Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:41
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of ISA:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36  37  38  39  40  41  42  43  44  45  46  47  48  49  50  51  52  53  54  55  56  57  58  59  60  61  62  63  64  65  66 


ISA 1:1     Alignment score: 0.712 → 0.712
The vision of Isaiah son of Amoz , that he saw concerning Judah and Jerusalem , in the days of Uzziah , Jotham , Ahaz , and Hezekiah , kings of Judah .
Maono ya Isaya mwana wa Amozi ambayo aliyaona kuhusu Yuda na Yerusalemu katika vipindi vya utawala wa Uzia , Yothamu , Ahazi , na Hezekia , wafalme wa Yuda .


ISA 1:2     Alignment score: 0.37 → 0.373
Hear , heavens , and give
ear , earth ; for Yahweh has spoken : " I have nourished and brought up children , but they have rebelled against me .
Sikia enyi mbingu , tega sikio ewe nchi ; kwa kuwa Yahwe amesema : Nimewatunza na kuwalea watoto , lakini wamenigeuka .
ISA 1:3     Alignment score: 0.302 → 0.318
The ox knows his owner , and the donkey his master 's feeding trough , but Israel does not know , Israel does not understand . "
Ng'ombe anamjua anayemmiliki na punda anajua sehemu anapowekewa chakula , lakini Israeli hawajui , wala hawafahamu .
ISA 1:4     Alignment score: 0.313 → 0.318
Woe ! Nation , sinners , a people weighed
down with iniquity , offspring of evildoers , sons who act corruptly ! They have abandoned Yahweh , they have despised the Holy One of Israel , they have estranged themselves from him .
Ole ! Taifa , wenye dhambi , mtu muovu , watoto wa wenye zambi , watoto wanaoenda kinyume , Wamemtelekeza Yahwe , wamedharau aliye Mtakatifu wa Israeli , wamejitenga wenyewe kutoka kwake .
ISA 1:5     Alignment score: 0.316 → 0.325
Why are you still being beaten ? Why do you rebel more and more ? The whole head is sick , the whole heart is weak .
Kwa nini ulikuwa unaendelea kupigwa ? Kwa nini unazidi kuasi zaidi na zaidi ? Kichwa chote kinauma , moyo wote ni dhaifu .
ISA 1:6     Alignment score: 0.188 → 0.21
From the sole of the foot to the head there is no health
; only wounds , and bruises , and fresh open wounds ; they have not been closed , cleansed , bandaged , nor treated with oil .
Kutoka kwenye unyayo wa mguu mpaka kichwani kila sehemu ina maumivu ; ni madonda na majeraha mabichi yaliyoachwa wazi , ambayo hayajafungwa , kuasifishwa , kuwafunga vidonda vyao , wala kuwaponya kwa mafuta .
ISA 1:7     Alignment score: 0.259 → 0.267
Your country is ruined ; your cities are burned ; your fields in your presence , strangers are destroying them abandoned devastation , overthrown by strangers .
Nchi yenu imeharibiwa ; miji yenu imechomwa moto ; mashamba yenu - mbele , wageni wamehiaribu - wamepatelekeza katika uharibifu , ulioangushwa na wageni
ISA 1:8     Alignment score: 0.402
The daughter of Zion is left like a hut in a vineyard , like a shed in a garden of cucumbers , like a besieged city .
Binti Sayuni ameacha kama kibanda katika shamba la mzabibu
, kama kivuli kitika shamba la matango , kama mji unaomba .
ISA 1:9     Alignment score: 0.459
If Yahweh of hosts had not left for us a few survivors , we would have been like Sodom , we would have been like Gomorrah .
Kama Yahwe wa majeshi hakutuasha kwa mda mfupi tungekuwa kama Sodoma , tungekuwa kama Gomora .
ISA 1:10     Alignment score: 0.477
Hear the word of Yahweh , you rulers of Sodom ; listen to the instruction
of our God , you people of Gomorrah :
Sikiliza neno la Yahwe , enyi viongozi wa Sodomu ; sikilizeni sheria ya Mungu wetu , enyi watu wa Gomora :
ISA 1:11     Alignment score: 0.309 → 0.323
" What is the multitude of your sacrifices
to me ? " says Yahweh . " I have had enough of the burnt offerings of rams , and the fat of fatted beasts ; and in the blood of bulls , lambs , or goats I do not delight .
Sadaka zenu ni nyingi kiasi gani kwangu ? asema Yahwe . Nimesikia vya kutosha kuhusu sadaka yenu ya mwana kondoo , na mnyama alionona ; na damu ya ng'ombe , ndama , au mbuzi si vifurahii .
ISA 1:12     Alignment score: 0.182
When you come to appear before me , who has required this of you , to trample my courts ?
Ulipokuja kuonekana mbele yangu , Ni nani aliyehitaji hili juu yako , kukanyaga katika mahama yangu ?
ISA 1:13     Alignment score: 0.236 → 0.242
Bring no more meaningless offerings
; incense is an abomination to me ; your new moon and Sabbath assemblies I can not tolerate these wicked assemblies .
Msilete tena sadaka zisizo na maana ; maana zinaniongezea uchafu mmekusanyika katika siku yenu mpya ya mwenzi na sabato - Mimi siwezi vumlia mikusanyiko hii ya waovu .
ISA 1:14     Alignment score: 0.239 → 0.247
I hate your new moons and your appointed feasts ; they are a burden to me ; I am tired of enduring them .
Ninaichukia
sherehe yenu mpya ya mwenzi na sherehe zilizoteuliwa ; ni mzigo kwangu ; nimechoka kuubeba .
ISA 1:15     Alignment score: 0.26 → 0.294
So when you spread out your hands in prayer , I hide my eyes from you ; even though you offer many prayers , I will not listen ; your hands are full of blood .
Hivyo basi mnapotawanya mikono yenu kitkika maombi , sitawangalia hata kama mkiomba sana , sitawasikiliza ; mikono yenu imejaa damu .
ISA 1:16     Alignment score: 0.22 → 0.219
Wash , cleanse yourselves ; remove the evil of your deeds from my sight ; stop being evil ;
Jiosheni , jitakaseni wenyewe ; ondoeni matendo maovu mbele ya macho yangu ; acheni kutenda dhambi ;
ISA 1:17     Alignment score: 0.205 → 0.208
learn to do good ; seek justice , make straight the oppression , give
justice to the fatherless , defend the widow . "
jifunze kutenda mema ; tafuta ukweli ; msiwanyanyase , wapeni haki yatima , walindeni wajane .
ISA 1:18     Alignment score: 0.316 → 0.333
" Come now , and let us reason together , " says Yahweh ; " though
your sins are like scarlet , they will be white like snow ; though they are red like crimson , they will be like wool .
Njooni sasa , njooni tusemezane , asema Yahwe , japokuwa dhambi zenu ni nyekundu kama bendera zitakuwa nyeupe kama theluji ; japokuwa ni myekundu kama damu zitakuwa kama sufi .
ISA 1:19     Alignment score: 0.325
If you are willing and obedient , you will eat the good of the land ,
Kama utakubali na kutii
, utakula mema ya nchi ,
ISA 1:21     Alignment score: 0.332 → 0.344
How the faithful city has become a prostitute ! She who was full of justice she was full of righteousness , but now she is full of murderers .
Ni kwa jinsi gani mji ulioaminika umekuwa
kahaba ! Ulikuwa ni mij wenye usawa na haki , lakini sasa mji umejaa mauwaji .
ISA 1:22     Alignment score: 0.375
Your silver has become impure , your wine mixed with water .
Fedha zenu zimechafuka , na mvinyo wenu umechanganjwa na maji .
ISA 1:23     Alignment score: 0.196 → 0.204
Your princes are rebels
and companions of thieves ; everyone loves bribes and runs after payoffs . They do not defend the fatherless , nor does the widow 's legal plea come before them .
Viongozi wenu wamemgeuka Mungu wamekuwa marafiki wa wezi ; yeyote anayopenda rushwa na kuikimbilia . Hawawajali yatima , wala wajane wanaokuja kuwanyenyekea mbele yao .
ISA 1:24     Alignment score: 0.3 → 0.302
Therefore this is the declaration of the Lord Yahweh of hosts , the Mighty One of Israel : " Woe to them ! I will comfort myself concerning my adversaries and avenge myself against my enemies ;
Hivyo basi hili ndilo tamko la Bwana , Yahwe wa majeshi , Shujaa wa Israeli : Ole wao ! Nitachukua hatua kwa wale walio
kinyume na mimi na niwaadhibu wale wanaonipinga ;
ISA 1:25     Alignment score: 0.181 → 0.185
I will turn my hand against you , refine away your dross as with lye , and take away all your dross .
Nitaugeuza mkono wangu juu yako , nitatakasa chuma kilicho chakaa na kuondoa kutu yote .
ISA 1:26     Alignment score: 0.251 → 0.292
I will restore your judges as at the first , and your counselors as at the beginning ; after that you will be called the city of righteousness , a faithful town . "
Nitailinda hukumu
yako kama ilivyokuwa mwanzo , na washauri wako kama ilivyokuwa hapo mwanzo ; baada ya hapo mtaitwa mji wa haki , mji wa imani .
ISA 1:27     Alignment score: 0.327
Zion will be redeemed by justice , and her repentant ones by righteousness .
Sayuni itakombolewa kwa haki , na wanaotubu kwa haki .
ISA 1:28     Alignment score: 0.2
Rebels
and sinners will be crushed together , and those who abandon Yahweh will be done away with .
Waasi na wenye dhambi wataangamizwa pamoja , na wale wataenda kinyume na Yahwe watauliwa .
ISA 1:29     Alignment score: 0.208
" For you will be ashamed of the sacred oak trees that you desired , and you will be embarrassed by the gardens that you have chosen .
Kwa kuwa utaona aibu juu ya miti ya mialoni uliyoitamani
, na utakuwa na hofu juu ya bustani uliyoichagua .
ISA 1:30     Alignment score: 0.285
For you will be like an oak whose leaf
withers , and like a garden that has no water .
Kwa kuwa utakuwa kama mualoni ambao majani yake yamenyauka , na kama bustani isiyokuwa na maji .
ISA 1:31     Alignment score: 0.243 → 0.249
The strong man will be like tinder , and his work like a spark ; they will both burn together , and no one will quench them . "
Mtu mwenye nguvu atakuwa kama kitu kikavu , na kazi yake itakuwa kama cheche ; zitawaka moto kwa pamoja , na hakuna hata mmoja ataweza kuuzima
.
ISA 1     Average alignment score: 0.311 for 30 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of ISA:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36  37  38  39  40  41  42  43  44  45  46  47  48  49  50  51  52  53  54  55  56  57  58  59  60  61  62  63  64  65  66