Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:47
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 1JN:1  2  3  4  5 


1JN 2:1     Alignment score: 0.408
Children , I am writing these
things to you so that you will not sin . But if anyone sins , we have an advocate with the Father , Jesus Christ , the one who is righteous .
Watoto wangu wapendwa , nawaandikia mambo haya kwenu ili msitende dhambi . Lakini kama mmoja wenu akitenda dhambi , tunaye wakili aliye pamoja na Baba , Yesu Kristo - ambaye ni mwenye haki .


1JN 2:2     Alignment score: 0.37 → 0.374
He is the atoning sacrifice
for our sins , and not for ours only , but also for the whole world .
Yeye ni mpatanishi kwa dhambi zetu , na si kwa dhambi zetu pekee , lakini pia kwa ulimwengu mzima .
1JN 2:3     Alignment score: 0.176
We know that we have come to know him , if we keep his commandments .
Kwa hili
twajua kwamba twamjua yeye , kama tukizitunza amri zake .
1JN 2:4     Alignment score: 0.408
The one who says " I know God " but does not keep his commandments is a liar , and the truth is not in him .
Yeye asemaye
, Namjua Mungu , lakini hazishiki amri zake , ni mwongo , na kweli haimo ndani yake .
1JN 2:5     Alignment score: 0.408
But whoever keeps his word , in him truly the love of God has been perfected . By this we know that we are in him :
Lakini yeyote ashikaye neno lake , kweli katika mtu yule upendo wa Mungu umekamilishwa . Katika hili twajua kwamba tuko ndani yake .
1JN 2:6     Alignment score: 0.346 → 0.346
whoever says that he remains in God should himself also walk just as he walked .
Yeye asemaye
anaishi ndani ya Mungu inampasa yeye mwenyewe pia kutembea kama vile Yesu Kristo alivyotembea .
1JN 2:7     Alignment score: 0.282 → 0.314
Beloved , I am not writing a new commandment
to you , but an old commandment that you have had from the beginning . The old commandment is the word that you heard .
Wapenzi , siwaandikii ninyi amri mpya , bali amri ya zamani ambayo mmekwisha kuwa nayo tangu mwanzo . Amri ya zamani ni neno ambalo mlilolisikia .
1JN 2:8     Alignment score: 0.399
Yet I am writing a new commandment
to you , which is true in Christ and in you , because the darkness is passing away , and the true light is already shining .
Hata hivyo ninawaandikia ninyi amri mpya , ambayo ni kweli katika Kristo na kwenu , kwa sababu giza linapita , na nuru ya kweli iko tayari inaangaza
1JN 2:9     Alignment score: 0.337 → 0.337
The one who says that he is in the light and hates his brother is in the darkness until now .
Yeye asemeye
yuko kwenye nuru na amchukia ndugu yake yuko katika giza hata sasa .
1JN 2:10     Alignment score: 0.21 → 0.227
The one who loves his brother remains in the light , and there is no occasion for stumbling in him .
Yeye ampendaye ndugu yake anaishi katika nuru na hakuna jambo lolote liwezalo kumkwaza .
1JN 2:11     Alignment score: 0.411 → 0.444
But the one who hates his brother is in the darkness and walks in the darkness ; he does not know where he is going because the darkness has blinded his eyes .
Lakini yeye amchukiaye ndugu yake yuko gizani na anatembea
gizani ; Yeye hajui wapi aendako , kwa sababu giza limeyapofusha macho yake .
1JN 2:12     Alignment score: 0.361 → 0.403
I am writing to you , children , because your sins are forgiven because of his name .
Nawaandikia ninyi , watoto wapendwa , kwa sababu mmesamehewa dhambi zenu kwa ajili ya jina lake .
1JN 2:13     Alignment score: 0.411 → 0.413
I am writing to you , fathers , because you know the one who is from the beginning . I am writing to you , young men , because you have overcome the evil one . I have written to you , children , because you know the Father .
Nawaandikia ninyi , akina baba , kwa sababu mnamjua yeye aliye tangu mwanzo . Nawaandikia ninyi , vijana , kwa sababu mmemshinda yule mwovu . Nimewaandikia ninyi , watoto wadogo
, kwa sababu mnamjua Baba .
1JN 2:14     Alignment score: 0.407 → 0.409
I have written to you , fathers , because you know the one who is from the beginning . I have written to you , young men , because you are strong , and the word of God remains in you , and you have overcome the evil one .
Nimewaandikia ninyi , akina baba , kwa sababu mnamjua yeye aliye tangu mwanzo . Nimewaandikia ninyi , vijana , kwa sababu mko na nguvu , na neno la Mungu linakaa ndani yenu , na mmemshinda yule mwovu .
1JN 2:15     Alignment score: 0.263 → 0.268
Do not love the world or the things that are in the world . If anyone loves the world , the love of the Father is not in him .
Msiipende dunia wala vitu ambavyo vimo katika dunia . Iwapo yule
ataipenda dunia , upendo wa kumpenda Baba haumo ndani yake .
1JN 2:16     Alignment score: 0.409
For everything that is in the world the lust of the flesh , the lust of the eyes , and the arrogance of life is not from the Father but is from the world .
Kwani kila kitu kilichomo katika dunia - tamaa ya mwili , tamaa ya macho , na kiburi cha uzima - havitokani na Baba lakini vinatokana na dunia .
1JN 2:17     Alignment score: 0.304
The world and its desire are passing away . But whoever does the will of God will remain forever .
Dunia na tamaa zake zinapita . Bali yeye afanyaye mapenzi ya Mungu huyo
adumu milele .
1JN 2:18     Alignment score: 0.322 → 0.345
Children , it is the last hour . Just as you heard that the antichrist is coming , now many antichrists have come . By this we know that it is the last hour .
Watoto wadogo
, ni wakati wa mwisho . Kama ambavyo mmesikia kwamba mpinga kristo anakuja , hata sasa wapinga kristo wameshakuja , kwa hali hii tunajua kwamba ni wakati wa mwisho .
1JN 2:19     Alignment score: 0.167 → 0.18
They went out from us , but they were not from us . For if they had been from us , they would have remained with us . But when they went out , that showed they were not from us .
Waliondoka zao kutoka kwetu , kwani hawakuwa wa kwetu . Kama vile wangekuwa wa kwetu wangeendelea kuwa pamoja nasi . Lakini wakati walipo kwenda zao , hicho kilionyesha hawakuwa wa kwetu .
1JN 2:20     Alignment score: 0.31
But you have an anointing from the Holy One , and you all know .
Lakini ninyi mmetiwa mafuta kutoka kwa yule Mtakatifu , nanyi nyote mnajua kweli .
1JN 2:21     Alignment score: 0.374 → 0.378
I did not write
to you because you do not know the truth , but because you know it and because no lie is from the truth .
Sikuwaandikia ninyi kwa sababu hamujui ukweli , bali kwa sababu mnaijua na kwa sababu hakuna uongo wa ile kweli
1JN 2:22     Alignment score: 0.479
Who is the liar but the one who denies that Jesus is the Christ ? That person is the antichrist , since he denies the Father and the Son .
Nani ni mwongo bali ni yeye anayepinga kwamba Yesu ni Kristo ? Huyu
mtu ni mpinga kristo , pale anapo mpinga Baba na Mwana .
1JN 2:23     Alignment score: 0.465
No one who denies the Son has the Father . Whoever confesses the Son also has the Father .
Hakuna anaye mpinga Mwana akawa na Baba . Yeyote anaye mkiri Mwana anaye Baba pia .
1JN 2:24     Alignment score: 0.33
As for you , let what you have heard from the beginning remain in you . If what you heard from the beginning remains in you , you will also remain in the Son and in the Father .
Kama kwa ajili yenu , kile mlichosikia toka mwanzo acha kiendelee kuwa ndani yenu . Kama kile mlichosikia toka mwanzo kitakaa ndani yenu , pia , mtakaa ndani ya Mwana na Baba .
1JN 2:25     Alignment score: 0.371 → 0.391
This is the promise he gave
to us eternal life .
Na hii ni ahadi aliyotupatia sisi : uzima wa milele .
1JN 2:26     Alignment score: 0.185
I have written these
things to you about those who would lead you astray .
Nimewaandikia haya ninyi kuhusu wale ambao wangewaongoza ninyi katika upotevu .
1JN 2:27     Alignment score: 0.184
As for you , the anointing that you received from him remains in you , and you do not need anyone to teach you . But as his anointing teaches you everything and is true and is not a lie , and just as it has taught you , remain in him .
Na kwa ajili yenu , yale
mafuta mliyoyapokea kutoka kwake yanakaa ndani yenu , na hamtahitaji mtu yeyote kuwafundisha . Bali kama mafuta yake yanawafundisha kuhusu mambo yote na ni kweli na siyo uongo , na hata kama yameshawafundisha , kaeni ndani yake .
1JN 2:28     Alignment score: 0.318 → 0.321
Now , children , remain in him so that when he appears we will have boldness and not be ashamed before him at his coming .
Na sasa , watoto wapendwa , kaeni ndani yake , ili wakati atakapotokea , tuweze kuwa na ujasiri na siyo kujisikia aibu mbele yake katika kuja kwake .
1JN 2:29     Alignment score: 0.249 → 0.248
If you know that he is righteous , you know that everyone who does what is right has been born from him .
Kama mnajua kuwa yeye ni mwenye haki , mnajua kwamba kila mmoja atendaye haki amezaliwa na yeye .
1JN 2     Average alignment score: 0.347 for 29 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 1JN:1  2  3  4  5