Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:43
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of LAM:1  2  3  4  5 


LAM 1:1     Alignment score: 0.368
The city that once was full of people is now sitting all alone . She has become like a widow , though she was a mighty nation . She was a princess among the nations , but is now forced into slavery .
Mji ambao
mwanzo ulikuwa na watu wengi sasa umekaa peke yake . Umekuwa kama mjane , japo alikuwa taifa kubwa . Alikuwa mtoto wa mfalme miongoni mwa mataifa , lakini sasa amelazimishwa utumwani .


LAM 1:2     Alignment score: 0.336 → 0.371
She weeps bitterly in the night , and her tears cover her cheeks . None of her lovers comfort her . All her friends have betrayed her . They have become her enemies .
Analia na kuomboleza usiku , na machozi yake yanafunika mashavu yake . Hamna hata mpenzi wake anaye mliwaza . Marafiki wake wote wamemsaliti . Wamekuwa maadui wake .
LAM 1:3     Alignment score: 0.351 → 0.348
Judah has gone into exile after affliction and great labor . She lives among the nations and finds no rest . All her pursuers overtook her in her desperation .
Baada ya umaskini
na mateso , Yuda ameenda matekani . Anaishi miongoni mwa mataifa na hapati pumziko lolote . Wanao wakimbiza wamewapata katika upweke wake .
LAM 1:4     Alignment score: 0.306 → 0.318
The roads of Zion mourn because none come to the appointed feasts . All her gates are desolate . Her priests groan . Her virgins are afflicted , and as for her , it is bitter for her .
Barabara za Sayuni zinaomboleza kwasababu hakuna anaye kuja kwenye sherehe iliyo andaliwa . Malango yake yote ni ukiwa . Makuhani wake wote wana sononeka . Mabikra
wake wana huzuni na yeye mwenyewe yupo katika ugumu .
LAM 1:5     Alignment score: 0.195 → 0.246
Her adversaries have become her master ; her enemies prosper . Yahweh has afflicted her for her many sins . Her little children go into captivity to her adversary .
Maadui wake wamekuwa bwana zake ; maadui wake wana fanikiwa . Yahweh
amemuadhibu kwa dhambi zake nyingi . Watoto wake wadogo wanaenda matekani kwa maadui zake .
LAM 1:6     Alignment score: 0.234 → 0.239
Splendor has left the daughter of Zion . Her princes have become like deer that can not find pasture , and they go without strength before their pursuer .
Uzuri umemwacha binti wa Sayuni . Watoto wa mfalme wamekuwa kama ayala ambaye
haoni malisho , na wanaenda bila uwezo kwa wanao wakimbiza .
LAM 1:7     Alignment score: 0.234 → 0.267
In the days of her affliction and her homelessness , Jerusalem will call to mind all her precious treasures that she had in former days . When her people fell
into the hand of the adversary , no one helped her . The adversaries saw her and mocked at her destruction .
Katika siku za mateso yake na kutokuwa na nyumba , Yerusalemu itakumbuka hazina zake za thamani alizo kuwa nazo awali . Wakati watu wake walipo angukia mikononi mwa adui , hakuna aliye msaidia . Maadui waliwaona na kucheka maangamizo yake .
LAM 1:8     Alignment score: 0.227 → 0.245
Jerusalem sinned greatly , therefore , she has become scorned as something that is filthy . All who honored her now despise her since they have seen her nakedness . She groans and tries to turn away .
Yerusalemu ili tenda dhambi sana , hivyo basi , amedalillika kama kitu kichafu . Wote walio
mheshimu sasa wana mdharau kwa kuwa wameona uchi wake . Anasononeka na kujaribu kugeuka pembeni .
LAM 1:9     Alignment score: 0.227 → 0.246
She has become unclean beneath her skirts . She did not think about her future . Her fall was astonishing . There was no one to comfort her . She cried out , " Look at my affliction , Yahweh , for the enemy has become too great ! "
Amekuwa mchafu chini ya sketi yake . Hakuwaza hatima yake . Anguko lake lilikuwa baya
. Hakukuwa na wakumliwaza . Alilia , Angalia mateso yangu , Yahweh , kwa kuwa adui amekuwa mkuu sana .
LAM 1:10     Alignment score: 0.268 → 0.299
The adversary has put his hand on all our precious treasures . She has seen the nations enter her sanctuary , even though you had commanded that they must not enter into your assembly place .
Adui ameeka mkono wake kwenye hazina zetu za thamani . Ameona mataifa yakiingia sehemu yake takatifu , japo uliamuru wasiingie katika sehemu yako ya kukusanyikia .
LAM 1:11     Alignment score: 0.296 → 0.313
All her people groan as they search for bread . They have given their precious treasures for food to restore their lives . Look , Yahweh , and consider me , for I have become worthless .
Watu wote wana sononeka wanapo tafuta mkate . Wametoa hazina zao za thamani kwa ajili ya chakula cha kurejesha uhai wao . Tazama , Yahweh
, ni kumbuke mimi , kwa kuwa nimekuwa sina faida .
LAM 1:12     Alignment score: 0.274 → 0.276
Is it nothing to you , all you who pass by ? Look and see if there is anyone else 's sorrow like the sorrow that is being inflicted on me , since Yahweh has tormented me on the day of his fierce anger .
Sio kitu kwako , wote mnao pita ? Angalia na uone kama kuna mtu mwenye huzuni kama huzuni ninao teswa nao , tangu Yahweh
amenitesa mimi katika siku ya hasira yake kali .
LAM 1:13     Alignment score: 0.265 → 0.282
It is from on high that he has sent fire into my bones , and it has conquered them . He has spread a net for my feet and turned me back . He has made me constantly desolate and weak .
Ni kutoka juu ndipo alipo tuma moto kwenye mifupa yangu na umenishinda . Ametanda nyavu kwa miguu yangu na kunigeuza . Amenifanya ukiwa na dhahifu
.
LAM 1:14     Alignment score: 0.246 → 0.227
The yoke of my transgressions is bound together by his hand . They are knit together and placed upon my neck . He has made my strength fail . The Lord has given me over into their hands , and I am not able to stand .
Nira ya makosa yangu imefungwa na mikono
yake . Zimesokotwa na kuwekwa shingoni mwangu . Amefanya uweza wangu kushindwa . Bwana amenikabidhi mikononi mwa , na siwezi kusimama .
LAM 1:15     Alignment score: 0.299 → 0.305
The Lord has tossed aside
all my mighty men who defended me . He has called an assembly against me to crush my vigorous men . The Lord has trampled the virgin daughter of Judah in the winepress .
Bwana ametupa pembeni wanaume wangu hodari walio niokoa . Ameitisha kusanyiko dhidi yangu kuponda wanaume wangu imara . Bwana amewakanyaga binti bikra wa Yuda kwenye chombo cha kusagia mvinyo .
LAM 1:16     Alignment score: 0.262 → 0.284
For these
things I weep , my eyes overflow with tears ; for a comforter is far from me , one who restores my life . My children are desolate because the enemy has conquered me .
Kwa vitu hivi ninalia . Macho yangu , maji yanashuka chini ya macho yangu tangu mfariji aliye paswa kurejesha maisha yangu yuko mbali na mimi . Watoto wangu wamekuwa ukiwa kwasababu adui yangu ameshinda .
LAM 1:17     Alignment score: 0.391 → 0.407
Zion has spread her hands wide ; there is none to comfort her . Yahweh has commanded that those around Jacob should be his adversaries . Jerusalem is something unclean to them .
Sayuni ametandaza mikono yake ; hakuna wakuwa mliwaza . Yahweh
ameamuru hao karibu na Yakobo wawemaadui wake . Yerusalemu ni kitu kichafu kwao .
LAM 1:18     Alignment score: 0.351
Yahweh is righteous , for I have rebelled against his commandment
. Hear , all you peoples , and see my sorrow . My virgins and my vigorous men have gone into captivity .
Yahweh ni mwenye haki , kwa kuwa nimeasi dhidi ya amri zake . Sikia , ninyi watu , na muone huzuni yangu . Mabikra wangu na wanaume imara wameenda matekani .
LAM 1:19     Alignment score: 0.346 → 0.35
I called for my lovers , but they were treacherous toward me . My priests and my elders perished in the city , while they sought food to restore their lives .
Niliita marafiki zangu , lakini walikuwa na hila kwangu . Makuhani wangu na wazee waliangamia kwenye mji , walipo kuwa wanatafuta chakula cha kurejesha uhai wao .
LAM 1:20     Alignment score: 0.369
Look , Yahweh , for I am in distress ; my stomach churns , my heart is disturbed within me , for I have been very rebellious . Outside , the sword bereaves ; inside the house there is only death .
Tazama , Yahweh
, kwa kuwa nipo kwenye ugumu ; tumbo langu lina nguruma , moyo wangu umetibuka ndani yangu , kwa kuwa nimekuwa muasi sana . Nnje , upanga umemaliza na , ndani ya nyumba kuna mauti tu .
LAM 1:21     Alignment score: 0.264 → 0.275
They have heard my groaning , but there is no one to comfort me . All my enemies have heard of my trouble , and they are glad that you have done it . You have brought the day you proclaimed ; now let them become like me .
Wamesikia sononeko langu , lakini hakuna wakuni liwaza . Maadui zangu wote wamesikia shida zangu na wamefurahi umenifanyia hivi . Umeleta siku uliyo ahidi ; sasa acha wawe kama mimi .
LAM 1:22     Alignment score: 0.285
Let all their wickedness come before you . deal with them as you have dealt with me because of all my transgressions . My groans are many and my heart is faint .
Acha uovu wote uje mbele zako . Shughulika nao kama ulivyo shughulika na mimi kwasababu ya makosa yangu yote . Masononeko yangu ni mengi na moyo umezimia .
LAM 1     Average alignment score: 0.302 for 22 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of LAM:1  2  3  4  5