Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:43
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of EZK:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36  37  38  39  40  41  42  43  44  45  46  47  48 


EZK 1:1     Alignment score: 0.452 → 0.468
In the thirtieth year , the fourth month , and the fifth day of the month , it came about that I was living among the captives by the Kebar Canal . The heavens opened , and I saw visions of God .
Katika mwaka wa thelathini , mwezi wa nne , na siku ya tano ya mwezi , ikawa kuhusu kwamba nilikuwa nikiishi miongoni mwa wafungwa karibu na Kebari Kanali . Mbingu zilifunguka , na kuona maono ya Mungu .


EZK 1:2     Alignment score: 0.543 → 0.543
On the fifth day of that month it was the fifth year of the exile of King Jehoiachin
Katika siku ya tano katika mwezi huo - ilikuwa mwaka wa tano wa utumwani wa Mfalme Yehoyakini -
EZK 1:3     Alignment score: 0.617
the word of Yahweh came to Ezekiel son of Buzi the priest , in the land of the Chaldeans by the Kebar Canal , and the hand of Yahweh was upon him there .
Neno la Yahwe likamjia Ezekieli mwana wa Buzi kuhani , katika nchi ya Wakaldayo karibu na Keberi
Kanali , na mkono wa Yahwe ulikuwa juu yake hapo .
EZK 1:4     Alignment score: 0.407 → 0.413
Then I looked , and there was a windstorm coming from the north ; a great cloud with fire flashing within it and brightness surrounding it and inside of it , and the fire was the color of amber inside the cloud .
Kisha nikaona , kulikuwa na upepo wa dhoruba unakuja
kutoka kaskazini ; wingu kubwa pamoja na moto wa nuru ndani yake na kung'aa ukizunguka ndani yake , na moto ulikuwa na rangi ya kaharabu ndani ya hilo wingu .
EZK 1:5     Alignment score: 0.315 → 0.323
In the middle was the likeness of four living creatures . This was their appearance : They had the likeness of a man ,
Katikati kulikuwa na viumbe vinne
vinavyofanana . Mwonekano wao ulikuwa hivi : walikuwa wanamfanano wa mtu ,
EZK 1:6     Alignment score: 0.355 → 0.377
but they had four faces each , and each of the creatures had four wings .
lakini walikuwa na sura nne kila mmoja , na kila mmoja alikuwa na mabawa manne
.
EZK 1:7     Alignment score: 0.461
Their legs were straight , but the soles of their feet were like the hooves of a calf that shone like polished bronze .
Miguu yao ilikuwa
imenyooka , lakini nyayo za miguu yao zilikuwa kama kwato za ndama zilizokuwa zinang'aa kama shaba iliyosuguliwa .
EZK 1:8     Alignment score: 0.427 → 0.428
Yet they had human hands under their wings on all four sides . For all four , their faces and wings were like this :
Bado walikuwa na mikono ya binadamu chini ya mabawa yao chini kwenye pande zote nne . Kwa wote wanne , nyuso zao na mabawa vilikuwa
hivi :
EZK 1:9     Alignment score: 0.189 → 0.189
their wings touched each other . They did not turn when they moved ; each one went straight ahead .
mabawa yao yalikuwa
yameungana na kiumbe kingine , na hawakurudi walipokuwa wameenda ; badala yake , kila mmoja alienda mbele .
EZK 1:11     Alignment score: 0.405 → 0.414
Their faces were like that , and their wings were spread out above , so that each creature had a pair of wings that touched another creature 's wing , and also a pair of wings that covered their bodies .
Nyuso zao zilikuwa hivyo , na mabawa yao yalikuwa
yametawanyika juu , hivyo basi kila kiumbe kilikuwa na jozi ya za mabawa yaliyokuwa yameshikamana na bawa la kiumbe kingine , na pia jozi za mabawa yaliyokuwa yamefunika miili yao .
EZK 1:12     Alignment score: 0.295
Each went straight forward , so that wherever the Spirit directed them to go , they went without turning .
Kila mmoja alienda mbele , hivyo basi popote Roho alipowaelekeza kwamba , walienda bila kurudi .
EZK 1:13     Alignment score: 0.367 → 0.369
As for the likeness of the living creatures , their appearance was like burning coals of fire , like the appearance of torches ; bright fire also moved about among the creatures , and there were flashes of lightning .
Kama kwa mfanano wa hao viumbe hai , mwonekano wao ulikuwa ni kama kuchoma kaa la moto , kama mwonekano wa nuru ; mng'ao wa moto pia ulihama karibu na miongoni mwa viumbe , na kulikuwa na nuru za radi .
EZK 1:14     Alignment score: 0.338
The living creatures were moving swiftly back and forth , and they had the appearance of lightning !
Hao viumbe hai walikuwa wakienda
mbio mbele na nyuma , na walikuwa na mwonekano wa radi !
EZK 1:15     Alignment score: 0.356 → 0.359
Then I looked at the living creatures ; and I saw one wheel on the ground beside each of the living creatures with its four faces .
Kisha nikawatazama wale viumbe hai ; kulikuwa na gurudumu moja juu ya aridhi
kando ya vile viumbe hai .
EZK 1:16     Alignment score: 0.29
This was the appearance and structure of the wheels : Each wheel was like beryl , and the four had the same likeness ; their appearance and workmanship was like a wheel intersecting another wheel .
Huu ndio ulikuwa mwonekano na umbo wa hizo gurudumu : kila gurudumu lilikuwa kama zabarajadi , na manne
hayo yalikuwa na mfano mmoja ; mwonekano wao na umbo vilikuwa kama gurudumu lililoungana na jingine .
EZK 1:17     Alignment score: 0.105 → 0.107
As they moved , they went in any of their four directions
, without turning as they went .
Wakati yale magurudumu yalipokuwa yakitembea , yalienda bila kurudi kwenye mwelekeo wowote viumbe vilipokuwa vimeelekea .
EZK 1:18     Alignment score: 0.224
As for their rims
, they were high and fearsome , for the rims were full of eyes round about .
Katka habari za vivimbe vilikuwa virefu , vya kutisha nayo yote manne , yote manne vivimbe vyake vimejaa macho pande zote .
EZK 1:19     Alignment score: 0.392
Whenever the living creatures moved , the wheels moved beside them . When the living creatures rose
up from the earth , the wheels also rose up .
Popote vile viumbe hai vilipokuwa vikielekea , yale magurudumu yalielekea karibu nao . Wakati vile viumbe hai vilipoinuka kutoka kwenye nchi , na yale magurudumu yaliinuka pia .
EZK 1:20     Alignment score: 0.505
Wherever the Spirit would go , they went , and the wheels rose up beside them , for the spirit of the living creature was in the wheels .
Popote Roho alipokwenda , walikwenda , na yale
magurudumu yaliinuka karibu nao , roho wa kiumbe hai ilikuwa magurudumu .
EZK 1:21     Alignment score: 0.412 → 0.424
Whenever the creatures moved , the wheels also moved ; and when the creatures stood still , the wheels stood still ; when the creatures rose
up from the earth , the wheels rose up beside them , because the spirit of the living creature was in the wheels .
Popote vile viumbe vilipoelekea , magurudumu pia yalielekea huko ; na wakati wale viumbe viliposimama hata hivyo , magurudumu yalisimama bado ; wakati viumbe viliposimama kutoka kwenye nchi , magurudumu yalisimama karibu nao , kwa sababu yule roho wa wale viumbe alikuwa kwenye magurudumu .
EZK 1:22     Alignment score: 0.263 → 0.266
Over the heads of the living creatures was the likeness of an expansive dome ; it looked like awe - inspiring crystal stretched out over their heads above .
Juu ya vichwa vya wale viumbe hai kulikuwa na mfanano wa anga la kutanuka ; ilikuwa inang'aa kama mfano wa barafu juu ya vichwa vyao .
EZK 1:23     Alignment score: 0.303 → 0.323
Beneath the dome , each one of the creature 's wings stretched out straight and touched another creature 's wings . Each of the living creatures also had a pair to cover themselves ; each had a pair to cover his own body .
Chini ya anga , kila mabawa ya kiumbe kimoja yalinyooshwa mbele na kugusana kila mabawa na kiumbe kimoja . Pia kila kiumbe hai kilikuwa na jozi moja
kwa ajili ya kujifunika vyenyewe ; kila kimoja kilikuwa na jozi moja kwa ajili ya kujifunika mwili wake mwenyewe .
EZK 1:24     Alignment score: 0.388 → 0.392
Then I heard the sound of their wings . Like the noise of many waters . Like the voice of the Almighty whenever they moved . Like the sound of a rainstorm . Like the sound of an army . Whenever they stood still , they lowered their wings .
Kisha nikasikia sauti ya mabawa yao . Kama mlio wa maji mengi . Kama sauti ya mwenye enzi popote walipoelekea . Kama sauti ya jeshi . Popote pale waliposimama , walishusha mabawa yao .
EZK 1:25     Alignment score: 0.426
A voice came from above the dome over their heads whenever they stood still and lowered their wings .
Sauti ikaja kutoka juu ya anga juu ya vichwa vyao popote waliposimama na kushusha mabawa yao .
EZK 1:26     Alignment score: 0.384 → 0.391
Above the dome over their heads was the likeness of a throne that was like the appearance of a sapphire
stone , and on the likeness of the throne was a likeness like the appearance of a man .
Juu ya anga juu ya vichwa vyao kulikuwa na mfanao wa kiti cha enzi ambacho kilikuwa na mwonekano wa jiwe la samawati , na juu mfano wa kiti cha enzi kilifanana kama mwonekano wa mwanadamu .
EZK 1:27     Alignment score: 0.379 → 0.386
I saw a figure with the appearance of glowing metal with fire in it from the appearance of his hips up ; I saw from the appearance of his hips downward the appearance of fire and brightness all around .
Nikaona umbo lenye mwonekano wa chuma chenye kung'aa pamoja na moto ndani yake kutoka kwenye mwonekano wa juu ya nyonga zake juu ; Nikaona kutoka kwenye mwonekano wa nyonga zake upande wa chini mwonekano wa moto na mung'ao
umezunguka kote .
EZK 1:28     Alignment score: 0.382 → 0.405
Like the appearance of a rainbow in the clouds on a rainy
day was the appearance of the bright light surrounding it . It was the appearance of the likeness of the glory of Yahweh . When I saw it , I fell on my face , and I heard a voice speaking .
Kama mwonekano wa upinde wa mvua kwenye mawingu katika siku ya mvua ulikuwa na mwonekano wa taa iliyowaka imeizunguka . Kulikuwa na mwonekano unaofanana na utukufu wa Yahwe . Wakati nilipouona , nilihisi kwenye uso wangu , na nikasikia sauti ikiongea .
EZK 1     Average alignment score: 0.382 for 27 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of EZK:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28  29  30  31  32  33  34  35  36  37  38  39  40  41  42  43  44  45  46  47  48