Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:46
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2TI:1  2  3  4 


2TI 3:1     Alignment score: 0.326
But know this : In the last days there will be difficult times .
Lakini ufahamu neno hili : katika siku za mwisho kutakuwa na nyakati ngumu .


2TI 3:2     Alignment score: 0.291 → 0.304
For people will be lovers of themselves , lovers of money , boastful , proud
, blasphemers , disobedient to parents , ungrateful , and unholy .
Kwa sababu watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe , wenye kupenda fedha , wenye kujisifu , wenye majivuno , wenye dhihaka , wasiotii wazazi wao , wasiokuwa na shukurani na waovu .
2TI 3:3     Alignment score: 0.22 → 0.223
They will be without natural affection , unable to reconcile , slanderers , without self - control , violent , not lovers of good .
Wasio na upendo wa asili , wasiotaka kuishi kwa amani na yeyote , wachonganishi , wasingiziaji , wasioweza kujizuia , wenye vurugu , wasiopenda mema .
2TI 3:4     Alignment score: 0.295 → 0.311
They will be betrayers
, reckless , prideful , lovers of pleasure rather than lovers of God .
Watakuwa wasaliti , wakaidi , wenye kujipenda wenyewe na wapenda anasa kuliko kumpenda Mungu .
2TI 3:5     Alignment score: 0.207
They will have a shape of godliness , but they will deny its power . Turn away from these
people .
Kwa nje watakuwa na sura ya ucha Mungu , lakini wakikana nguvu yake ; Jiepushe na watu hao .
2TI 3:6     Alignment score: 0.349 → 0.354
For some of them are men who enter into households and captivate foolish women . These
are women who are loaded up with sins and are led away by various desires .
Kwa kuwa baadhi yao ni wanaume wanaoingia kwenye familia za watu na kushawishi wanawake wajinga , Hawa ni wanawake waliojawa dhambi na wenye kuongozwa na tamaa za kila aina .
2TI 3:7     Alignment score: 0.266 → 0.263
These
women are always learning , but they are never able to come to the knowledge of the truth .
Wakijifunza siku zote , lakini kamwe hawawezi kuufikia ufahamu wa ile kweli .
2TI 3:8     Alignment score: 0.293 → 0.358
In the same way that Jannes and Jambres stood against Moses , these
false teachers also stand against the truth . They are men corrupt in mind , and with regard to the faith they are rejected .
Kama vile ambavyo Yane na Yambre walivyopingana na Musa , Kwa njia hii walimu hawa wa uongo husimama kinyume na kweli ; Ni watu walioharibiwa katika fikira zao , wasiokubalika kuhusiana na imani .
2TI 3:9     Alignment score: 0.278 → 0.28
But they will not advance very far . For their foolishness will be obvious to all , just like that of those men .
Lakini hawataendelea mbali ; Kwa kuwa upumbavu wao utawekwa wazi kwa watu wote , kama ulivyokuwa wa wale watu .
2TI 3:10     Alignment score: 0.367 → 0.37
But as for you , you have followed my teaching , conduct , purpose , faith , longsuffering , love , patience ,
Lakini wewe umeyafuata mafundisho yangu , mwenendo wangu , makusudi yangu , imani yangu , uvumilivu wangu upendo wangu na ustahimilivu wangu ,
2TI 3:12     Alignment score: 0.343
All those who want to live in a godly manner in Christ Jesus will be persecuted .
Wote wanaotaka kuishi katika maisha ya kumcha Mungu katika Kristo Yesu watateswa .
2TI 3:13     Alignment score: 0.095 → 0.122
Evil people and impostors will go from bad to worse , leading others astray and being led astray .
Watu waovu na wadanganyifu watazidi kuwa waovu zaidi , Watawapotosha wengine . Wao wenyewe wamepotoshwa .
2TI 3:14     Alignment score: 0.257 → 0.261
But as for you , remain in the things that you have learned and have firmly believed . You know from whom you have learned .
Lakini wewe , dumu katika mambo uliyojifunza na kuyaamini kwa uthabiti
, Kwa kuwa unajua umejifunza kwa nani ;
2TI 3:15     Alignment score: 0.313 → 0.353
You know that from childhood you have known the sacred writings . These
are able to make you wise for salvation through faith in Christ Jesus .
Unatambua ya kuwa tangu utotoni mwako uliyajua maandiko matakatifu . Haya yanaweza kukuhekimisha kwa ajili ya wokovu kwa njia ya imani iliyo katika kristo Yesu .
2TI 3:16     Alignment score: 0.213 → 0.227
All scripture has been inspired by God . It is profitable for doctrine , for conviction , for correction , and for training in righteousness .
Kila andiko lenye pumzi ya Mungu , Lafaa kwa mafundisho , kwa kuonya watu , kwa kurekebisha makosa , na kwa kufundishia katika haki .
2TI 3:17     Alignment score: 0.247 → 0.282
This is so that the man of God may be competent , equipped for every good work .
Hii ni kwamba mtu wa Mungu awe kamili , akiwa amepewa nyenzo zote kwa ajili ya kutenda kila kazi njema .
2TI 3     Average alignment score: 0.293 for 16 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 2TI:1  2  3  4