26
It is necessary , therefore , that one of the men who accompanied us all the time the Lord Jesus went in and out among us ,
Ni muhimu , kwa hiyo , kwamba mmoja wetu ambaye aliambatana nasi wakati wote Bwana Yesu alipotoka na kuingia kati yetu ,
ACT 1:22     Alignment score: 0.465
beginning from the baptism of John to the day that he was taken up from us , become a witness with us of his resurrection . "
kuanzia kwenye ubatizo wa Yohana mpaka siku ile alipotwaliwa juu , awe shahidi wa ufufuo pamoja nasi .
ACT 1:23     Alignment score: 0.568
They put forward two men , Joseph called Barsabbas , who was also called Justus , and Matthias .
Wakaweka mbele wanaume wawili , Yusufu aitwaye Barsaba , ambaye pia aliitwa Yusto , na Mathia .
ACT 1:24     Alignment score: 0.302
They prayed and said , " You , Lord , know the hearts of all people , so reveal which of these
two is the one whom you have chosen
Wao waliomba wakisema , Wewe , Bwana , ujuaye mioyo ya watu wote , hivyo weka wazi yupi kati ya wawili hawa ambaye umemchagua
ACT 1:25     Alignment score: 0.292
to take the place in this
ministry and apostleship from which Judas turned away to go to his own place . "
kuchukua nafasi katika huduma na utume , ambapo Yuda alitenda uovu na kwenda mahali pake .
ACT 1:26     Alignment score: 0.419 → 0.426
They cast lots for them , and the lot fell to Matthias , and he was numbered with the eleven apostles .
Wakapiga kura kwa ajili yao , na kura ikamwangukia Mathia ambaye
alihesabiwa pamoja na wale mitume kumi na moja .
ACT 1     Average alignment score: 0.4 for 26 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of ACT:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28