Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:46
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of PHP:1  2  3  4 


PHP 4:1     Alignment score: 0.364 → 0.367
Therefore , my beloved brothers whom I long for , my joy and crown , in this
way stand firm in the Lord , beloved friends .
Kwa hiyo wapendwa wangu , ambao nawatamani , ambao ni furaha na taji yangu . Simameni imara katika Bwana , enyi rafiki wapendwa .


PHP 4:2     Alignment score: 0.042 → 0.2
I am pleading with Euodia , and I am pleading with Syntyche , be of the same mind in the Lord .
Ninakusihi wewe Eudia , pia ninakusihi wewe Sintike , mrejeshe mahusiano ya amani kati yenu , kwa sababu ninyi , nyote wawili mliungana na Bwana .
PHP 4:3     Alignment score: 0.3 → 0.323
Yes , I ask you , my true companion , to help these
women who labored with me in spreading the gospel , along with Clement and the rest of my fellow workers , whose names are in the Book of Life .
Kwa kweli , niwasihi pia ninyi watenda kazi wenzangu , muwasaidie hawa wanawake kwa kuwa walitumika pamoja na mimi katika kueneza injili ya Bwana tukiwa na Kelementi pamoja na watumishi wengine wa Bwana , ambao majina yao yameandikwa katika kitabu cha uzima .
PHP 4:4     Alignment score: 0.368 → 0.372
Rejoice in the Lord always . Again I will say , rejoice .
Furahini katika Bwana siku zote , tena nitasema , furahini .
PHP 4:5     Alignment score: 0.418
Let your gentleness be known to all people . The Lord is near .
Upole wenu na ujulikane kwa watu wote . Bwana yuko karibu .
PHP 4:6     Alignment score: 0.203 → 0.218
Do not be anxious about anything . Instead , in everything by prayer and earnest appeal with thanksgiving , let your requests be known to God ,
Msijisumbue kwa jambo lolote . Badala yake , fanyeni mambo yenu yote kwa njia ya kusali na kuomba na kushukuru . Na mahitaji yenu yajulikane
kwa Mungu .
PHP 4:7     Alignment score: 0.457 → 0.463
and the peace of God , which surpasses all understanding , will guard your hearts and your thoughts in Christ Jesus .
Basi amani ya Bwana iliyo kuu kuliko ufahamu wote , italinda mioyo na mawazo yenu kwa msaada wa Kristo Yesu .
PHP 4:8     Alignment score: 0.157 → 0.173
Finally , brothers , whatever things are true , whatever things are honorable , whatever things are just , whatever things are pure , whatever things are lovely , whatever things are of good report , if there is anything excellent , if there is anything to be praised , think about these
things .
Hatimaye , ndugu zangu ; yatakafarini sana mambo yote yenye ukweli , heshima , haki , usafi , upendo , na yale yenye taarifa njema , yenye busara , pamoja na yale yanayohitaji kusifiwa .
PHP 4:9     Alignment score: 0.287
The things that you have learned and received and heard and seen in me , do these
things , and the God of peace will be with you .
Yatekelezeni mambo yale mliojifunza , mliyopokea mliyoyasikia na yale mliyoyaona kwangu naye Baba yetu wa amani atakuwa nanyi .
PHP 4:10     Alignment score: 0.129
I greatly rejoice in the Lord because now at last you have renewed your concern for me . You had indeed been concerned for me before , but there was no opportunity for you to help .
Ninayo furaha kubwa sana juu yenu katika Bwana kwa kuwa ninyi mmeonyesha tena nia ya kujihusisha kwenu juu ya mahitaji yangu . Kwa kweli , hapo awali mlitamani kunijali kwa mahitaji yangu japo hamkupata fursa ya kunisaidia .
PHP 4:11     Alignment score: 0.163
I am not saying this
because I am in need . For I have learned to be content in all circumstances .
Sisemi hivyo ili kujipatia kitu kwa ajili ya mahitaji yangu . Kwani nimejifunza kuridhika katika hali zote .
PHP 4:12     Alignment score: 0.191 → 0.205
I know what it is to be poor , and I also know what it is to have plenty . In every way and in all things I have learned the secret of how to be well fed or to be hungry , and how to have an abundance or to be in need .
Nafahamu kuishi katika hali ya kupungukiwa na pia katika hali ya kuwa na vingi
. Katika mazingira yote haya mimi nimejifunza siri ya namna ya kula wakati wa shibe na jinsi ya kula wakati wa njaa , yaani vingi na kuwa mhitaji .
PHP 4:13     Alignment score: 0.093
I can do all things through him who strengthens me .
Ninaweza kufanya haya kwa kuwezeshwa na Yeye anitiaye nguvu .
PHP 4:14     Alignment score: 0.153
However , you did well to share with me in my difficulties .
Hata hivyo , mlifanya vyema kushiriki nami katika dhiki zangu .
PHP 4:15     Alignment score: 0.321 → 0.336
You Philippians know that in the beginning of the gospel , when I left Macedonia , no church supported me in the matter of giving and receiving except you alone .
Ninyi Wafilipi mnafahamu kwamba mwanzo wa injili nilipoondoka Makedonia , hakuna Kanisa lililoniwezesha katika mambo yanayohusu utoaji na kupokea isipokuwa ninyi pekee
yenu .
PHP 4:16     Alignment score: 0.364 → 0.388
Even when I was in Thessalonica , you sent help for my needs more than once .
Hata nilipokuwa Thesalonike , ninyi mlinitumia msaada zaidi ya mara moja kwa ajili ya mahitaji yangu .
PHP 4:17     Alignment score: 0.144
It is not that I seek the gift . Instead , I seek the fruit that increases to your credit .
Simaanishi kwamba natafuta msaada . Bali nasema ili mpate matunda yaletayo faida kwenu .
PHP 4:18     Alignment score: 0.202 → 0.215
I have received everything in full , and even more . I have been well supplied now that I have received from Epaphroditus the things you sent . They are a sweet - smelling aroma , a sacrifice acceptable and pleasing to God .
Nimepokea vitu vyote , na sasa nimejazwa na vitu vingi
. Nimepokea vitu vyenu kutoka kwa Epafradito . Ni vitu vizuri vyenye kunukia mithiri ya manukato , vyenye kukubalika ambavyo vyote ni sadaka inayompendeza Mungu .
PHP 4:19     Alignment score: 0.381 → 0.381
My God will meet all your needs according to his riches in glory in Christ Jesus .
Kwa ajili hiyo
, Mungu wangu atawajazeni mahitaji yenu kwa utajiri wa utukufu wake katikaYesu Kristo .
PHP 4:20     Alignment score: 0.68
Now to our God and Father be the glory forever and ever . Amen .
Sasa kwa Mungu na Baba yetu uwe utukufu milele na milele . Amina .
PHP 4:21     Alignment score: 0.28 → 0.297
Greet all God 's holy people in Christ Jesus . The brothers who are with me greet you .
Salamu zangu zimfikie kila muumini katika Kristo Yesu . Wapendwa nilio nao hapa wanawasalimieni .
PHP 4:22     Alignment score: 0.488
All God 's holy people who are here greet you , especially those of Caesar 's household .
Pia waumini
wote hapa wanawasalimieni , hususani wale wa familia ya Kaisari .
PHP 4:23     Alignment score: 0.532
The grace of the Lord Jesus Christ be with your spirit .
Na sasa neema ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe na roho zenu .
PHP 4     Average alignment score: 0.282 for 23 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of PHP:1  2  3  4