Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:46
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of EPH:1  2  3  4  5  6 


EPH 4:1     Alignment score: 0.333
I , therefore , as the prisoner for the Lord , urge you to walk worthily of the calling by which you were called .
Kwa hiyo , kama mfungwa kwa ajili ya Bwana , nawasihi mtembee sawasawa na wito ambao
Mungu aliwaita .


EPH 4:2     Alignment score: 0.354 → 0.355
I urge you to live with great humility and gentleness and patience , bearing with one another in love .
Muishi kwa unyenyekevu mkuu na upole na uvumilivu . Mkichukuliana katika upendo .
EPH 4:3     Alignment score: 0.409 → 0.429
Do your best to keep the unity of the Spirit in the bond of peace .
Fanyeni bidii kuutunza umoja wa Roho katika kifungo cha amani .
EPH 4:4     Alignment score: 0.409 → 0.409
There is one body and one Spirit , just as also you were called in one hope of your calling .
Kuna mwili mmoja na Roho moja , kama ambavyo pia mlikuwa mmeitwa katika uhakika wa taraja moja la wito wenu .
EPH 4:5     Alignment score: 0.609
And there is one Lord , one faith , one baptism ,
Na kuna Bwana mmoja , imani moja , ubatizo mmoja ,
EPH 4:6     Alignment score: 0.487
and one God and Father of all , who is over all and through all and in all .
na Mungu mmoja na Baba wa wote . Yeye yuko juu ya yote , na katika yote na ndani ya yote .
EPH 4:7     Alignment score: 0.376
To each one of us grace has been given according to the measure of the gift of Christ .
Kwa kila mmoja wetu amepewa kipawa kulingana na kipimo cha kipawa cha Kristo .
EPH 4:8     Alignment score: 0.218 → 0.249
It is as scripture
says : " When he ascended on high , he led the captives into captivity , and he gave gifts to the people . "
Ni kama maandiko yasemavyo : Alipopaa juu sana , aliteka mateka . Akawapa wanadamu vipawa .
EPH 4:9     Alignment score: 0.389
What is the meaning of " he ascended , " except that he also descended into the lower regions of the earth ?
Ni nini maana ya , Alipaa , isipokuwa kwamba alishuka pia pande za chini za dunia ?
EPH 4:10     Alignment score: 0.272 → 0.273
He who descended is the same person who also ascended far above all the heavens , that he might fill all things .
Yeye ambaye alishuka ni mtu yuleyule
ambae pia alipaa mbali juu ya mbingu zote . Alifanya hivi ili uwepo wake uwe katika vitu vyote .
EPH 4:11     Alignment score: 0.379
Christ gave some to be apostles , some as prophets , some as evangelists , and some as pastors and teachers
Kristo alitoa vipawa kama hivi : mitume , manabii , wainjilisti , wachungaji , na waalimu
.
EPH 4:12     Alignment score: 0.403
to equip God 's holy people for the work of service , for the building up of the body of Christ ,
Alifanya hivi kuwawezesha waumini
kwa ajili ya kazi ya huduma , kwa ajili ya kuujenga mwili wa Kristo .
EPH 4:13     Alignment score: 0.342 → 0.346
until we all reach the unity of faith and knowledge of the Son of God , so that we become mature and reach the measure of the fullness of Christ .
Anafanya hivi hadi sisi sote tufikie umoja wa imani na maarifa ya mwana wa Mungu . Anafanya hivi hadi tuweze kukomaa kama wale waliofikia kimo kamili cha Kristo .
EPH 4:14     Alignment score: 0.178 → 0.184
Christ builds us up so that we should no longer be children who are tossed back and forth by the waves , carried away by every wind of doctrine and by the trickery of people in their deceitful schemes .
Hii ni ili kwamba tusiwe tena kama watoto , tusirushwerushwe huku na huko . Ili kwamba tusichukuliwe na kila aina ya upepo wa fundisho , kwa hila za watu katika ujanja wa udanganyifu uliopotoka .
EPH 4:15     Alignment score: 0.408 → 0.418
Instead , speaking the truth in love , we are to grow up in every way into him who is the head , that is , Christ .
Badala yake , tutaongea ukweli
katika upendo na kukua zaidi katika njia zote ndani yake ambaye ndiye kichwa , Kristo .
EPH 4:16     Alignment score: 0.258 → 0.259
Christ builds the whole body , and it is joined and held together by every supporting ligament , and when each part works together , that makes the body grow so that it builds itself up in love .
Kristo ameunganisha , kwa pamoja , mwili wote wa waumini
. Umeungamanishwa pamoja na kila kiungo ili kwamba mwili wote ukue na kujijenga wenyewe katika upendo .
EPH 4:17     Alignment score: 0.292
Therefore , I say and insist on this in the Lord , that you must no longer walk as the Gentiles walk , in the futility of their minds .
Kwa hiyo , nasema hili , na nawasihi katika Bwana : Msitembee tena kama watu wa mataifa wanavyotembea katika ubatili wa akili zao .
EPH 4:18     Alignment score: 0.417
They are darkened in their understanding , alienated from the life of God because of the ignorance that is in them , because of the hardness of their hearts .
Wametiwa giza katika mawazo yao . Wamefukuzwa kutoka katika uzima wa Mungu kwa ujinga ulio ndani yao kwa sababu ya ugumu wa mioyo yao .
EPH 4:19     Alignment score: 0.219 → 0.247
They have become shameless and have committed themselves to sensuality , and they practice every kind of uncleanness with greed
.
Hawajisikii aibu . Wamejikabidhi wenyewe kwa ufisadi katika matendo machafu , katika kila aina ya uchoyo .
EPH 4:20     Alignment score: 0.49
But that is not how you learned about Christ .
Lakini , hivi sivyo mlivyojifunza kuhusu Kristo .
EPH 4:21     Alignment score: 0.288 → 0.292
I assume that you have heard about him , and that you were taught in him , as the truth is in Jesus .
Nadhani kwamba mmesikia
kuhusu yeye . Nadhani kwamba mmekuwa mkifundishwa katika yeye , kama tu ukweli ulivyo ndani ya Yesu .
EPH 4:22     Alignment score: 0.143 → 0.142
You were taught to put off what belongs to your former manner of life
, to put off the old man . It is the old man that is corrupt because of its deceitful desires .
Lazima mvue mambo yote yanayoendana na mwenendo wenu wa zamani , utu wa zamani . Ni utu wa zamani unaooza kwa sababu ya tamaa za udanganyifu .
EPH 4:23     Alignment score: 0.231
You were taught to be renewed in the spirit of your minds ,
Vueni utu wenu wa zamani ili kwamba mfanywe upya katika roho ya akili zenu .
EPH 4:24     Alignment score: 0.332
and to put on the new man that is created in the image of God in true righteousness and holiness .
Fanyeni hivi ili muweze kuvaa utu mpya , unaoendana na Mungu . Umeumbwa katika haki na utakatifu wa kweli .
EPH 4:25     Alignment score: 0.257 → 0.274
Therefore , get rid of lies , and let each one of you speak
truth with his neighbor , because we are members of one another .
Kwa hiyo , weka mbali udanganyifu . Ongeeni ukweli , kila mmoja na jirani yake , kwa sababu tu washirika kwa kila mmoja kwa mwenzake .
EPH 4:26     Alignment score: 0.324
Be angry
and do not sin . Do not let the sun go down on your anger .
Mwe na hasira , lakini msitende dhambi . Jua lisizame mkiwa katika hasira zenu .
EPH 4:27     Alignment score: 0.444
Do not give
an opportunity to the devil .
Msimpe Ibilisi nafasi .
EPH 4:28     Alignment score: 0.209 → 0.214
The one who had been stealing must steal no longer . Instead , he must labor , working at what is good with his hands , so that he may have something to share with those
who are in need .
Yeyote aibaye lazima asiibe tena . Badala yake ni lazima afanye kazi . Afanye kazi yenye manufaa kwa mikono yake , ili kwamba aweze kumhudumia mtu aliye na hitaji .
EPH 4:29     Alignment score: 0.124
Do not let any harmful talk come out of your mouth . Use only words that are good for the edification of those who need it , so that your words give grace to the hearers .
Kauli mbaya isitoke kinywani mwenu . Badala yake , maneno lazima yatoke katika vinywa vyenu
yafaayo kwa mahitaji , kuwapa faida wale wanaosikiliza .
EPH 4:30     Alignment score: 0.475
And do not grieve the Holy Spirit of God , for it is by him that you were sealed for the day of redemption .
Na msimhuzunishe Roho Mtakatifu wa Mungu . Ni kwa Yeye kwamba mmewekewa muhuri kwa ajili ya siku ya ukombozi .
EPH 4:31     Alignment score: 0.317 → 0.323
Put away all bitterness , rage , anger , quarreling , and insults , along with every kind of evil .
Lazima muweke mbali uchungu wote , ghadhabu , hasira , ugomvi , na matusi , pamoja na kila aina ya uovu . Iweni wema
ninyi kwa ninyi .
EPH 4:32     Alignment score: 0.241 → 0.259
Be kind to each other , tenderhearted , forgiving one another , just as God in Christ forgave you .
Mwe na huruma . Msameheane ninyi kwa ninyi , kama vile Mungu katika Kristo alivyowasamehe ninyi .
EPH 4     Average alignment score: 0.311 for 32 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of EPH:1  2  3  4  5  6