Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:46
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2TH:1  2  3 


2TH 2:1     Alignment score: 0.405
Now about the coming of our Lord Jesus Christ and our being gathered together to be with him , we earnestly appeal to you , brothers ,
Sasa kuhusu kuja kwa Bwana wetu Yesu Kristo na kukusanywa pamoja ili tuwe naye : tunawaomba ninyi ndugu zetu ,


2TH 2:2     Alignment score: 0.362 → 0.374
that you not be easily disturbed or troubled , either by a spirit or by a message , or by a letter that seems to be coming from us , to the effect that the day of the Lord has already
come .
kwamba msisumbuliwe wala kutaabishwa kwa urahisi , kwa roho , au kwa ujumbe au kwa barua inayoonekana kuwa imetoka kwetu , ikisema ya kuwa siku ya Bwana tayari imekuja .
2TH 2:3     Alignment score: 0.289 → 0.303
Let no one deceive you in any way . For it will not come until after the falling away comes and the man of lawlessness is revealed , the son of destruction .
Mtu na asiwadanganye kwa namna yoyote . Kwa kuwa haitakuja mpaka lile anguko litokee kwanza na mtu wa uasi afunuliwe , yule mwana wa uharibifu .
2TH 2:4     Alignment score: 0.342 → 0.343
This is he who opposes and exalts himself against all that is called God or that is worshiped . As a result , he sits in the temple of God and exhibits himself as God .
Huyu
ndiye apingaye naye hujiinua mwenyewe akimpinga Mungu na chochote kinachoabudiwa . Na matokeo yake , hukaa kwenye hekalu la Mungu na kujionyesha yeye kuwa kama Mungu .
2TH 2:5     Alignment score: 0.342
Do you not remember that when I was with you I told you these
things ?
Je , hamkumbuki kuwa nilipokuwa nanyi niliwaambia juu ya mambo haya ?
2TH 2:6     Alignment score: 0.304
Now you know what restrains him , so that he will be revealed only at the right time .
Sasa mnajua kile kinachomzuia , ili kwamba aweze kufunuliwa kwa wakati sahihi utakapowadia .
2TH 2:7     Alignment score: 0.219 → 0.241
For the mystery of lawlessness is already
working , only there is someone who restrains him now until he is taken out of the way .
Kwa kuwa siri ya yule mtu mwenye kuasi inafanya kazi mpaka sasa , ila tu kuna anaye mzuia sasa mpaka atakapotolewa njiani .
2TH 2:8     Alignment score: 0.417
Then the lawless one will be revealed , whom the Lord Jesus will kill with the breath of his mouth and bring him to nothing by the revelation of his coming .
Ndipo yule mwenye kuasi atakapofunuliwa , amabaye
Bwana Yesu atamwua kwa pumzi ya kinywa chake . Bwana atamfanya kuwa si chochote kwa ufunuo wa ujio wake .
2TH 2:9     Alignment score: 0.424
The coming of the lawless one will be due to the work of Satan with all power , signs , and false wonders ,
Ujio wa yule mwenye kuasi utakuwa kwa sababu ya kazi ya shetani kwa nguvu zote , ishara na maajabu ya uongo ,
2TH 2:10     Alignment score: 0.246 → 0.267
and with every kind of evil that deceives those who are perishing , because they refused to love the truth and so be saved .
na uongo wote wenye udhalimu
. Mambo haya yatakuwepo kwa wale wanaopotea , kwa sababu hawakuupokea upendo wa kweli kwa ajili ya kuokolewa kwao .
2TH 2:11     Alignment score: 0.205
For this
reason God is sending them a powerful delusion so that they will believe a lie
Kwa sababu hiyo Mungu anawatumia kazi yenye uovu ili waamini uongo .
2TH 2:12     Alignment score: 0.262 → 0.264
and so that they all may be condemned who did not believe the truth but instead took pleasure in unrighteousness .
Matokeo yake ni kwamba wote watahukumiwa , wale ambao hawakuamini ukweli
bali wao hujifurahisha katika udhalimu .
2TH 2:13     Alignment score: 0.35 → 0.367
But we should always give
thanks to God for you , brothers loved by the Lord , because God chose you as the firstfruits to be saved through the sanctification by the Spirit and belief in the truth .
Lakini inatupasa tumshukuru Mungu kila mara kwa ajili yenu ndugu mpendwao na Bwana . Kwa sababu Bwana aliwachagua ninyi kama malimbuko ya wokovu kwa utakaso wa Roho na imani katika ile kweli .
2TH 2:14     Alignment score: 0.432 → 0.441
He called you to this
through our gospel , so that you might obtain the glory of our Lord Jesus Christ .
Hiki ndicho alichowaitieni ninyi , kwamba kupitia injili muweza kuupata utukufu wa Bwana wetu Yesu Kristo .
2TH 2:15     Alignment score: 0.376 → 0.397
So then , brothers , stand firm and hold tightly to the traditions
that you were taught , whether by word or by our letter .
Kwa hiyo , ndugu , simameni imara . Ueleweni ule utamaduni mliofundishwa , kwa neno au kwa barua yetu .
2TH 2:16     Alignment score: 0.524
Now may our Lord Jesus Christ himself and God our Father , who loved us and gave
us eternal comfort and good hope through grace ,
Sasa , Bwana wetu Yesu Kristo mwenyewe , na Mungu Baba yetu aliyetupenda na kutupa faraja ya milele na ujasiri mwema kwa ajili ya maisha yajayo kupitia neema ,
2TH 2:17     Alignment score: 0.387 → 0.389
comfort and strengthen your hearts in every good work and word .
awafariji na kuifanya
imara mioyo yenu katika kila neno na kazi njema .
2TH 2     Average alignment score: 0.362 for 17 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2TH:1  2  3