Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:46
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of EPH:1  2  3  4  5  6 


EPH 5:1     Alignment score: 0.49 → 0.493
Therefore , be imitators of God , as beloved children .
Kwa hiyo muwe watu wa kumfuata Mungu , kama watoto wake wapendwao
.


EPH 5:2     Alignment score: 0.317 → 0.321
And walk in love , as also Christ loved us and gave
himself up for us , a fragrant offering and sacrifice to God .
Mtembee katika pendo , vilevile kama Kristo alivyotupenda sisi , alijitoa mwenyewe kwa ajili yetu . Yeye alikuwa sadaka na dhabihu , kuwa harufu nzuri ya kumfurahisha Mungu .
EPH 5:4     Alignment score: 0.178
Let there be no filthiness , no foolish talk , and no crude jokes all of which are improper . Instead , there should be thanksgiving .
wala machukizo yasitajwe kwenu na mazungumzo ya kipumbavu , au mizaha ya udhalilishaji , ambayo siyo sawa , badala yake iwepo shukrani .
EPH 5:5     Alignment score: 0.378 → 0.389
For you know and are certain that no sexually
immoral , impure , or greedy person that is , an idolater has any inheritance in the kingdom of Christ and God .
Mnaweza kuwa na uhakika ya kwamba kuna zinaa , uchafu , wala atamaniye , huyo ni mwabudu sanamu , hana urithi wowote katika ufalme wa Kristo na Mungu .
EPH 5:6     Alignment score: 0.44
Let no one deceive you with empty words , for because of these
things the wrath of God is coming upon the sons of disobedience .
Mtu yeyote asikudanganye kwa maneno matupu , kwa sababu ya mambo haya ya hasira ya Mungu inakuja juu ya wana wasiotii .
EPH 5:7     Alignment score: 0.122
Therefore , do not join in with them .
Hivyo usishiriki pamoja nao .
EPH 5:8     Alignment score: 0.492
For you were once darkness , but now you are light in the Lord . Walk as children of light
Kwa kuwa ninyi mwanzo mlikuwa giza , lakini sasa mmekuwa nuru katika Bwana . Hivyo tembeeni kama watoto wa nuru .
EPH 5:9     Alignment score: 0.337
( for the fruit of the light consists in all goodness , righteousness , and truth ) ,
Kwa kuwa matunda ya nuru yanajumuisha uzuri wote , haki na ukweli
.
EPH 5:10     Alignment score: 0.103
and test and approve what is pleasing to the Lord .
Tafuta kile kinacho furahisha Bwana .
EPH 5:11     Alignment score: 0.211 → 0.212
Do not associate with the unfruitful works of darkness , but rather expose them .
Usiwepo ushiriki katika kazi za giza zisizo na matunda , badala yake ziweke wazi .
EPH 5:12     Alignment score: 0.144 → 0.255
For it is disgraceful even to mention the things they do in secret .
Kwa sababu mambo yanayofanywa na wao sirini ni aibu sana hata kuyaelezea .
EPH 5:13     Alignment score: 0.148 → 0.191
But when anything is exposed by the light , it becomes visible .
Mambo yote , yanapofichuliwa na nuru , huwa wazi ,
EPH 5:14     Alignment score: 0.313 → 0.317
For anything that becomes visible is light . Therefore it says , " Awake , you sleeper , and arise from the dead , and Christ will shine on you . "
kwa kuwa Kila kitu kilichofichuliwa kinakuwa nuruni . Hivyo husema hivi , Amka , wewe uliyelala , na inuka kutoka kwa wafu na Kristo atakuangazia .
EPH 5:15     Alignment score: 0.205 → 0.206
Look carefully
how you walk not as unwise but as wise .
Hivyo iweni makini jinsi mtembeavyo , siyo kama watu wasio werevu bali kama werevu .
EPH 5:16     Alignment score: 0.203
Redeem the time because the days are evil .
Ukomboeni muda kwa kuwa siku ni za uovu .
EPH 5:17     Alignment score: 0.253
Therefore , do not be foolish , but understand what the will of the Lord is .
Msiwe wajinga , badala yake , fahamuni nini mapenzi ya Bwana .
EPH 5:18     Alignment score: 0.334
And do not get drunk
with wine , for that leads to reckless behavior . Instead , be filled with the Holy Spirit ,
Msilewe kwa mvinyo , huongoza kwenye uharibifu , badala yake mjazwe na Roho Mtakatifu .
EPH 5:19     Alignment score: 0.25 → 0.259
speaking to each other in psalms and hymns and spiritual songs , singing and making melody to the Lord with all your heart ,
Msemezane kila mmoja wenu kwa zaburi , na sifa , na tenzi za rohoni . Imbeni na sifuni kwa Bwana kwa moyo .
EPH 5:20     Alignment score: 0.526
always giving thanks for everything , in the name of our Lord Jesus Christ to God the Father ,
Daima toa shukrani kwa mambo yote katika jina la Kristo Yesu Bwana wetu kwa Mungu Baba .
EPH 5:21     Alignment score: 0.316 → 0.319
being subject to one another in reverence for Christ .
Jitoeni wenyewe kila mmoja kwa mwingine kwa heshima ya Kristo .
EPH 5:22     Alignment score: 0.301
Wives , submit to your husbands , as to the Lord .
Wake , watiini waume zenu , kama kwa Bwana .
EPH 5:23     Alignment score: 0.584
For the husband is the head of the wife as Christ also is the head of the church , himself the Savior of the body .
Kwa sababu mume ni kichwa cha mke , kama Kristo alivyo kichwa cha kanisa . Ni mwokozi wa mwili .
EPH 5:24     Alignment score: 0.413
But as the church is subject to Christ , so also wives to their husbands in everything .
Lakini kama kanisa lilivyo chini ya Kristo , vilevile wake lazima wafanye hivyo kwa waume zao katika kila jambo .
EPH 5:25     Alignment score: 0.446
Husbands , love your wives , as Christ loved the church and gave
himself up for her
Waume , wapendeni wake zenu kama vile Kristo alivyolipenda kanisa na akajitoa mwenyewe kwa ajili yake .
EPH 5:26     Alignment score: 0.225 → 0.234
so that he might
sanctify her , having cleansed her by the washing of water with the word ,
Alifanya hivyo ili liwe takatifu . Alilitakasa kwa kuliosha na maji katika neno .
EPH 5:27     Alignment score: 0.223 → 0.234
so that he might present the church to himself as glorious , without stain or wrinkle or any such thing , but holy and blameless .
Alifanya hivi ili kwamba aweze kujiwasilishia mwenyewe kanisa tukufu
, pasipo na doa wala mawaa au kitu kifananacho na haya , badala yake ni takatifu lisilo na kosa .
EPH 5:28     Alignment score: 0.244
In the same way husbands ought to love their own wives as their own bodies . He who loves his own wife loves himself .
Kwa njia ile ile , waume wanatakiwa kuwapenda wake zao kama miili yao . Yule ampendae
mke wake anajipenda mwenyewe .
EPH 5:29     Alignment score: 0.338 → 0.343
For no one ever hated his own flesh , but nourishes and treats it with care , just as Christ nourishes and treats the church with care ,
Hakuna hata mmoja anayechukia
mwili wake . Badala yake , huulisha na kuupenda , kama Kristo pia alivyolipenda kanisa .
EPH 5:30     Alignment score: 0.323
because we are members of his body .
Kwa kuwa sisi ni washiriki
wa mwili wake .
EPH 5:31     Alignment score: 0.464 → 0.471
" For this reason a man will leave his father and mother and will be joined to his wife , and the two will become one flesh . "
Kwa sababu hii , mwanaume atamwacha baba yake na mama yake na ataungana na mke wake , na hao wawili watakuwa mwili mmoja .
EPH 5:32     Alignment score: 0.404 → 0.414
This hidden truth is great but I am speaking about Christ and the church .
Huu ukweli
ulikuwa umefichika . Lakini ninasema kuhusu Kristo na kanisa .
EPH 5:33     Alignment score: 0.297
Nevertheless , each of you also must love his own wife as himself , and the wife must respect her husband .
Lakini , kila mmoja wenu lazima ampende mke wake kama mwenyewe , na mke lazima amheshimu mumewe .
EPH 5     Average alignment score: 0.334 for 32 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of EPH:1  2  3  4  5  6