Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:46
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of ROM:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16 


ROM 9:1     Alignment score: 0.391
I tell the truth in Christ . I do not lie , and my conscience bears witness with me in the Holy Spirit
Nasema ukweli
katika Kristo . Sisemi uongo , na dhamira yangu hushuhudia pamoja nami katika Roho Mtakatifu ,


ROM 9:2     Alignment score: 0.345 → 0.374
that for me there is great sorrow and unceasing pain in my heart .
kwamba kuna huzuni kubwa na maumivu yasiyo koma ndani ya moyo wangu .
ROM 9:3     Alignment score: 0.255 → 0.28
For I could wish that I myself would be cursed
and set apart from Christ for the sake of my brothers , my kinsmen according to the flesh .
Kwamba ningetamani mimi mwenyewe kulaaniwa na kutengwa mbali na Kristo kwa ajili ya ndugu zangu , wale wa jamii yangu katika mwili .
ROM 9:4     Alignment score: 0.397
They are Israelites . They have adoption , the glory , the covenants , the gift of the law , the ministry in the temple , and the promises .
Wao ni Waisraeli . Walio
na hali ya kufanyika watoto , wa utukufu , wa maagano , na zawadi ya sheria , kumwabudu Mungu , na ahadi .
ROM 9:5     Alignment score: 0.402 → 0.415
Theirs are the patriarchs from whom Christ has come with respect to the flesh he who is God over all . May he be praised forever . Amen .
Wao ni watangulizi ambako Kristo amekuja kwa heshima kuvaa mwili huu - ambaye yeye ni Mungu wa vyote . Naye asifiwe milele . Amina .
ROM 9:6     Alignment score: 0.285 → 0.322
But it is not as though
the word of God has failed . For it is not everyone in Israel who truly belongs to Israel .
Lakini si kwamba ahadi za Mungu zimeshindwa kutimia . Maana si kila mtu aliye Israeli ni Mwiisraeli halisi .
ROM 9:7     Alignment score: 0.512
Neither are all Abraham 's descendants truly his children . But " It is through Isaac that your descendants will be called . "
Sivyo hata kwa uzao wa Abrahamu
kuwa ni watoto wake halisi . Lakini , ni kupitia Isaka uzao wako utaitwa .
ROM 9:8     Alignment score: 0.54
That is , the children of the flesh are not the children of God . But the children of the promise are regarded as descendants .
Hii ni kwamba , watoto wa mwili si watoto wa Mungu . Lakini watoto wa ahadi wanatazamwa kuwa kama uzao .
ROM 9:9     Alignment score: 0.391 → 0.416
For this is the word of promise : " At this
time I will come , and a son will be given to Sarah . "
Maana hili ndilo neno la ahadi : Katika majira haya nitakuja , na Sara atapewa mtoto .
ROM 9:10     Alignment score: 0.556
Not only this , but after Rebekah also had conceived by one man , our father Isaac
Si hili tu , lakini baada ya Rebeka kupata mimba kwa mtu mmoja , Isaka baba yetu -
ROM 9:11     Alignment score: 0.277 → 0.295
for the children were not yet born and had not yet done anything good or bad , so that the purpose of God according to choice might
stand ,
kwamba watoto walikuwa bado hawajazaliwa na alikuwa hajafanya jambo lolote zuri au baya , ili kwamba kusudi la Mungu kulingana na uchaguzi lisimame , wala si kwa matendo , lakini ni kwa sababu ya yule aitae .
ROM 9:13     Alignment score: 0.519
It is just as had been written : " Jacob I loved , but Esau I hated . "
Kama ilivyo kwisha andikwa : Yakobo nilimpenda , lakini Esau nilimchukia .
ROM 9:14     Alignment score: 0.384
What then will we say ? Is there unrighteousness with God ? May it never be .
Basi tena tutasema nini ? Je kuna udhalimu kwa Mungu ? La hasha .
ROM 9:15     Alignment score: 0.319
For he says to Moses , " I will have mercy on whom I will have mercy , and I will have compassion on whom I will have compassion . "
Kwa kuwa anasema kwa Musa , nitakuwa na rehema kwa yule nitakayemrehemu , na nitakuwa na huruma kwa yule nitakayemhurumia .
ROM 9:16     Alignment score: 0.46
So then , it is not because of him who wills , nor because of him who runs , but because of God , who shows mercy .
Kwa hiyo basi , si kwa sababu ya yeye atakaye , wala si kwa sababu ya yeye ambaye hukimbia , lakini kwa sababu ya Mungu , ambaye huonesha
rehema .
ROM 9:17     Alignment score: 0.334 → 0.334
For the scripture
says to Pharaoh , " For this very purpose I raised you up , so that I might demonstrate my power in you , and so that my name might be proclaimed in all the earth . "
Kwa kuwa maandiko husema kwa Farao , Kwa kusudi hili maalumu nilikuinua , ili kwamba nioneshe nguvu zangu katika wewe , na ili kwamba jina langu litangazwe katika nchi yote .
ROM 9:18     Alignment score: 0.317
So then , God has mercy on whom he wishes , and whom he wishes , he makes stubborn .
Hivyo basi , Mungu huwa na rehema kwa yeyote ampendaye , na kwa ambaye humpenda , humfanya kuwa mkaidi .
ROM 9:19     Alignment score: 0.16
You will say then to me , " Why does he still find fault ? For who has ever withstood his will ? "
Kisha utasema kwangu , Kwa nini bado anaona kosa ? Ni yupi ambaye alikwisha kustahimili matakwa yake ?
ROM 9:20     Alignment score: 0.254
On the contrary , man , who are you who answers against God ? Will what has been molded say to the one who molds it , " Why did you make me this way ? "
Kinyume chake , mwanadamu , wewe ni nani ujibue kinyume na Mungu ? Kuna uwezekano wowote wa kilichofinyangwa kusema kwa mfinyanzi , Kwanini ulinifanya hivi mimi ?
ROM 9:21     Alignment score: 0.257
Does the potter not have the right over the clay to make from the same lump a container for honorable use , and another container for dishonorable use ?
Je mfinyazi huwa hana haki juu ya udongo kutengeneza chombo kwa matumizi maalumu
kutokana na bonge lile lile , na chombo kingine kwa matumizi ya kila siku ?
ROM 9:22     Alignment score: 0.338
What if God , who is willing to show his wrath and to make his power known , endured with much patience containers of wrath prepared for destruction ?
Vipi kama Mungu , ambaye ana utayari
wa kuonesha gadhabu yake na kufanya nguvu yake kujulikana , alistahimili kwa uvumilivu wa kutosha vyombo vya gadhabu vilivyoandaliwa kwa kuangamiza ?
ROM 9:23     Alignment score: 0.28
What if he did this in order that he might
make known the riches of his glory upon containers of mercy , which he had previously prepared for glory ?
Vipi kama alifanya hivi ili kwamba aoneshe wingi wa utukufu wake juu ya vyombo vya rehema , ambavyo alikwisha kuviandaa kwa ajili ya utukufu ?
ROM 9:24     Alignment score: 0.518
What if he did this also for us , whom he also called , not only from among the Jews , but also from among the Gentiles ?
Vipi kama alifanya hii pia kwetu , ambaye pia alituita , si tu kutoka kwa Wayahudi , lakini pia kutoka kwa watu wa Mataifa ?
ROM 9:25     Alignment score: 0.441
As he says also in Hosea : " I will call them ' my people ' who were not my people , and her ' beloved ' who was not beloved .
Kama asemavyo pia katika Hosea : Nitawaita watu wangu ambao hawakuwa watu wangu , na mpendwa wake ambaye hakupendwa .
ROM 9:26     Alignment score: 0.332
Then it will be that where it was said to them , ' You are not my people , ' there they will be called ' sons of the living God . ' "
Na itakuwa kwamba pale iliposemwa kwao , Ninyi si watu wangu , pale wataitwa wana wa Mungu aliye hai .
ROM 9:27     Alignment score: 0.503
Isaiah cries out concerning Israel , " Though
the number of the sons of Israel were as the sand of the sea , it will be a remnant that will be saved ,
Isaya analia kuhusiana na Israeli , Kama hesabu ya wana wa Israeli ingekuwa kama mchanga wa bahari , itakuwa ni masalia ambao wataokolewa .
ROM 9:28     Alignment score: 0.218 → 0.219
for the Lord will execute his word on the earth completely and without delay . "
Kwa kuwa Bwana atalichukua neno lake juu ya nchi , mapema na kwa utimilifu
.
ROM 9:29     Alignment score: 0.412
As Isaiah had said previously , " If the Lord of hosts had not left us descendants , we would be like Sodom , and we would have become like Gomorrah . "
Na kama jinsi Isaya alivyosema awali , Kama Bwana wa majeshi hakutuachia nyuma uzao kwa ajili yetu , tungekuwa kama Sodoma , na tungefanywa kama Gomora .
ROM 9:30     Alignment score: 0.296 → 0.302
What will we say then ? That the Gentiles , who were not pursuing righteousness , laid hold of righteousness , the righteousness by faith .
Tutasema nini basi ? Kwamba watu wa Mataifa ambao walikuwa hawatafuti haki , walipata haki , haki kwa imani .
ROM 9:31     Alignment score: 0.408 → 0.412
But Israel , who did pursue a law of righteousness , did not arrive at that law .
Lakini Israeli , ambaye alitafuta sheria ya haki , hakuifikia .
ROM 9:32     Alignment score: 0.427
Why not ? Because they did not pursue it by faith , but as if by works . They stumbled over the stone of stumbling ,
Kwanini si hivyo ? Kwa sababu hawakuitafuta kwa imani , bali kwa matendo . Walijikwaa
juu ya jiwe la kujikwaa ,
ROM 9:33     Alignment score: 0.403 → 0.403
as it has been written , " Look , I am laying in Zion a stone of stumbling and a rock of offense . He who believes in it will not be ashamed . "
kama ilivyo kwisha andikwa , Tazama , nimelaza jiwe la kujikwaa katika Sayuni na mwamba wa kukosa . Yeye ambaye huamini katika hili
hataaibika .
ROM 9     Average alignment score: 0.376 for 32 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of ROM:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16