Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:46
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of GAL:1  2  3  4  5  6 


GAL 5:1     Alignment score: 0.402 → 0.403
For freedom Christ has set us free . Stand firm , therefore , and do not again be subject to a yoke of slavery .
Ni kwa sababu Kristo alitupa uhuru ili tuwe huru . Hivyo , simameni imara wala msinaswe tena katika kongwa la utumwa .


GAL 5:2     Alignment score: 0.412
Look , I , Paul , say to you that if you let yourselves be circumcised , Christ will not benefit you in any way .
Tazama , Mimi Paulo , ninawaambia kwamba ikiwa mtatahiriwa , Kristo hatawafaidia kwa njia yoyote ile .
GAL 5:3     Alignment score: 0.197 → 0.244
I testify again to every man who lets himself be circumcised that he is obligated to obey the whole law .
Tena , namshuhudia kila mwanaume aliyetahiriwa kwamba anapaswa kuwajibika kwa sheria yote .
GAL 5:4     Alignment score: 0.301
You are cut off from Christ , you who would be justified by the law ; you no longer experience grace .
Mmetengwa mbali na Kristo , wale wote mnaohesabiwa haki kwa sheria . Mmeanguka mbali
na neema .
GAL 5:5     Alignment score: 0.4 → 0.401
For through the Spirit , by faith , we eagerly wait for the hope of righteousness .
Maana kwa njia ya Roho , kwa imani tunasubiri
ujasiri wa haki .
GAL 5:6     Alignment score: 0.376 → 0.376
In Christ Jesus neither circumcision nor uncircumcision has value , but only faith working through love .
Katika Kristo Yesu kutahiriwa au kutokutahiriwa hakuna maana yoyote . Ni imani pekee inayofanya kazi kupitia upendo ndiyo humaanisha kitu .
GAL 5:7     Alignment score: 0.148
You were running well . Who prevented you from obeying the truth ?
Mlikuwa mnapiga mbio vizuri . Nani aliwazuia kutokuitii kweli ?
GAL 5:8     Alignment score: 0.049
This
persuasion does not come from him who calls you !
Ushawishi wa kufanya hivyo hautoki kwake yeye anayewaita ninyi .
GAL 5:9     Alignment score: 0.309
A little yeast leavens the whole batch of dough .
Chachu kidogo huathiri donge zima .
GAL 5:10     Alignment score: 0.148 → 0.149
I have confidence in the Lord that you will think nothing different . The one who is troubling you will suffer the judgment , whoever he is .
Nina matumaini na ninyi katika Bwana kwamba hamtafikiri kwa njia nyingine yoyote . Yeyote yule atakayewapotosha atabeba hukumu yake yeye mwenyewe , yeyote yule
.
GAL 5:11     Alignment score: 0.315
Brothers , if I still proclaim circumcision , why am I still being persecuted ? In that case the stumbling block of the cross has been removed .
Ndugu , kama naendelea kutangaza tohara , kwanini bado ninateswa ? Kwa suala
hilo kile ambacho ni kizuizi cha msalaba kitaweza kuharibiwa .
GAL 5:12     Alignment score: 0.069 → 0.073
As for those who are disturbing you , I wish they would cut themselves off !
Ni matakwa yangu kuwa wale wanaowaongoza vibaya watajiharibu wenyewe .
GAL 5:13     Alignment score: 0.293
For you were called to freedom , brothers . But do not use your freedom as an opportunity for the flesh ; rather , through love serve one another .
Mungu amewaiteni ninyi , ndugu , kwenye uhuru . Ila msiutumie uhuru wenu kama fursa kwa mwili . Badala yake kwa upendo mhudumiane ninyi kwa ninyi .
GAL 5:14     Alignment score: 0.314
For the whole law is fulfilled in one word : " You must love your neighbor as yourself . "
Kwa kuwa sheria yote imekamilika katika amri moja ; nayo ni Ni lazima umpende jirani yako kama wewe mwenyewe .
GAL 5:15     Alignment score: 0.177
But if you bite and devour one another , watch out that you are not consumed by one another .
Lakini kama mkiumana na kulana , jiangalieni kwamba msijiharibu ninyi kwa ninyi .
GAL 5:16     Alignment score: 0.374
But I say , walk by the Spirit and you will not carry out the desires of the flesh .
Nasema , tembeeni kwa roho , na wala hamtazitimiza tamaa za mwili .
GAL 5:17     Alignment score: 0.288 → 0.289
For the desires of the flesh are against the Spirit , and the desires of the Spirit are against the flesh . For these
oppose each other , so that you can not do the things you want .
Kwa kuwa mwili una tamaa kubwa dhidi ya Roho , na Roho ina tamaa kubwa dhidi ya mwili . Hizi zinapingana kila moja na nyingine . Matokeo ni kwamba hamfanyi vitu mnavyotamani kuvifanya .
GAL 5:18     Alignment score: 0.467
But if you are led by the Spirit , you are not under the law .
Lakini kama Roho anawaongoza ninyi , hamko chini ya sheria .
GAL 5:19     Alignment score: 0.369
Now the works of the flesh are evident : sexual immorality , impurity , sensuality ,
Sasa matendo ya mwili yanaonekana . Nayo ni uasherati , uchafu , ufisadi ,
GAL 5:20     Alignment score: 0.257
idolatry , sorcery , hostilities , strife , jealousy
, outbursts of anger , rivalry , dissension , divisions ,
ibada ya sanamu , uchawi , uadui , ugomvi , husuda , kuwaka hasira , ushindani , faraka , mgawanyiko .
GAL 5:21     Alignment score: 0.349 → 0.348
envy , drunkenness , drunken celebrations , and things like these
. I warn you , as I warned you before , that those who practice such things will not inherit the kingdom of God .
Wivu , ulevi , ulafi na mambo mengine kama haya . Nawaonya ninyi , kama nilivyowaonya mwanzoni , kwamba wale wanaofanya mambo kama hayo hawataurithi ufalme wa Mungu .
GAL 5:22     Alignment score: 0.651
But the fruit of the Spirit is love , joy , peace , patience , kindness , goodness , faith ,
Lakini tunda la Roho ni upendo , furaha , amani , uvumilivu , ukarimu , utu wema , imani ,
GAL 5:23     Alignment score: 0.406
gentleness , and self - control ; against such things there is no law .
upole , na kiasi . Hakuna sheria dhidi ya mambo kama hayo
.
GAL 5:24     Alignment score: 0.365 → 0.367
Those who belong to Christ Jesus have crucified the flesh with its passions and desires .
Wale walio
wa Kristo Yesu wameusulubisha mwili pamoja na shauku na tamaa zao mbaya .
GAL 5:25     Alignment score: 0.541 → 0.541
If we live by the Spirit , let us also walk by the Spirit .
Kama tukiishi kwa Roho , pia tutembee kwa Roho .
GAL 5:26     Alignment score: 0.115 → 0.117
Let us not become boastful , provoking one another , envying one another .
Tusiwe wa kujivuna , tusichokozane kila mmoja na mwenzake , wala tusioneane wivu .
GAL 5     Average alignment score: 0.319 for 26 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of GAL:1  2  3  4  5  6