Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:47
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 1PE:1  2  3  4  5 


1PE 4:1     Alignment score: 0.408 → 0.42
Therefore , because Christ suffered in the flesh , arm yourselves with the same intention . For whoever has suffered in the flesh has ceased from sin .
Kwa hiyo , kwa sababu Kristo aliteseka katika mwili , jivikeni kwa nia iyo hiyo . Kwa yeyote aliyeteswa katika mwili ameachana na dhambi .


1PE 4:2     Alignment score: 0.296 → 0.319
As a result , such a person , for the rest of his time in the flesh , no longer lives for men 's desires , but for God 's will .
Kwa hiyo
, mtu wa namna hiyo , kwa wakati wake uliobaki katika mwili , haishi tena katika tamaa za wanadamu , bali anaishi katika mapenzi ya Mungu .
1PE 4:3     Alignment score: 0.21 → 0.22
For the time that has passed is enough for you to do the desire of the Gentiles , living in sensuality , lusts , drunkenness , drunken celebrations , having wild parties , and committing lawless acts of idolatry .
Kwa muda uliopita umetosha kutenda mambo ambayo wamataifa wanataka
kufanya - ufisadi , nia mbaya , ulevi , ulafi , sherehe za kipagani na ibada za sanamu zenye machukizo .
1PE 4:4     Alignment score: 0.133 → 0.133
They think it is strange that you do not join with them in these
floods of reckless behavior , so they speak evil about you .
Wanafikiri ni ajabu mnapojiepusha kutenda mambo hayo pamoja nao , hivyo wananena maovu juu yenu .
1PE 4:5     Alignment score: 0.302
They will give
an account to the one who is ready to judge the living and the dead .
Watatoa hesabu kwake aliye tayari kuhukumu walio hai na wafu .
1PE 4:6     Alignment score: 0.282 → 0.29
For this purpose the gospel was preached also to the dead
, so that , although they have been judged in the flesh as humans , they may live in the spirit the way God does .
Kwa kusudi hili injili ilihubiriwa kwao waliokwisha kufa , kwamba ijapokuwa walikwisha hukumiwa katika miili yao kama wanadamu , ili waweze kuishi kulingana na Mungu katika roho .
1PE 4:7     Alignment score: 0.272
The end of all things is coming near . Therefore be of sound mind , and be sober in your thinking for the sake of prayers .
Mwisho wa mambo yote unakuja
. Kwa hiyo , mwe na ufahamu ulio sahihi , na iweni na nia njema kwa ajili ya maombi yenu .
1PE 4:8     Alignment score: 0.293 → 0.294
Above all things , have fervent love for one another , for love covers a multitude of sins .
Kabla ya mambo yote , eweni na bidii katika upendo kwa kila mmoja , kwa kuwa upendo hautafuti
kufunua dhambi za wengine .
1PE 4:9     Alignment score: 0.149
Be hospitable to one another without complaining .
Onyesheni ukarimu kwa kila mmoja bila kunung'unika .
1PE 4:10     Alignment score: 0.187 → 0.207
As each one of you has received a gift , use it to serve one another as good stewards of God 's grace in its various forms .
Kama ambavyo kila mmoja wenu alivyopokea karama , itumieni katika kuhudumiana , kama wasimamizi wema wa karama nyingi zilizotolewa bure na Mungu .
1PE 4:11     Alignment score: 0.368 → 0.382
If anyone speaks , let it be with God 's words . If anyone serves , let it be from the strength that God supplies . Do these
things so that in all ways God would be glorified through Jesus Christ . May there be to Jesus Christ glory and dominion forever and ever . Amen .
Kama mtu akiongea , na iwe kama mausia ya Mungu , na kama mtu akihudumu , na iwe kama uwezo aliopewa na Mungu , ili kwamba kwa kila jambo Mungu apate kutukuzwa kupitia Yesu Kristo . Utukufu na uweza vina Yeye milele na milele . Amina .
1PE 4:12     Alignment score: 0.097 → 0.106
Beloved , do not regard as strange the testing in the fire that has come upon you , as if something strange were happening to you .
Wapendwa , msihesabu jaribu ambalo huja kuwajaribu kama kitu kigeni , ingawa kuna kitu kigeni kilichokuwa kinatukia
kwenu .
1PE 4:13     Alignment score: 0.381 → 0.381
Instead , however much you experience the sufferings
of Christ , rejoice , so that you may also rejoice and be glad when his glory is revealed .
Lakini kwa kadri mnavyozidi kupata uzoefu wa mateso ya Kristo , furahini , ili kwamba mfurahi pia na kushangilia katika ufunuo wa utukufu wake .
1PE 4:14     Alignment score: 0.555
If you are insulted for Christ 's name , you are blessed , because the Spirit of glory and of God rests on you .
Iwapo mmetukanwa kwa ajili ya jina la Kristo , mmebarikiwa
, kwa sababu ya Roho wa utukufu na Roho wa Mungu anakaa juu yenu .
1PE 4:15     Alignment score: 0.43 → 0.433
But let none of you suffer as a murderer , a thief , an evildoer , or a meddler .
Lakini asiwepo yeyote mwenye kuteswa kama muuaji
, mwizi , mtenda maovu , au ajishughulishaye na mambo ya wengine .
1PE 4:16     Alignment score: 0.374 → 0.376
Yet if anyone suffers as a Christian , let him not be ashamed ; instead , let him glorify God with that name .
Lakini ikiwa mtu anateswa kama Mkristo , asione aibu , bali amtukuze
Mungu katika jina hilo .
1PE 4:17     Alignment score: 0.393
For it is time for judgment to begin
with the household of God . If it begins with us , what will be the outcome for those who disobey God 's gospel ?
Kwa kuwa wakati umefika kwa hukumu kuanzia katika nyumba ya Mungu . Na kama inaanzia kwetu , itakuwaje kwa wale wasioitii injili ya Mungu ?
1PE 4:18     Alignment score: 0.146 → 0.23
And " If it is difficult for the righteous to be saved , what will become of the ungodly and the sinner ? "
Na kama mwenye haki anaokolewa kupitia magumu , itakuwaje kwa mtu asiyehaki na mwenye dhambi ?
1PE 4:19     Alignment score: 0.219 → 0.23
Therefore , let those who suffer because of God 's will commit their souls to the faithful Creator in well - doing .
Kwa hiyo wote wanaoteseka kutokana na mapenzi ya Mungu wakabidhi nafsi zao kwa Muumba mwaminifu ili hali wakitenda mema .
1PE 4     Average alignment score: 0.307 for 19 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 1PE:1  2  3  4  5