Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:40
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of EST:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10 


EST 1:1     Alignment score: 0.439
In the days of Xerxes ( this is Xerxes who reigned from India as far as Cush , over 127 provinces ) ,
Katika siku za utawala wa Ahasuero
( huyu ni Ahasuero aliyetawala toka India hadi Ethiopa , zaidi ya majimbo 127 ) ,


EST 1:2     Alignment score: 0.397
in those days King Xerxes sat on his royal throne in the fortress of Susa .
katika siku hizo Mfalme Ahasuero
aliketi katika kiti chake cha utawala katika ngome ya Shushani .
EST 1:3     Alignment score: 0.371 → 0.391
In the third year of his reign , he gave
a feast to all his officials and his servants . The army of Persia and Media , the noblemen , and governors of the provinces were in his presence .
Mwaka wa tatu wa utawala wake , aliwaandalia sherehe viongozi na watumwa wake wote . Waliohudhuria katika sherehe hiyo walikuwa wakuu wa jeshi la Uajemi na Umedi , watu wenye vyeo , na viongozi wa majimbo .
EST 1:4     Alignment score: 0.358
He displayed the wealth of the splendor of his kingdom and the honor of the glory of his greatness for many days , for 180 days .
Mfalme akaweka wazi utajiri na utukufu wa ufalme wake na heshima ya ukufu wa ukuu alio upata kwa siku nyingi , kwa siku 180 .
EST 1:5     Alignment score: 0.363 → 0.37
When these
days were completed , the king gave a feast lasting seven days . It was for all the people in the fortress of Susa , from the greatest to the least significant . It was held in the courtyard of the garden of the king 's palace .
Siku hizi zilipotimia , Mfalme aliaandaa karamu iliyodumu kwa siku saba . Karamu hii ilikuwa kwa watu wote walioishi katika ikulu ya Shushani , tangu mkubwa hadi mdogo . Karamu ilifanyika katika Behewa la bustani ya ikulu ya mfalme .
EST 1:6     Alignment score: 0.426 → 0.441
The courtyard of the garden was decorated with curtains of white cotton and violet , with cords of fine linen and purple , hung on silver rings from pillars of marble . There were couches of gold and silver on a mosaic pavement of porphyry , marble , mother - of - pearl , and colored paving stones .
Behewa la bustani , lilipambwa kwa mapazia meupe ya pamba na urujuani . Yalifungwa kwa kamba za kitani safi na zambarau , yakiwa yametundikwa kwa pete za fedha na nguzo za marimari . Kulikuwa na makochi ya dhahabu na fedha juu ya sakafu ya marimari , mawe mekundu na meupe , na ya manjano na meusi .
EST 1:7     Alignment score: 0.411 → 0.419
Drinks were served in golden cups . Each cup was unique and there was much royal wine that came
because of the king 's generosity .
Vinywaji viliandaliwa katika vikombe vya dhahabu . Na kila kikombe kilikuwa ni cha kipekee na kwa sababu ya ukarimu wa mfalme kulikuwa mvinyo mwingi .
EST 1:8     Alignment score: 0.172 → 0.186
The drinking was carried out in keeping with the decree , " There must be no compulsion , " for in this
way the king had given orders to all the officials of his palace to do according to the desire of each man .
Mfalme aliwambia wahudumu , watu wagawiwe vinywaji , Maana tayari mfalme alikuwa ametoa agizo kwa watumishi wa ikulu kuwafanyia wageni kulingana na matakwa ya kila mgeni .
EST 1:9     Alignment score: 0.442
Also , Queen Vashti gave
a feast for the women in the royal palace of King Xerxes .
Wanawake nao walikuwa wamealikwa katika karamu na Malkia Vashiti katika ikulu ya Mfalme Ahusuero .
EST 1:10     Alignment score: 0.492 → 0.631
On the seventh day , when the king 's heart was feeling happy because of the wine , he told Mehuman , Biztha , Harbona , Bigtha , Abagtha , Zethar , and Karkas ( the seven officials who served before him ) ,
Katika siku ya saba moyo wa mfalme ulipokuwa
na furaha kwa sababu ya mvinyo , aliwaagiza Mehumani , Biztha , Harbona , Bigtha , Abagtha , Zethari na Karkas ( hawa saba ndio waliohudumu mbele ya mfalme )
EST 1:11     Alignment score: 0.234 → 0.249
to bring Queen Vashti before him with her royal crown . He wanted to show the people and the officials her beauty , for her features were stunning .
kumleta Malkia Vashiti akiwa katika mavazi yake ya kimalkia . Akiwa na lengo la kuwaonyesha
watu na maakida urembo wake , maana alikuwa mrembo .
EST 1:12     Alignment score: 0.417
But Queen Vashti refused to come at the word of the king that had been brought to her by the officials . Then the king became very angry ; his rage burned within him .
Lakini , Malkia Vashiti alikataa kwenda kama mfalme alivyokuwa amewaagiza viongozi wake . Hivyo , mfalme akakasirika sana ; ghadhabu yake ikawaka ndani yake
EST 1:13     Alignment score: 0.326 → 0.326
So the king conferred with the men who were known to be wise , who understood the times ( for this was the king 's procedure toward all who were expert in law and judgment ) .
Mfalme akawaendea wenye hekima , waliofahamu nyakati ( kwa kuwa huu ndio uliokuwa utaratibu wa mfalme kuhusu wale waliokuwa
watalaamu wa sheria na hukumu .
EST 1:14     Alignment score: 0.294 → 0.577
Now the ones close to him were Karshena , Shethar , Admatha , Tarshish , Meres , Marsena , and Memukan , seven princes of Persia and Media . They had access to the king , and they held the highest offices within the kingdom .
Carshena , Shethar , Admatha , Tarshish , Meres , Marsena , na Memucan , majimbo saba ya Uajemi na Umedi
walikuwa karibu na mfalme na walikuwa na vyeo vikubwa katika ufalme .
EST 1:15     Alignment score: 0.325 → 0.332
" In compliance with the law , what is to be done to Queen Vashti because she did not obey the command of King Xerxes , which was brought to her by the officials ? "
Katika kutafsiri nini kifanyike kwa mjibu
wa sheria kutokana na mgomo wa Malkia Vashiti dhidi ya agizo la mfalme Ahusiero kwa Malkia Vashiti .
EST 1:16     Alignment score: 0.385 → 0.391
Memukan said in the presence of the king and the officials , " Not only against the king has Vashti the queen done wrong , but also against all the officials and all the people who are in all the provinces of King Xerxes .
Memukani
alisema mbele ya Mfalme na mbele ya viongozi , Malkia Vashiti hajamkosea tu mfame , na wakuu , na watu wote walio katika majimbo ya mfale Ahusiero .
EST 1:17     Alignment score: 0.36 → 0.38
For the matter of the queen will become known to all women . It will cause
them to treat their husbands with contempt . They will say , ' King Xerxes commanded Vashti the queen to be brought before him , but she refused . '
Kwa kuwa jambo la malkia litafahamika kwa wanawake wote . Itawasababisha kuwatendea waume zao vibaya . Watasema , Mfalme Ahusiero Malkia Vashiti hakumtii mme wake , Mfalme Ahusiero alipotaka ahudhurie mbele yake .
EST 1:18     Alignment score: 0.323 → 0.327
Before the end of this very day the noble women of Persia and Media who have heard of the matter of the queen will say the same thing to all the king 's officials . There will be much contempt and anger .
Kabla ya siku hii wanawake wa wakuu , wa Uajemi na Umedi
walioipata taarifa ya mgomo wa malkia Vashiti , watawatendea waume zao , viongozi wa mfalme . Kutakuwa na ghasia na nyingi hasira .
EST 1:19     Alignment score: 0.381 → 0.388
If it pleases the king , let a royal decree be sent out from him , and let it be written in the laws of the Persians and the Medes , which can not be repealed , that Vashti may no longer come before him . Let the king give
her position as queen to another who is better than she .
Kama ni jambo jema kwa mfalme , ruhusu tangazo litolewe , na iwe katika sheria ya Waajemi na Wamedi , ambao haiwezi kutanguliwa , kwamba Vashiti hatakuja tena mbele za mfalme kama malkia . Nafasi ya Vashiti apewe mwingine ambaye ni bora zaidi ya Vashiti .
EST 1:20     Alignment score: 0.239 → 0.268
When the king 's decree is proclaimed throughout all his vast kingdom , all the wives will honor their husbands , from the greatest to the least significant . "
Tangazo la mfalme litakapotolewa katika ufalme wote , wanawake wote watawaheshimu waume zao , tangu mwenye cheo hadi hasiye na cheo .
EST 1:21     Alignment score: 0.392 → 0.417
The king and his princes were pleased with this advice , and the king did as Memukan proposed .
Ushauri huu ulikuwa mzuri
kwa mfalme na wakuu wengine , mfalme akafamya kama Memkani alivyopendekeza .
EST 1:22     Alignment score: 0.172 → 0.181
He sent out letters to all the royal provinces , to each province in its own writing , and to each people in their own language . He ordered that every man should be master of his own household . This decree was given in the language of each people in the empire .
Akatuma barua katika majimbo yote ya mfalme , kwa kilajambo na andiko lake , na watu kwa makabila yao . Aliamuru kwamba kila mme awe msimamizi katika nyumba yake mwenyewe . Tangazo hili lilitolewa katika lungha ya kila mtu katika ufalme
.
EST 1     Average alignment score: 0.381 for 22 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of EST:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10