Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:45
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of LUK:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24 


LUK 1:1     Alignment score: 0.15 → 0.158
Many have taken on the work of putting together an account of the things that have been accomplished among us ,
Wengi wamejitahidi kuweka katika mpangilio simulizi kuhusu masuala ambayo yametimizwa kati yetu ,


LUK 1:2     Alignment score: 0.206
just as they were passed down to us by those who from the first were eyewitnesses and servants of the word .
kama walivyotupatia sisi , ambao tangu mwanzo ni mashahidi wa macho na watumishi wa ujumbe .
LUK 1:3     Alignment score: 0.209 → 0.217
So it seemed good to me also , because I have accurately investigated everything from the beginning , to write an orderly account for you , most excellent Theophilus ,
Hivyo nami pia , baada ya kuchuguza kwa uangalifu chanzo cha mambo haya yote tokea
mwanzo - nimeona ni vema kwangu pia kukuandikia katika mpangilio wake - mheshimiwa sana Theofilo .
LUK 1:4     Alignment score: 0.202
so that you might know the certainty of the things you have been taught .
Ili kwamba uweze
kujua ukweli wa mambo uliyofundishwa .
LUK 1:5     Alignment score: 0.524
In the days of Herod , king of Judea , there was a certain priest named Zechariah from the division of Abijah ; his wife Elizabeth was also a descendant
of Aaron .
Katika siku za Herode , mfalme wa Yudea , palikuwa na kuhani fulani aliyeitwa Zekaria , wa ukoo wa Abiya . Mke wake alitoka kwa binti za Haruni , na jina lake aliitwa Elizabeti .
LUK 1:6     Alignment score: 0.414 → 0.43
They were both righteous before God , walking blamelessly in all the commandments and statutes of the Lord .
Wote walikuwa wenye haki mbele za Mungu ; walitembea bila lawama katika amri zote na maagizo ya Bwana .
LUK 1:7     Alignment score: 0.395 → 0.4
But they had no child because Elizabeth was barren , and they were both advanced in their days .
Lakini hawakuwa na mtoto , kwa sababu Elizabethi
alikuwa tasa , na kwa wakati huu wote wawili walikuwa wazee sana .
LUK 1:8     Alignment score: 0.394 → 0.412
Now it came
about that Zechariah was in God 's presence , carrying out the priestly duties in the order of his division .
Sasa ilitokea kwamba Zakaria alikuwa katika uwepo wa Mungu , akiendelea na wajibu wa kikuhani katika utaratibu wa zamu yake .
LUK 1:9     Alignment score: 0.322 → 0.332
According to the customary way of choosing which priest would serve , he had been chosen by lot to enter into the temple of the Lord to burn incense .
Kulingana na desturi ya kuchagua
ni kuhani yupi atakayehudumu , alikuwa amechaguliwa kwa kura kuingia katika hekalu la Bwana na hivyo angefukiza uvumba .
LUK 1:10     Alignment score: 0.179 → 0.178
The whole crowd of people was praying outside at the hour when the incense was burned .
Kundi lote la watu lilikuwa likiomba nje wakati wa kufukizwa kwa ufumba
.
LUK 1:11     Alignment score: 0.509 → 0.567
Now an angel of the Lord appeared to him and stood at the right side of the incense altar .
Sasa malaika wa Bwana alimtokea na kasimama
upande wa kulia wa madhabahu ya kufukizia .
LUK 1:12     Alignment score: 0.331
When Zechariah saw him , he was troubled , and fear fell on him .
Zakaria
alitishika alipomuona ; hofu ikamwangukia .
LUK 1:13     Alignment score: 0.568 → 0.606
But the angel said to him , " Do not be afraid , Zechariah , because your prayer has been heard . Your wife Elizabeth will bear you a son . You will call his name John .
Lakini malaika akamwambia , Usiogope Zakaria
, kwa sababu maombi yako yamesikika . Mke wako Elizabeth atakuzalia mwana . Jina lake utamwita Yohana .
LUK 1:14     Alignment score: 0.37 → 0.385
You will have joy and gladness , and many will rejoice at his birth .
Utakuwa
na furaha na uchangamfu , na wengi watafurahia kuzaliwa kwake .
LUK 1:15     Alignment score: 0.385 → 0.399
For he will be great in the sight of the Lord . He must never drink wine or strong drink , and he will be filled with the Holy Spirit from his mother 's womb .
Kwa kuwa atakuwa mkuu mbele ya macho ya Bwana . Hatakunywa divai au kinywaji kikali , na atakuwa amejazwa
na Roho Mtakatifu tangu tumboni mwa mama yake .
LUK 1:16     Alignment score: 0.431
Many of the descendants of Israel will be turned to the Lord their God .
Na watu wengi wa Israel
watageuzwa kwa Bwana Mungu wao .
LUK 1:17     Alignment score: 0.437 → 0.438
He will go before the face of the Lord in the spirit and power of Elijah , to turn the hearts of the fathers to the children and the disobedient to the wisdom of the righteous to make ready for the Lord a people prepared for him . "
Atakwenda mbele za uso wa Bwana katika roho na nguvu ya Eliya . Atafanya hivi ili kurejesha mioyo ya baba kwa watoto , ili kwamba wasiotii wataenenda katika hekima ya wenye haki . Atafanya hivi kuweka tayari kwa Bwana watu ambao
wameandaliwa kwa ajili yake .
LUK 1:18     Alignment score: 0.395
Zechariah said to the angel , " How can I know this ? For I am an old man and my wife is advanced in her days . "
Zakaria
akamwambia malaika , Nitawezaje kujua hili ? Kwa sababu mimi ni mzee na mke wangu miaka yake imekuwa mingi sana .
LUK 1:19     Alignment score: 0.436 → 0.453
The angel answered and said to him , " I am Gabriel , who stands in the presence of God . I was sent to speak
to you , to bring you this good news .
Malaika akajibu na kumwambia , Mimi ni Gabrieli , ambaye husimama mbele za Mungu . Nilitumwa kukwambia , kukuletea habari hii njema .
LUK 1:20     Alignment score: 0.364
Behold ! You will be silent , unable to speak , until the day these
things take place . This is because you did not believe my words , which will be fulfilled at the right time . "
Na tazama , hutaongea , utakuwa kimya , hutaweza kuongea mpaka siku ile mambo haya yatakapotokea . Hii ni kwa sababu ulishindwa kuamini maneno yangu ambayo yatatimizwa kwa wakati mwafaka .
LUK 1:21     Alignment score: 0.317
Now the people were waiting for Zechariah . They were surprised that he was spending so much time in the temple .
Sasa watu walikuwa wakimsubiri Zakaria
. Walishangazwa kwa kutumia muda mwingi hekaluni .
LUK 1:22     Alignment score: 0.316
But when he came
out , he could not speak to them . They realized that he had seen a vision while he was in the temple . He kept on making signs to them and remained silent .
Lakini alipotoka nje , hakuweza kuongea nao . Wakatambua kwamba alikuwa amepata maono alipokuwa hekaluni . Aliendelea kuonesha ishara na alibaki kimya .
LUK 1:23     Alignment score: 0.212
It came
about that when the days of his service were over , he went to his house .
Ikatokea kwamba siku za huduma yake zilipokwisha aliondoka kurudi nyumbani kwake .
LUK 1:24     Alignment score: 0.236
After these
days , his wife Elizabeth conceived and for five months she kept herself hidden . She said ,
Baada ya Zakaria kurudi nyumbani kutoka kwenye huduma yake hekaluni , mke wake akawa mjamzito . Naye hakutoka nyumbani mwake kwa muda wa miezi mitano . Akasema ,
LUK 1:25     Alignment score: 0.295 → 0.316
" This is what the Lord has done for me when he looked at me with favor in order to take away my shame before people . "
Hili ndilo ambalo Bwana amefanya kwangu aliponitazama kwa upendeleo ili kuiondoa aibu yangu mbele za watu .
LUK 1:26     Alignment score: 0.537 → 0.544
In the sixth month , the angel Gabriel was sent from God to a city in Galilee named Nazareth ,
Sasa , katika mwezi wa sita wa mimba ya Elizabeti , Mungu alimwambia malaika Gabrieli kwenda kwenye mji wa Galilaya uitwao Nazareti ,
LUK 1:27     Alignment score: 0.483
to a virgin engaged to a man whose name was Joseph , who was a descendant
of David , and the virgin 's name was Mary .
kwa bikra aliyekuwa ameposwa na mwanaume ambaye jina lake Yusufu . Yeye alikuwa wa ukoo wa Daudi , na jina la bikra huyo lilikuwa Mariamu .
LUK 1:28     Alignment score: 0.116 → 0.142
He came
to her and said , " Greetings , you who are highly favored ! The Lord is with you . "
Akaingia nyumbani kwake akasema , Salaam , wewe uliyepokea neema kuu ! Bwana amependezwa nawe .
LUK 1:29     Alignment score: 0.195 → 0.217
But she was very confused by his words , and she wondered what kind of greeting
this could be .
Lakini maneno ya malaika yalimchanganya na hakuelewa kwa nini malaika alisema salaam hii ya ajabu kwake .
LUK 1:30     Alignment score: 0.511
The angel said to her , " Do not be afraid , Mary , for you have found favor with God .
Malaika akamwambia , Usiogope , Mariamu , maana umepata neema kutoka kwa Mungu .
LUK 1:31     Alignment score: 0.49
See , you will conceive in your womb and bear a son . You will call his name ' Jesus . '
Na tazama , utabeba mimba katika tumbo lako na utazaa mwana . Nawe utamwita jina lake Yesu .
LUK 1:32     Alignment score: 0.459
He will be great and will be called the Son of the Most High . The Lord God will give
him the throne of his ancestor David .
Atakuwa mkuu na ataitwa Mwana wa Aliye Juu Sana . Bwana Mungu atampa kiti cha enzi cha Daudi baba yake .
LUK 1:33     Alignment score: 0.526
He will reign over the house of Jacob forever , and there will be no end to his kingdom . "
Atatawala juu ya ukoo wa Yakobo milele na ufalme wake hautakuwa na mwisho .
LUK 1:34     Alignment score: 0.357
Mary said to the angel , " How will this happen , since I have not known any man ? "
Mariamu akamwambia malaika , Hili litatokea kwa namna gani , maana sijawahi kulala na mwanaume yeyote ?
LUK 1:35     Alignment score: 0.438 → 0.435
The angel answered and said to her , " The Holy Spirit will overshadow you , and the power of the Most High will overshadow you . So the holy one to be born will be called the Son of God .
Malaika akajibu na akamwambia , Roho Mtakatifu atakujia juu yako , na nguvu ya Aliye Juu Sana itakuja juu yako . Kwa hiyo , mtakatifu atakayezaliwa ataitwa Mwana wa Mungu .
LUK 1:36     Alignment score: 0.385
See , your relative Elizabeth has also conceived a son in her old age . This is the sixth month for her , she who was called barren .
Na tazama , ndugu yako Elizabeti anaujauzito wa mwana kwenye umri wake wa uzee . Huu ni mwezi wa sita kwake , ambaye alikuwa anaitwa mgumba .
LUK 1:37     Alignment score: 0.373
For nothing will be impossible for God . "
Maana hakuna lisilowezekana kwa Mungu .
LUK 1:38     Alignment score: 0.453 → 0.453
Mary said , " See , I am the female servant of the Lord . Let it be for me according to your message . " Then the angel left her .
Mariamu akasema , Tazama , mimi ni mtumishi wa kike wa Bwana . Acha iwe hivyo kwangu sawa sawa na ujumbe wako . Kisha malaika akamwacha .
LUK 1:39     Alignment score: 0.427 → 0.433
Then Mary arose
in those days and quickly went into the hill country , to a city in Judea .
Ndipo katika siku hizo Mariamu aliondoka na kwa haraka alikwenda katika nchi ya vilima , kwenye mji katika nchi ya Yudea .
LUK 1:40     Alignment score: 0.499
She went into the house of Zechariah and greeted Elizabeth .
Alikwenda nyumbani kwa Zakaria
na akamsalimia Elizabeti .
LUK 1:41     Alignment score: 0.431 → 0.436
Now it happened that when Elizabeth heard Mary 's greeting , the baby in her womb jumped , and Elizabeth was filled with the Holy Spirit .
Ikawa , Elizabeti aliposikia kule kuamkia kwake Mariamu , kitoto kichanga kikaruka ndani ya tumbo lake . Elizabeti akajazwa na Roho Mtakatifu .
LUK 1:42     Alignment score: 0.306 → 0.307
She cried out with a loud shout and said , " Blessed are you among women , and blessed is the fruit of your womb .
Akapaza sauti yake na kusema
kwa sauti kuu , Umebarikiwa wewe zaidi miongoni mwa wanawake , na mtoto aliyemo tumboni mwako amebarikiwa .
LUK 1:43     Alignment score: 0.272
Why has it happened to me that the mother of my Lord should come to me ?
Na imekuwaje kwangu kwamba , mama wa Bwana wangu anijilie mimi ?
LUK 1:44     Alignment score: 0.329
For see , when the sound of your greeting came
to my ears , the baby in my womb jumped for joy .
Maana , iliposikika sauti ya kuamkia kwako ilipoingia masikioni mwangu , kitoto kichanga kikaruka kwa furaha .
LUK 1:45     Alignment score: 0.261
Blessed is she who believed that there would be a fulfillment of the things that were told her from the Lord . "
Na amebarikiwe
mwanamke yule ambaye aliamini ya kwamba ungetokea ukamilifu wa mambo yale aliyoambiwa kutoka kwa Bwana .
LUK 1:46     Alignment score: 0.378
Mary said , " My soul praises the Lord ,
Mariamu akasema , Nafsi yangu inamsifu Bwana ,
LUK 1:47     Alignment score: 0.612
and my spirit has rejoiced in God my Savior .
na roho yangu imefurahi katika Mungu Mwokozi wangu .
LUK 1:48     Alignment score: 0.404
For he has looked at the low condition of his female servant . For see , from now on all generations will call me blessed .
Kwa maana ameiangalia hali ya chini ya mtumishi wake wa kike . Tazama , tangu sasa katika vizazi vyote wataniita mbarikiwa .
LUK 1:49     Alignment score: 0.349
For the Mighty One has done great things for me , and his name is holy .
Kwa kuwa mwenye nguvu amenitendea makuu
, na jina lake ni takatifu .
LUK 1:50     Alignment score: 0.374
His mercy lasts from generation to generation for those who fear him .
Na rehema yake inadumu toka kizazi hata kizazi kwa wale wanao mtii yeye .
LUK 1:51     Alignment score: 0.308 → 0.337
He has displayed strength with his arm ; he has scattered those who were proud
about the thoughts of their hearts .
Amefanya nguvu kwa mkono wake ; amewatawanya wale ambao walijivuna juu ya mawazo ya mioyo yao .
LUK 1:52     Alignment score: 0.238 → 0.196
He has thrown down princes from their thrones and he has raised up those of low condition .
Amewashusha chini wana wa wafalme toka katika viti vyao vya enzi na kuwainua juu walio
na hali ya chini .
LUK 1:53     Alignment score: 0.329 → 0.305
He has filled the hungry with good things , but the rich he has sent away empty - handed .
Aliwashibisha wenye njaa kwa vitu vizuri , bali matajiri amewafukuza mikono
mitupu .
LUK 1:54     Alignment score: 0.527
He has given help to Israel his servant , so as to remember to show mercy
Ametoa msaada kwa Israeli mtumishi wake , ili kukumbuka kuonesha rehema
LUK 1:55     Alignment score: 0.594
( as he said to our fathers ) to Abraham and his descendants forever . "
( kama alivyosema kwa baba zetu ) kwa Abrahamu
na uzao wake milele .
LUK 1:56     Alignment score: 0.472
Mary stayed with Elizabeth about three months and then returned to her house .
Mariamu alikaa na Elizabeti yapata miezi mitatu hivi ndipo akarudi nyumbani kwake .
LUK 1:57     Alignment score: 0.312 → 0.316
Now the time had come for Elizabeth to deliver her baby and she gave
birth to a son .
Sasa wakati ulikuwa umewadia kwa Elizabeti kujifungua mtoto wake na akajifungua mtoto wa kiume .
LUK 1:58     Alignment score: 0.272
Her neighbors
and her relatives heard that the Lord had shown his great mercy to her , and they rejoiced with her .
Jirani zake na ndugu zake walisikia jinsi Bwana alivyoikuza rehema kwake , na wakafurahi pamoja naye .
LUK 1:59     Alignment score: 0.395 → 0.404
Now it happened on the eighth
day that they came to circumcise the child . They would have called him " Zechariah , " after the name of his father .
Sasa ilitokea siku ya nane kwamba walikuja kumtahiri mtoto . Ingewapasa kumwita jina lake , Zakaria , kwa kuzingatia jina la baba yake ,
LUK 1:60     Alignment score: 0.611
But his mother answered and said , " No . He will be called John . "
Lakini mama yake akajibu na kusema
, Hapana ; ataitwa Yohana .
LUK 1:61     Alignment score: 0.4
They said to her , " There is no one among your relatives who is called by this name . "
Wakamwambia , Hakuna hata mmoja katika ndugu zako anayeitwa kwa jina hili .
LUK 1:62     Alignment score: 0.319
They made signs to his father as to how he wanted him to be named .
Wakamfanyia ishara baba yake kuashiria yeye alitaka jina aitwe nani .
LUK 1:63     Alignment score: 0.381
His father asked for a writing tablet and wrote , " His name is John . " They all were astonished at this .
Baba yake akahitaji kibao cha kuandikia
, na akaandika , Jina lake ni Yohana . Wote wakashangazwa na hili .
LUK 1:64     Alignment score: 0.424
Immediately his mouth was opened and his tongue was freed . He spoke and praised God .
Ghafla mdomo wake ukafunguliwa na ulimi wake ukawa
huru . Akaongea na kumsifu Mungu .
LUK 1:65     Alignment score: 0.275 → 0.282
Fear came
on all who lived around them . All these matters were spread throughout all the hill country of Judea .
Hofu ikawajia wote walioishi karibu nao . Mambo haya yakaenea katika nchi yote ya vilima vya Yudea .
LUK 1:66     Alignment score: 0.33
All who heard them stored them in their hearts , saying , " What then will this child become ? " For the hand of the Lord was with him .
Na wote walioyasikia wakayatunza mioyoni mwao , wakisema , Mtoto huyu
kuwa wa namna gani ? Kwa sababu mkono wa Bwana ulikuwa pamoja naye .
LUK 1:67     Alignment score: 0.47
His father Zechariah was filled with the Holy Spirit and prophesied , saying ,
Baba yake Zakaria
alijazwa na Roho Mtakatifu na akatoa unabii , akisema ,
LUK 1:68     Alignment score: 0.423 → 0.443
" Praised be the Lord , the God of Israel , for he has come to help and he has accomplished redemption for his people .
Asifiwe Bwana , Mungu wa Israeli , kwa sababu amesaidia na alishughulikia wokovu kwa watu wake .
LUK 1:69     Alignment score: 0.415
He has raised up a horn of salvation for us in the house of his servant David
Ametuinulia pembe ya wokovu katika nyumba ya mtumishi wake Daudi , kutoka miongoi mwa ukoo wa mtumishi wake Daudi ,
LUK 1:70     Alignment score: 0.256 → 0.278
( as he spoke by the mouth of his holy prophets from long ago ) ,
kama alivyosema kwa kinywa cha manabii wake waliokuweko katika nyakati za kale .
LUK 1:71     Alignment score: 0.248
salvation from our enemies and from the hand of all who hate us .
Atatuokoa kutoka kwa adui zetu na kutoka mikononi
mwa wote wanaotuchukia .
LUK 1:72     Alignment score: 0.418
He will do this to show mercy to our fathers and to remember his holy covenant ,
Atafanya hivi kuonesha rehema kwa baba zetu , na kukumbuka agano lake takatifu ,
LUK 1:73     Alignment score: 0.501
the oath that he swore to Abraham our father .
kiapo alichokisema kwa Abrahamu
baba yetu .
LUK 1:74     Alignment score: 0.269 → 0.288
He swore to grant to us that we , having been delivered out of the hand of our enemies , would serve him without fear
Aliapa kuthibitha kwamba ingewezekana kumtumikia Yeye bila hofu , baada ya kuokolewa kutoka katika mikononi
ya adui zetu ,
LUK 1:75     Alignment score: 0.459
in holiness and righteousness before him all our days .
katika utakatifu na haki mbele zake siku zetu zote .
LUK 1:76     Alignment score: 0.382 → 0.384
Yes , and you , child , will be called a prophet of the Most High , for you will go before the face of the Lord to prepare his paths , to prepare people for his coming ,
Ndiyo , na wewe mtoto , utaitwa nabii wa Aliye Juu Sana , kwa kuwa utaenenda mbele za uso wa Bwana ili kumwandalia njia , kuwaandaa
watu kwa ajili ya ujio wake ,
LUK 1:77     Alignment score: 0.104 → 0.152
to give
knowledge of salvation to his people by the forgiveness of their sins .
kuwafahamisha watu wake kwamba , wataokolewa kwa njia ya kusamehewa dhambi zao .
LUK 1:78     Alignment score: 0.371
This will happen because of the tender mercy of our God , because of which the sunrise from on high will come to help us ,
Hili litatokea kwa sababu ya huruma ya Mungu wetu , sababu ambayo jua tokea
juu litatujia ,
LUK 1:79     Alignment score: 0.352
to shine on those
who sit in darkness and in the shadow of death . He will do this to guide our feet into the path of peace . "
kuangaza kwao wakaao gizani na katika uvuli wa mauti . Atafanya hivi kuiongoza miguu yetu kwenye njia ya amani .
LUK 1:80     Alignment score: 0.375 → 0.375
Now the child grew and became strong in spirit , and he was in the wilderness until the day of his public appearance to Israel .
Sasa , yule mtoto akakua na kuwa mwenye nguvu rohoni na alikaa nyikani mpaka siku ya kujitokeza kwake kwa Israeli .
LUK 1     Average alignment score: 0.38 for 80 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of LUK:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24