Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:46
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of COL:1  2  3  4 


COL 1:1     Alignment score: 0.741
Paul , an apostle of Christ Jesus through the will of God , and Timothy our brother ,
Paulo , mtume wa Kristo Yesu kwa mapenzi ya Mungu , na Timotheo ndugu yetu ,


COL 1:2     Alignment score: 0.648 → 0.65
to God 's holy people and faithful brothers in Christ who are at Colossae : May grace be to you , and peace from God our Father .
kwa watu watakatifu wa Mungu na ndugu waaminifu katika Kristo walioko Kolosai . Neema iwe kwenu , na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu .
COL 1:3     Alignment score: 0.527 → 0.528
We give
thanks to God , the Father of our Lord Jesus Christ , and we always pray for you .
Tunatoa shukrani kwa Mungu , Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo , na tunawaombea kila mara .
COL 1:4     Alignment score: 0.636 → 0.637
We have heard of your faith in Christ Jesus and of the love that you have for all God 's holy people ,
Tumesikia imani yenu katika Yesu Kristo na upendo mlionao kwa watu wote watakatifu wa Mungu ,
COL 1:5     Alignment score: 0.433 → 0.452
because of the hope reserved for you in heaven , which you heard about in the word of truth , the gospel
kwa sababu ya taraja la uhakika lililohifadhiwa mbinguni kwa ajili yenuMlisikia kuhusu taraja hiyo
ya uhakika katika neno la ukweli , injili
COL 1:6     Alignment score: 0.32 → 0.341
which has come to you . In the same way , this gospel is bearing fruit and is growing in all the world just as it has been doing among you since the day you heard it and understood the grace of God in truth .
ambayo imekuja kwenu . Na kwa njia hiyo hiyo , Injili hii inazaa tunda na inaenea ulimwenguni koteImekuwa ikifanya hivi ndani yenu tangu siku mlipoisikia na kufahamu neema ya Mungu katika kweli .
COL 1:7     Alignment score: 0.519 → 0.528
This is the gospel as you learned it from Epaphras , our beloved fellow servant , who is a faithful servant of Christ on our behalf .
Hii ndiyo injili kama mlivyojifunza kutoka kwa Epafra , mtumishi mwenzetuambaye ni mtumishi mwaminifu wa Kristo kwa ajili yetu .
COL 1:8     Alignment score: 0.498
Epaphras has made known to us your love in the Spirit .
Epafra ameufanya ujulikane kwetu upendo wenu katika Roho .
COL 1:9     Alignment score: 0.371 → 0.417
Because of this love , from the day we heard this we have not stopped praying for you . We pray that you will be filled with the knowledge of his will in all wisdom and spiritual understanding ,
Kwa sababu ya upendo huu , tangu siku tuliposikia hivi , hatujakoma kuwaombea . Tumekuwa tukiomba kwamba mtajazwa na maarifa ya mapenzi yake katika hekima yote na ufahamu wa kiroho ,
COL 1:10     Alignment score: 0.242 → 0.25
so that you will walk in a manner that is worthy of the Lord and that pleases him in every way : by bearing fruit in every good work and growing in the knowledge of God ;
Tumekuwa tukiomba kwamba mtatembea kwa ustahimilivu wa bwana katika njia zipendezazo Bwana . Tumekua tukiomba mtazaa tunda katika kila tendo jema na kwamba mtakua katika maarifa ya Mungu .
COL 1:11     Alignment score: 0.151
by being strengthened with all power , according to his glorious might , so that you may have great endurance and patience ; and by joyfully

Tunaomba muweze kutiwa nguvu katika kila uwezo kulingana na nguvu za utukufu wakekatika uvumilivu na ustahimilivu wote .
COL 1:12     Alignment score: 0.323 → 0.338
giving thanks to the Father , who made you able to have a share in the inheritance of God 's holy people in light .
Tunaomba kwamba kwa furahamtatoa shukrani kwa Baba aliyewafanya ninyi mweze kuwa na sehemu katika urithi wa waumini
katika nuru .
COL 1:13     Alignment score: 0.444
He has rescued us from the dominion of darkness and transferred us to the kingdom of his beloved Son ,
Ametuokoa kutoka katika utawala wa giza , akatuhamishia katika ufalme wa Mwana wake mpendwa .
COL 1:14     Alignment score: 0.408
in whom we have redemption , the forgiveness of sins .
Katika mwanae tuna ukombozi na msamaha wa dhambi .
COL 1:15     Alignment score: 0.571
He is the image of the invisible God , the firstborn of all creation .
Mwana ni mfano wa Mungu asiyeonekana , mzaliwa wa kwanza wa uumbaji wote .
COL 1:16     Alignment score: 0.295 → 0.311
For in him all things were created : those
in the heavens and those on the earth , the visible and the invisible things . Whether thrones or dominions or governments or authorities , all things were created through him and for him .
Kwa kuwa kwa yeye vitu vyote viliumbwa , vile vilivyoko mbinguni na vilivyoko duniani , vitu vinavyoonekana na visivyoonekana . Ikiwa ni vya enzi au mamlaka au utawala au wenye nguvu , vitu vyote viliumbwa na yeye na kwa ajili yake .
COL 1:17     Alignment score: 0.272
He himself is before all things , and in him all things hold together .
Yeye amekuwepo kabla ya vitu vyote , na katika yeye vitu vyote vinashikamana pamoja .
COL 1:18     Alignment score: 0.484 → 0.485
He is the head of the body , the church . He is the beginning , the firstborn from among the dead , so he has first place among all things .
Na yeye ndiye kichwa cha mwili yaani kanisa , yeye ni mwanzo , na mzaliwa wa kwanza kutoka miongoni mwa wafu , hivyo , ana nafasi ya kwanza miongoni mwa vitu vyote .
COL 1:19     Alignment score: 0.313
For God was pleased to have all his fullness dwell in the Son ,
Kwa kuwa Mungu alipendezwa kwamba utimilifu wake wote uishi
ndani yake ,
COL 1:20     Alignment score: 0.383
and through the Son to reconcile all things to himself , having made peace through the blood of his cross , whether things on earth or things in heaven .
na kupatanisha vitu vyote kwake kwa njia ya Mwanawe . Mungu alifanya amani kupitia damu ya msalaba wake . Akapatanisha vitu vyote
kwake mwenyewe , ikiwa ni vitu vya duniani au vitu vya mbinguni .
COL 1:21     Alignment score: 0.293
At one time you also were alienated and hostile in mind and in evil deeds .
Nanyi pia , kwa wakati mmoja , mlikuwa mmetengwa na Mungu na mlikua maadui katika akili na matendo maovu .
COL 1:22     Alignment score: 0.327
But now he has reconciled you by his physical body through death to present you holy , blameless , and above accusation
before him ,
Lakini sasa amewapatanisha ninyi kwa mwili wake kupitia kifo . Alifanya hivi ili kuwaleta ninyi watakatifu , wasio na lawama na bila dosari mbele yake ,
COL 1:23     Alignment score: 0.297 → 0.314
if indeed you continue in the faith , established and firm , not moved away from the hope of the gospel that you heard , which was proclaimed to every person created under heaven . This is the gospel of which I , Paul , became a servant .
kama mkiendelea katika imani , mliyoimarishwa na kuwa thabiti , pasipo kuondoshwa kutoka kwenye taraja la ujasiri la injili mliyoisikia . Hii ndiyo injili ambayo ilihubiriwa kwa kila kiumbe chini ya mbingu . Hii ndiyo injili ambayo kwayo mimi , Paulo , nimekuwa mtumishi .
COL 1:24     Alignment score: 0.459
Now I rejoice in my sufferings
for you , and I fill up in my flesh what is lacking of the afflictions of Christ for the sake of his body , which is the church .
Sasa nayafurahia mateso yangu kwa ajili yenu . Nami natimiliza katika mwili wangu kinachopungua kwa mateso ya Kristo kwa ajili ya mwili wake , ambao ni kanisa .
COL 1:25     Alignment score: 0.471 → 0.471
It is of this church that I am a servant , according to the stewardship from God that was given to me for you , to fulfill the word of God .
Mimi ni mtumishi wa kanisa hili , sawasawa na wajibu niliopewa kutoka kwa Mungu kwa ajili yenu , kulitimiza neno la Mungu .
COL 1:26     Alignment score: 0.302 → 0.303
This is the mystery that was hidden for ages and for generations but now has been revealed to God 's holy people .
Huu ni ukweli
wa siri iliyofichwa kwa miaka mingi na kwa vizazi . Lakini sasa imefunuliwa kwa wote waaminio katika yeye .
COL 1:27     Alignment score: 0.443
It is to them that God wanted to make known the riches of the glory of this
mystery among the Gentiles , which is Christ in you , the hope of glory .
Ni kwa wale ambao Mungu alitaka kufunua ulivyo utajiri wa utukufu wa siri ya ukweli miongoni mwa Mataifa , Ni kwamba Kristo yumo ndani yenu , ujasiri wa utukufu ujao .
COL 1:28     Alignment score: 0.245 → 0.259
We proclaim him , warning every person and teaching every person with all wisdom , so that we may present every person mature in Christ .
Huyu
ndiye tunayemtangaza . Tunamwonya kila mtu , na kumfundisha kila mtukwa hekima yote , ili kwamba tumlete kila mtu mkamilifu katika Kristo .
COL 1:29     Alignment score: 0.187
For this I labor and strive according to his energy that is at work in me in power .
Kwa ajili hii , mimi najibiidisha na kujitahidi kulingana na nguvu yake ifanyayo kazi ndani yangu katika uweza
.
COL 1     Average alignment score: 0.396 for 29 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of COL:1  2  3  4