Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:46
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2TH:1  2  3 


2TH 3:1     Alignment score: 0.483 → 0.484
Now , brothers , pray for us , that the word of the Lord may rush and be glorified , as it also is with you ,
Na sasa , ndugu , tuombeeni , kwamba neno la Bwana liweze kuenea na kutukuzwa , kama ilivyo pia kwenu .


2TH 3:2     Alignment score: 0.297
and that we may be delivered from unrighteous and evil people , for not all have faith .
Ombeni kwamba tuweze kuokolewa kutoka katika uovu na watu waasi
, kwa kuwa si wote wana imani .
2TH 3:3     Alignment score: 0.37
But the Lord is faithful , who will strengthen you and guard you from the evil one .
Lakini Bwana ni mwaminifu , ambaye atawaimarisha ninyi na kuwalinda kutoka kwa yule mwovu .
2TH 3:4     Alignment score: 0.24
We have confidence in the Lord about you , that you both do and will continue to do the things that we command .
Tunaujasiri katika Bwana kwa ajili yenu , kwamba mnatenda na mtaendelea kutenda mambo ambayo tunawaagiza .
2TH 3:5     Alignment score: 0.404
May the Lord direct your hearts to the love of God and to the endurance of Christ .
Bwana aweze kuongoza mioyo yenu katika upendo na katika uvumilivu wa Kristo .
2TH 3:6     Alignment score: 0.372
Now we command you , brothers , in the name of our Lord Jesus Christ , that you avoid every brother who is idle and does not live according to the traditions
you received from us .
Sasa tunawaagiza , ndugu , katika jina la Bwana Yesu Kristo , kwamba mwepuke kila ndugu ambaye anaishi maisha ya uvivu na siyo kwa kutokana na desturi ambazo mlipokea kutoka kwetu .
2TH 3:7     Alignment score: 0.133
For you yourselves know it is proper for you to imitate us , because we were not idle when we were with you .
Kwa kuwa ninyi wenyewe mnajua ni sawa kwenu kutuiga sisi . Hatukuishi miongoni mwenu kama wale ambao
hawakuwa na nidhamu .
2TH 3:8     Alignment score: 0.223 → 0.222
We did not eat anyone 's bread without paying for it , but we worked night and day in labor and toil , so we might not be a burden to any of you .
Na hatukula chakula cha mtu yeyote bila kukilipia . Badala yake , tulifanya kazi usiku na mchana kwa kazi ngumu na kwa shida , ili tusiweze kuwa mzigo kwa yeyote katika ninyi .
2TH 3:9     Alignment score: 0.295
We did this not because we have no authority , but we did this in order to be an example to you , so that you may imitate us .
Tulifanya hivi si kwa sababu hatuna mamlaka . Badala yake , tulifanya hivi ili tuwe mfano kwenu , ili kwamba mweze kutuiga sisi .
2TH 3:10     Alignment score: 0.149 → 0.178
For when we were with you , we commanded you , " The one who is unwilling to labor must not eat . "
Wakati tulipokuwa pamoja nanyi tuliwaagiza , Ikiwa mmoja wenu hataki kufanya
kazi , na asile .
2TH 3:11     Alignment score: 0.262 → 0.262
For we hear that some among you are idle , not busy at labor , but busybodies .
Kwa kuwa tunasikia kwamba baadhi wanaenenda kwa uvivu miongoni mwenu . Hawafanyi kazi lakini badala yake ni watu wasio na utaratibu .
2TH 3:12     Alignment score: 0.305 → 0.306
Now such ones we command and exhort in the Lord Jesus Christ , that they should labor with quietness and eat their own bread .
Sasa hao nao tunaagiza na kuwaasa katika Bwana Yesu Kristo , kwamba lazima wafanye kazi kwa utulivu na kula chakula chao wenyewe .
2TH 3:13     Alignment score: 0.264
But you , brothers , do not become tired of doing well .
Lakini ninyi , ndugu , msizimie roho katika kufanya yaliyo sahihi .
2TH 3:14     Alignment score: 0.249
And if anyone does not obey our word in this letter , take note of him and have no association with him , so that he may be ashamed
.
Ikiwa mtu yeyote hataki kutii neno letu katika waraka huu , muwe makini naye na msiwe na ushirika pamoja naye , ili kwamba aweze kuaibika .
2TH 3:15     Alignment score: 0.354
Yet do not consider him as an enemy , but warn him as a brother .
Msimchukulie kama adui , lakini mwonyeni kama ndugu .
2TH 3:16     Alignment score: 0.332 → 0.338
Now may the Lord of peace himself give
you peace at all times in all ways . The Lord be with you all .
Bwana wa amani mwenyewe awape amani wakati wowote katika njia zote . Bwana awe nanyi nyote .
2TH 3:17     Alignment score: 0.307
I , Paul , write
this with my own hand , which is the mark on every letter I write .
Hizi ni salamu zangu , mimi Paulo , kwa mkono wangu mwenyewe , ambayo ni alama katika kila waraka . Hivi ndivyo niandikavyo .
2TH 3:18     Alignment score: 0.513
The grace of our Lord Jesus Christ be with you all . Amen .
Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo iweze kuwa nanyi nyote .
2TH 3     Average alignment score: 0.307 for 18 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2TH:1  2  3