Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:46
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 1TH:1  2  3  4  5 


1TH 3:1     Alignment score: 0.212
Therefore , when we could no longer bear it , we thought it was good to be left behind at Athens alone .
Kwa hiyo , tulipo kuwa hatuwezi kuvumilia zaidi , tulifikiri kuwa ilikuwa vema
kubaki kule Athene peke yetu .


1TH 3:2     Alignment score: 0.481
We sent Timothy , our brother and fellow worker for God in the gospel of Christ , to strengthen and comfort you regarding your faith ,
Tulimtuma Timotheo , ndugu yetu na mtumishi wa Mungu katika injili ya Kristo , kuwaimalisha na kuwafariji kuhusiana na imani yenu .
1TH 3:3     Alignment score: 0.211
so that no one would be shaken by these
tribulations . For you yourselves know that for this we have been appointed .
Tulifanya haya ili kusudi asiwepo yeyote wa kuteteleka kutokana na mateso haya , kwa kuwa wenyewe mnajua kwamba tumekwisha teuliwa kwa ajili ya hili .
1TH 3:4     Alignment score: 0.187 → 0.185
Truly , when we were with you , we told you in advance that we were about to suffer affliction , and it happened just so , as you know .
Kwa kweli , wakati tulipokuwa pamoja nanyi , tulitangulia kuwaeleza
ya kuwa tulikuwa karibu kupata mateso , na hayo yalitokea kama mjuavyo .
1TH 3:5     Alignment score: 0.314 → 0.319
For this reason , when I could no longer endure it , I sent that I might
know about your faith . Perhaps the tempter had somehow tempted you , and our labor was in vain .
Kwa sababu hii , nilipo kuwa siwezi kuvumilia tena , nilituma mtu ilikusudi nipate kujua juu ya imani yenu . Huenda mjaribu alikuwa angalau amewajaribu , na kazi yetu ikawa ni bure .
1TH 3:6     Alignment score: 0.283 → 0.311
But Timothy came to us from you and brought us the good news of your faith and love . He told us that you always have good memories of us , and that you long to see us just as we also long to see you .
Lakini Timotheo alikuja kwetu kutokea
kwenu na akatuletea habari njema juu ya imani na upendo wenu . Alitwambia ya kuwa mnayo kumbukumbu nzuri juu yetu , na kuwa mnatamani kutuona kama ambavyo nasi twatamani kuwaona ninyi .
1TH 3:7     Alignment score: 0.42 → 0.428
Because of this , brothers , we were comforted by you because of your faith , in all our distress and affliction .
Kwa sababu hii , ndugu tulifarijika sana na ninyi kwa sababu ya imani yenu , katika taabu na mateso yetu yote .
1TH 3:8     Alignment score: 0.369
For now we live , if you stand firm in the Lord .
Kwa sasa tunaishi , kama mkisimama imara kwa Bwana ,
1TH 3:9     Alignment score: 0.386 → 0.392
For what thanks can we give
to God for you , for all the joy that we have before our God over you ?
Kwani ni shukurani zipi tumpe Mungu kwa ajili yenu , kwa furaha yote tuliyonayo mbele za Mungu juu yenu ?
1TH 3:10     Alignment score: 0.242 → 0.3
Night and day we pray very hard that we may see your face and provide what is lacking in your faith .
Tunaomba sana usiku na mchana ili tuweze kuziona nyuso zenu na kuwaongezea kinachopungua katika imani yenu .
1TH 3:11     Alignment score: 0.496
May our God and Father himself , and our Lord Jesus , direct our way to you .
Mungu wetu na Baba mwenyewe , na Bwana wetu Yesu atuongoze njia yetu tufike kwenu .
1TH 3:12     Alignment score: 0.192
May the Lord make you increase and abound in love one for another and toward all people , as we also do for you .
Na Bwana awafanye muongezeke na kuzidi katika pendo
, mkipendana na kuwapenda watu wote , kama tunavyowafanyia ninyi .
1TH 3:13     Alignment score: 0.469 → 0.471
May he strengthen your hearts so that they will be blameless in holiness before our God and Father at the coming of our Lord Jesus with all his holy people .
Na afanye hivi ili kuiimarisha
mioyo yenu iwe bila lawama katika utakatifu mbele za Mungu wetu na Baba yetu katika ujio wa Bwana Yesu pamoja na watakatifu wake wote .
1TH 3     Average alignment score: 0.337 for 13 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 1TH:1  2  3  4  5