Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:46
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2TI:1  2  3  4 


2TI 2:1     Alignment score: 0.431
You therefore , my child , be strengthened in the grace that is in Christ Jesus .
Kwa hiyo , wewe mwanangu , uwe hodari katika neema iliyo ndani ya Kristo Yesu .


2TI 2:2     Alignment score: 0.462 → 0.463
The things you heard from me among many witnesses , entrust them to faithful people who will be able to teach others also .
Na mambo uliyoyasikia kwangu miongoni mwa mashahidi wengi , uyakabidhi kwa watu waaminifu ambao wataweza kuwafundisha wengine pia .
2TI 2:3     Alignment score: 0.462
Suffer hardship with me as a good soldier of Christ Jesus .
Shiriki mateso pamoja nami , kama askari mwema wa Kristo Yesu .
2TI 2:4     Alignment score: 0.358 → 0.358
No soldier serves while entangled in the affairs of this
life , so that he may please his superior officer .
Hakuna askari atumikae wakati huo huo akijihusisha na shughuli za kawaida za maisha haya , ili kwamba ampendeze ofisa wake mkuu .
2TI 2:5     Alignment score: 0.17
Also , if someone competes as an athlete , he is not crowned unless he competes by the rules .
Pia kama mtu akishindana
kama mwanariadha , hatapewa taji asiposhindana kwa kufuata kanuni .
2TI 2:6     Alignment score: 0.316 → 0.317
It is necessary that the hard - working farmer receive his share of the crops first .
Ni Muhimu kwamba mkulima mwenye bidii awe wa kwanza kupokea mgao wa mazao yake .
2TI 2:7     Alignment score: 0.241
Think about what I am saying , for the Lord will give
you understanding in everything .
Tafakari kuhusu nisemacho , kwa maana Bwana atakupa uelewa katika mambo yote .
2TI 2:8     Alignment score: 0.565
Remember Jesus Christ , a descendant
of David , who was raised from the dead . This is according to my gospel message ,
Mkumbuke Yesu Kristo , kutoka uzao wa Daudi , ambaye alifufuliwa kutoka kwa wafu . Hii ni kulingana na ujumbe wangu wa Injili ,
2TI 2:9     Alignment score: 0.332
for which I am suffering to the point of being bound with chains as a criminal . But the word of God is not bound .
ambao
kwa sababu ya huo ninateswa hata kufungwa minyororo kama mtenda mabaya ; Lakini neno la Mungu halifungwi kwa minyororo .
2TI 2:10     Alignment score: 0.5
Therefore I endure all things for those
who are chosen , so that they also may obtain the salvation that is in Christ Jesus , with eternal glory .
Kwa hiyo , navumilia mambo yote kwa ajili ya wateule , ili kwamba nao pia waupate wokovu ulio katika Kristo Yesu pamoja na utukufu wa milele .
2TI 2:11     Alignment score: 0.365 → 0.36
This
is a trustworthy saying : " If we have died with him , we will also live with him .
Usemi huu ni wakuaminika : kama tumekufa pamoja naye , tutaishi pamoja naye pia ,
2TI 2:12     Alignment score: 0.263 → 0.301
If we endure , we will also reign with him . If we deny him , he also will deny us .
kama tukivumilia , tutatawala pamoja naye pia , kama tukimkana yeye , naye pia atatukana sisi .
2TI 2:13     Alignment score: 0.272
If we are unfaithful , he remains faithful , for he can not deny himself . "
Kama hatutakuwa waaminifu , yeye atabaki kuwa mwaminifu , maana hawezi kujikana mwenyewe .
2TI 2:14     Alignment score: 0.234 → 0.234
Keep reminding them of these
things . Command them before God not to quarrel about words ; it is of no value and only ruins those who listen .
Endelea kuwakumbusha juu ya mambo haya , Waonye mbele za Mungu , waache kubishana kuhusu maneno . Kwa kuwa hakuna manufaa katika jambo hili . Kutokana na hili kuna uharibifu kwa wale wanaosikiliza .
2TI 2:15     Alignment score: 0.27 → 0.27
Do your best to present yourself to God as one approved , a laborer who has no reason to be ashamed
, who accurately teaches the word of truth .
Jitahidi kujionesha kuwa umekubalika kwa Mungu kama mtenda kazi asiye na sababu ya kulaumiwa . Litumie neno la kweli kwa usahihi .
2TI 2:16     Alignment score: 0.075
Avoid profane and empty talk , which leads to more and more godlessness .
Jiepushe na majadiliano ya kidunia , ambayo si ya dini .
2TI 2:17     Alignment score: 0.289
Their talk will spread like cancer . Among them are Hymenaeus and Philetus ,
Maneno yao yatasambaa kama donda ndugu . Miongoni mwao ni Himenayo na Fileto .
2TI 2:18     Alignment score: 0.336 → 0.346
who have gone astray from the truth . They say that the resurrection has already
happened , and they destroy the faith of some .
Hawa ni watu walioukosa ukweli , Wanasema ya kuwa ufufuo tayari umekwishatokea , Wanapindua imani ya baadhi ya watu .
2TI 2:19     Alignment score: 0.343 → 0.35
However , the firm foundation of God stands . It has this inscription : " The Lord knows those who are his " and " Everyone who names the name of the Lord must depart from unrighteousness . "
Hata hivyo , msingi imara wa Mungu unasimama , wenye mhuri
huu , Bwana anawajua walio wake , na kila alitajaye jina la Bwana ni lazima ajitenge na udhalimu .
2TI 2:20     Alignment score: 0.353
In a wealthy
home there are not only containers of gold and silver . There are also containers of wood and clay . Some of these are for honorable use , and some for dishonorable .
Kwenye nyumba ya kitajiri , siyo kwamba vimo vyombo vya dhahabu na shaba tu , Pia kuna vyombo vya miti na udongo . Baadhi ya hivi ni kwa ajili ya matumizi ya heshima na baadhi yake ni kwa matumizi yasiyo ya heshima .
2TI 2:21     Alignment score: 0.306 → 0.308
If someone cleans himself from dishonorable use , he is an honorable container . He is set apart , useful to the Master , and prepared for every good work .
Ikiwa mtu atajitakasa mwenyewe kutoka kwenye matumizi yasiyo ya heshima , yeye ni chombo chenye kuheshimika , ametengwa maalumu
, mwenye manufaa kwa Bwana , na ameandaliwa kwa kila kazi njema .
2TI 2:22     Alignment score: 0.441 → 0.457
Flee youthful lusts . Pursue righteousness , faith , love , and peace with those who call on the Lord out of a clean heart .
Lakini zikimbie tamaa za ujanani , Ukifuata haki , imani , upendo na amani pamoja na wale wamwitao Bwana kwa moyo safi .
2TI 2:23     Alignment score: 0.31 → 0.311
But refuse foolish and ignorant questions . You know that they give
birth to quarrels .
Lakini ukatae upumbavu na maswali ya kipuuzi , Kwani ukijua ya kuwa huzaa ugomvi .
2TI 2:24     Alignment score: 0.305
The Lord 's servant must not quarrel . Instead he must be gentle toward all , able to teach , and patient ,
Mtumishi wa Bwana hapaswi kuwa mgomvi , badala yake inampasa kuwa mpole kwa watu wote , awezaye kufundisha , na mvumilivu .
2TI 2:25     Alignment score: 0.309 → 0.341
correcting his opponents with gentleness . Perhaps God may give them repentance for the knowledge of the truth .
Ni lazima awaelimishe kwa upole wale wampingao , Yamkini Mungu aweze kuwapatia toba kwa kuifahamu
kweli .
2TI 2:26     Alignment score: 0.277
They may become sober again and leave the devil 's trap , after they have been captured by him for his will .
Waweze kupata ufahamu tena na kuepuka mtego wa Shetani , baada ya kuwa wametekwa na yeye kwa ajili ya mapenzi yake .
2TI 2     Average alignment score: 0.341 for 26 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2TI:1  2  3  4