Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:46
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of GAL:1  2  3  4  5  6 


GAL 1:1     Alignment score: 0.561 → 0.554
Paul , an apostle not an apostle from men nor by human agency , but through Jesus Christ and God the Father , who raised him from the dead
Mimi ni Paulo mtume . Mimi si mtume kutoka kwa wanadamu wala kupitia kwa mwanadamu , lakini kupitia kwa Yesu Kristo na Mungu Baba aliyemfufua kutoka kwa wafu .


GAL 1:2     Alignment score: 0.523 → 0.531
and all the brothers with me , to the churches of Galatia :
Pamoja na ndugu wote na mimi , ninayaandikia makanisa ya Galatia .
GAL 1:3     Alignment score: 0.642
Grace to you and peace from God our Father and the Lord Jesus Christ ,
Neema iwe kwenu na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu na Bwana Yesu Kristo ,
GAL 1:4     Alignment score: 0.269 → 0.269
who gave
himself for our sins so that he might deliver us from this present evil age , according to the will of our God and Father :
aliyejitoa mwenyewe kwa ajili ya dhambi zetu ili kwamba atukomboe na nyakati hizi za uovu , kutokana na mapenzi ya Mungu wetu na Baba .
GAL 1:5     Alignment score: 0.562
to him be the glory forever and ever . Amen .
Kwake uwe utukufu milele na milele . Amina
GAL 1:6     Alignment score: 0.415 → 0.416
I am amazed that you are turning away so quickly from him who called you by the grace of Christ . I am amazed that you are turning to a different gospel ,
Ninashangaa kwamba mnageukia haraka kwenye injili nyingine . Ninashangaa kwamba mnageukia mbali kutoka kwake yeye aliyewaita kwa neema ya Kristo .
GAL 1:7     Alignment score: 0.437
not that there is another gospel , but there are some men who cause
you trouble and want to distort the gospel of Christ .
Hakuna injili nyingine , lakini kuna baadhi ya watu wanao wasababishia matatizo na kutaka kubadilisha injili ya Kristo .
GAL 1:8     Alignment score: 0.416
But even if we or an angel from heaven should proclaim to you a gospel other than the one we proclaimed to you , let him be cursed .
Lakini hata kama ni sisi au malaika kutoka mbinguni atatangaza kwenu injili tofauti
na ile tuliyoitangaza kwenu , na alaaniwe .
GAL 1:9     Alignment score: 0.302 → 0.307
As we have said before , so now I say again , " If someone proclaims to you a gospel other than the one you received , let him be cursed . "
Kama tulivyo sema mwanzoni , na sasa nasema tena , Kama kuna mtu atawatangazia kwenu injili tofauti
na mliyoipokea , na alaaniwe .
GAL 1:10     Alignment score: 0.416 → 0.423
For am I now seeking the favor of men or of God ? Am I seeking to please men ? If I am still trying to please men , I am not a servant of Christ .
Kwani sasa hivi ninatafuta uthibitisho wa watu au Mungu ? Ninatafuta kuwafurahisha wanadamu ? Kama ninaendelea kujaribu kuwafurahisha wanadamu , mimi sio mtumishi wa Kristo .
GAL 1:11     Alignment score: 0.258 → 0.258
For I want you to know , brothers , that the gospel I proclaimed is not man 's gospel .
Ndugu , ninataka ninyi mjue kwamba injili niliyoitangaza haitokani na wanadamu .
GAL 1:12     Alignment score: 0.42 → 0.46
I did not receive it from any man , nor was I taught it . Instead , it was by revelation of Jesus Christ to me .
Sikuipokea kutoka kwa mtu , wala sikufundishwa . Badala yake , ilikuwa ni kwa ufunuo wa Yesu Kristo kwangu .
GAL 1:13     Alignment score: 0.299 → 0.302
You have heard about my former life in Judaism , how I was persecuting the church of God beyond measure and that I was trying to destroy it .
Mmekwisha sikia juu ya maisha yangu ya nyuma katika dini ya Kiyahudi , jinsi nilivyokuwa nikilitesa kwa ukali kanisa la Mungu zaidi ya kipimo na kuliteketeza .
GAL 1:14     Alignment score: 0.157 → 0.162
I advanced in Judaism beyond many of those
who were my own age , from out of my own people . That is how extremely zealous I was for the traditions of my fathers .
Nilikuwa nimeendelea katika Dini ya Kiyahudi zaidi ya ndugu zangu wengi Wayahudi . Nilikuwa na bidii sana katika tamaduni za baba zangu .
GAL 1:15     Alignment score: 0.421 → 0.421
But when God , who had set me apart from my mother 's womb , and who called me through his grace , was pleased
Lakini Mungu alipendezwa kunichagua mimi kutoka tumboni mwa mama . Aliniita mimi kupitia neema yake
GAL 1:16     Alignment score: 0.3
to reveal his Son in me , so that I might
preach him among the Gentiles , I did not immediately consult with flesh and blood .
kumdhihirisha Mwanawe ndani yangu , ili kwamba nimtangaze yeye miongoni mwa watu wa mataifa . Wala sikutafuta ushauri wa mwili na damu
GAL 1:17     Alignment score: 0.401 → 0.404
I did not go up to Jerusalem to those who had become apostles before me . Instead , I went to Arabia and then returned to Damascus .
na sikupanda kwenda Yerusalem
kwa wale waliokuwa mitume kabla yangu . Badala yake nilienda Uarabuni na baadae kurudi Damesiki .
GAL 1:18     Alignment score: 0.466 → 0.501
Then after three years I went up to Jerusalem to get to know Cephas and I stayed with him fifteen days .
Kisha baada ya miaka mitatu nilipanda kwenda Yerusalemu kumtembelea Kefa , nikakaa naye kwa siku kumi na tano .
GAL 1:19     Alignment score: 0.496
But I saw none of the other apostles except James , the Lord 's brother .
Lakini sikuona mitume wengine isipokuwa Yakobo , ndugu yake na Bwana .
GAL 1:20     Alignment score: 0.253 → 0.279
In what I write
to you , I assure you before God that I am not lying .
Tazama mbele za Mungu kwamba sidanganyi kile niandikacho kwenu .
GAL 1:21     Alignment score: 0.5
Then I went to the regions of Syria and Cilicia .
Kisha nilikwenda mikoa ya Shamu na Kilikia .
GAL 1:22     Alignment score: 0.356 → 0.38
I was still not known by face to the churches of Judea that are in Christ .
Sikuwa najulikana kwa macho kwa makanisa ya Uyahudi yale
yaliyokuwa katika Kristo ,
GAL 1:24     Alignment score: 0.352
So they glorified God because of me .
Wakamtukuza Mungu kwa ajili yangu .
GAL 1     Average alignment score: 0.399 for 23 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of GAL:1  2  3  4  5  6