Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:44
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JOL:1  2  3  4 


JOL 4:1     Alignment score: 0.45
Behold , in those days and at that time , when I reverse the captivity of Judah and Jerusalem ,
Tazama , katika siku hizo na wakati huo , nitakapowarudisha mateka wa Yuda na Yerusalemu ,


JOL 4:2     Alignment score: 0.546 → 0.553
I will gather all the nations , and bring them down to the Valley of Jehoshaphat . I will judge them there , because of my people and my inheritance Israel , whom they scattered among the nations , and because they divided up my land .
Nami nitakusanya mataifa yote , na kuwaleta mpaka bonde la Yehoshafati . Nami nitawahukumu huko , kwa sababu ya watu wangu , na urithi wangu Israeli , ambao wamewatawanya kati ya mataifa , na kwa sababu wamegawanya nchi yangu .
JOL 4:3     Alignment score: 0.331
They cast lots for my people , traded a boy for a prostitute , and sold a girl for wine so they could drink .
Wamewapigia kura watu wangu , wametoa mtoto wa kiume kama malipo ya kahaba , na kumuuza msichana kwa divai ili wapate kunywa .
JOL 4:4     Alignment score: 0.26 → 0.271
Now , why are you angry
at me , Tyre , Sidon and all the regions of Philistia ? Will you repay me ? Even if you do repay me , I will immediately return your repayment on your own head .
Hakika , mna nini nami , enyi Tiro , Sidoni na mikoa yote ya Wafilisti ? Je ! Mtanirudishia malipo ? Hata kama mtanilipa , mara moja nitawarudishia malipo yenu juu ya vichwa vyenu wenyewe .
JOL 4:5     Alignment score: 0.344 → 0.383
For you took my silver and my gold , and you brought my precious treasures into your temples .
Kwa maana mmechukua fedha yangu na dhahabu yangu , nanyi mkavichukua hazina zangu za thamani na kuzileta katika hekalu zenu .
JOL 4:6     Alignment score: 0.384
You sold the people of Judah and Jerusalem to the Greeks , in order to send them far away from their territory .
Mmewauza watu wa Yuda na wenyenji wa Yerusalemu kwa Wayunani , ili kuwaondoa mbali na maeneo yao .
JOL 4:7     Alignment score: 0.218 → 0.224
Look , I am about to stir them up , out of the place where you sold them , and will return payment on your own head .
Tazama , nitawaamsha , watoke mahali ambako mliwauza , na nitawarudishia malipo juu ya vichwa vyenu
wenyewe .
JOL 4:8     Alignment score: 0.376 → 0.379
I will sell your sons and your daughters
, by the hand of the people of Judah . They will sell them to the Sabeans , to a nation far off , for Yahweh has spoken . "
Nitawauza wana wenu na binti zenu , kwa mkono wa watu wa Yuda . Wao watawauza Sheba , kwa taifa mbali . Kwa maana Bwana amesema .
JOL 4:9     Alignment score: 0.251 → 0.273
Proclaim this
among the nations : " Prepare yourselves for war ; rouse the mighty men ; let them come near ; let all the men of battle come up .
Tangazeni haya kati ya mataifa , Jitayarisheni wenyewe kwa ajili ya vita , waamsheni mashujaa , waacheni wakaribie , mashujaa wote wa vita wapande juu .
JOL 4:10     Alignment score: 0.316 → 0.336
Beat your plowshares into swords and your pruning knives into spears . Let the weak say , ' I am mighty . '
Yafueni majembe yenu kuwa panga na visu vyenu
vya kuchongea kuwa mikuki . Basi wadhaifu waseme , Nina nguvu .
JOL 4:11     Alignment score: 0.325 → 0.327
Hurry and come , all you nearby nations ; gather yourselves together there . Yahweh , bring down your mighty warriors .
Haraka na mje , mataifa yote ya karibu , jikusanyeni pamoja huko . Ee Bwana , washushe mashujaa wako .
JOL 4:12     Alignment score: 0.376
Let the nations wake
themselves up and come up to the Valley of Jehoshaphat . For there will I sit to judge all the surrounding nations .
Naam , mataifa yajihimize yenyewe kuja hadi bonde la Yehoshafati . Kwa maana nitaketi huko kuhukumu mataifa yote ya jirani .
JOL 4:13     Alignment score: 0.261 → 0.271
Put in the sickle , for the harvest is ripe . Come , crush the grapes , for the winepress is full . The vats overflow , for their wickedness is great . "
Wekamundu , kwa maana mavuno yameiva . Njoo , mponde zabibu , kwa ajiri shinikizo limejaa . Mashinikizo yanafurika , kwa sababu uovu wao ni mkubwa sana .
JOL 4:14     Alignment score: 0.388
There is a tumult , a tumult in the Valley of Judgment . For the day of Yahweh is near in the Valley of Judgment .
Umati wa watu , makutano katika bonde la uamuzi ! Kwa maana siku ya Bwana i karibu katika bonde la hukumu .
JOL 4:15     Alignment score: 0.332
The sun and the moon become dark , the stars keep back their brightness .
Jua na mwezi vitatiwa giza , nyota zitapunguza mwanga wake .
JOL 4:16     Alignment score: 0.393 → 0.41
Yahweh will roar from Zion , and raise his voice from Jerusalem . The heavens and earth will shake , but Yahweh will be a shelter for his people , and a fortress for the people of Israel .
Bwana naye ataunguruma
kutoka Sayuni , na atatoa sautiyake toka Yerusalemu . Mbingu na nchi zitatikisika ; Bali BWANA atakuwa kimbilio la watu wake , na ngome ya wana wa Israeli .
JOL 4:17     Alignment score: 0.424
" So you will know that I am Yahweh your God who lives in Zion , my holy mountain . Then Jerusalem will be holy , and foreigners will not pass through her again .
Nanyi mtajua ya kuwa mimi ndimi Bwana , Mungu wenu , ninayekaa katika Sayuni , mlima wangu mtakatifu . Ndipo Yerusalemu utakuwa mtakatifu , na hakuna mgeni atakayepita tena ndani yake kamwe .
JOL 4:18     Alignment score: 0.527 → 0.527
It will come about on that day that the mountains will drip with sweet wine , the hills will flow with milk , all the brooks of Judah will flow with water , and a fountain will come from the house of Yahweh and water the Valley of Shittim .
Na itakuwa Katika siku hiyo ya kwamba milima itadondosha divai mpya
, vilima vitatiririka maziwa , na vijito vya Yuda vitafurika maji , na chemchemi itatoka katika nyumba ya BWANA na kumwagilia maji bonde la Shitimu .
JOL 4:19     Alignment score: 0.439 → 0.442
Egypt will become an abandoned devastation , and Edom will become an abandoned wilderness , because of the violence done to the people of Judah , because they shed innocent blood in their land .
Misri itakuwa ukiwa , na Edomu itakuwa jangwa tupu , kwa sababu ya udhalimu juu ya watu wa Yuda , kwa sababu wamemwaga damu isiyo na hatia katika nchi yao .
JOL 4:20     Alignment score: 0.559 → 0.561
But Judah will be inhabited forever , and Jerusalem will be inhabited from generation to generation .
Bali Yuda atakaa milele , na Yerusalemu tangu kizazi hata kizazi .
JOL 4:21     Alignment score: 0.256
I will avenge their blood that I have not yet avenged , for Yahweh lives in Zion . "
Maana nitawaondolea hatia ya umwagaji wa damu , ambao
sikuwaondolea kuwa na hatia ; kwa maana Bwana anakaa katika Sayuni .
JOL 4     Average alignment score: 0.383 for 21 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JOL:1  2  3  4