Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:47
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2PE:1  2  3 


2PE 3:2     Alignment score: 0.368 → 0.377
so that you will recall the words spoken in the past by the holy prophets and the command of our Lord and Savior given through your apostles .
ili kwamba uweze
kukumbuka maneno yaliyosemwa kabla na manabii watakatifu na kuhusu amri ya Bwana wetu na mwokozi kwa kutumia mitume .


2PE 3:3     Alignment score: 0.201 → 0.202
Know this
first , that mockers will come in the last days . They will mock and proceed according to their own desires .
Ujue ili kwanza , kwamba wasaliti watakuja katika siku za mwisho kuwasaliti ninyi , wakienenda sawasawa na matakwa yao .
2PE 3:4     Alignment score: 0.291 → 0.296
They will say , " Where is the promise of his return ? From when our fathers fell
asleep , all things have stayed the same , since the beginning of creation . "
Na wakisema Iko wapi ahadi ya kurudi ? Baba zetu walikufa , Lakini vitu vyote vilikuwa hivyo tangu mwanzo wa uumbaji .
2PE 3:5     Alignment score: 0.426
They deliberately forget that long ago by the word of God the heavens and the earth came
to exist out of water and through water ,
Wakajifanya kusahau kwamba nchi na mbingu vilianza kutokana na maji na kupitia maji zamani za kale , kwa neno la Mungu ,
2PE 3:6     Alignment score: 0.269
through which the world at that time was destroyed , being flooded with water .
na kwamba kupitia neno lake na maji yakawa
ulimwengu kwa kipindi hicho , ikiwa imejaa maji , iliharibiwa .
2PE 3:7     Alignment score: 0.349
By the same word the heavens and the earth are reserved for fire , being kept for the day of judgment and destruction of ungodly people .
Lakini sasa mbingu na dunia zimetunzwa kwa neno hilo
hilo kwa ajili ya moto . Vimehifadhiwa kwa ajili ya siku ya hukumu na maangamizi ya watu wasio wa Mungu
2PE 3:8     Alignment score: 0.357 → 0.393
It should not escape your notice , beloved , that one day with the Lord is like a thousand years , and a thousand years are like one day .
Wapendwa , kwamba siku moja kwa bwana ni kama miaka elfu moja
. Na miaka elfu moja ni kama siku moja .
2PE 3:9     Alignment score: 0.169
The Lord is not slow concerning his promise , as some consider slowness to be . Rather , he is patient toward you . He does not desire for any of you to perish , but for everyone to come to repentance .
Si kwamba Bwana anafanya pole pole kutimiza ahadi , kama inavyofikiriwa kuwa , Lakini yeye ni mvumilivu kwa ajili yenu , yeye hatamani hata mmoja aangamie , Lakini hutamani kutoa muda ili wote wapate kutubu .
2PE 3:10     Alignment score: 0.27
However , the day of the Lord will come as a thief . The heavens will pass away with a loud noise . The elements will be burned with fire , and the earth and the deeds in it will be laid bare .
Ingawa , siku ya Bwana itakuja kama mwizi , mbingu itapita kwa kupaza kelele . Vitu vitateketezwa kwa moto . Nchi na vitu vyote
vilivyomo vitafunuliwa wazi .
2PE 3:11     Alignment score: 0.222
Since all these
things will be destroyed in this way , what kind of people should you be ? You should live holy and godly lives .
Kwa kuwa vitu vyote vutateketezwa kwa njia hii . Je utakuwa mtu wa aina gani ? Uishi kitakatifu na maisha ya kimungu .
2PE 3:12     Alignment score: 0.305
You should expect and hasten the coming of the day of God . On that day , the heavens will be destroyed by fire , and the elements will be melted in great heat .
Inakupasa kujua na kutambua haraka ujio wa siku ya Mungu . Siku hiyo
mbingu itateketezwa kwa moto . Na vitu vitayeyushwa katika joto kali .
2PE 3:13     Alignment score: 0.415
But according to his promise we are waiting for the new heavens and the new earth , where righteousness will dwell .
Lakini kutokana na ahadi yake , tunasubiri
mbingu mpya na nchi mpya , ambapo wenye haki wataishi
2PE 3:14     Alignment score: 0.206 → 0.226
Therefore , beloved , since you expect these
things , do your best to be found spotless and blameless before him , in peace .
Hivyo wapendwa kwa kuwa tunatarajia vitu hivi , jitahidi kuwa makini na kutolaumika na kuwa na amani pamoja naye .
2PE 3:15     Alignment score: 0.407 → 0.419
Also , consider the patience of our Lord to be salvation , just as our beloved brother Paul wrote
to you , according to the wisdom that was given to him .
Na zingatia uvumilivu wa Bwana wetu katika wokovu , kama mpendwa kaka yetu Paulo , alivyowaandikia ninyi , kutokana na hekima ambayo alipewa .
2PE 3:16     Alignment score: 0.227
Paul speaks of these
things in all his letters , in which there are things that are difficult to understand . Ignorant and unstable men distort these things , as they also do the other scriptures , to their own destruction .
Paulo anaongelea hayo yote katika barua zake , kuna vitu ambavyo ni vigumu kuvielewa . Watu wasio na adabu na uimara wameviharibu vitu hivyo , na kama wanavyofanya kwa maandiko . Kuelekea maangamizi yao .
2PE 3:17     Alignment score: 0.193
Therefore , beloved , since you know about these
things beforehand , guard yourselves so that you are not led astray by the deceit of lawless people and lose your own faithfulness .
Hivyo , wapendwa kwa kuwa mnayafahamu hayo . Jilindeni wenyewe ili kwamba msipotoshwe na udanganyifu wa walaghai na kupoteza uaminifu .
2PE 3:18     Alignment score: 0.536 → 0.539
But grow in the grace and knowledge of our Lord and Savior Jesus Christ . May the glory be to him both now and to the day of eternity . Amen !
Lakini mkue katika neema na ufahamu wa Bwana na mwokozi Yesu Kristo . Na sasa utukufu una yeye sasa na milele . Amina .
2PE 3     Average alignment score: 0.306 for 17 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2PE:1  2  3