Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:47
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JAS:1  2  3  4  5 


JAS 2:1     Alignment score: 0.479
My brothers , do not hold to faith in our Lord Jesus Christ , the Lord of glory , with partiality toward certain people .
Ndugu zangu , msiifuate imani ya Bwana Yesu Kristo , Bwana wa utukufu , kwa kupendelea watu fulani .


JAS 2:2     Alignment score: 0.283 → 0.304
Suppose that someone enters your meeting wearing gold rings and splendid clothes , and there also enters a poor man in dirty clothes .
Kama mtu fulani akiingia
kwenye mikutano yenu amevaa pete za dhahabu na mavazi mazuri , pia akaingia masikini mwenye mavazi machafu ,
JAS 2:3     Alignment score: 0.291 → 0.293
If you look at the person wearing fine clothes and say , " You sit here in a good place , " but you say to the poor man , " You stand over there " or " Sit by my footstool , "
na mkaonyesha kumjali zaidi yule mwenye mavazi mazuri
na kusema , Tafadhari wewe keti hapa mahali pazuri lakini mkamwambia yule masikini , Wewe simama pale , au Kaa chini ya miguu yangu .
JAS 2:4     Alignment score: 0.335
are you not judging among yourselves ? Have you not become judges with evil thoughts ?
Je , hamuhukumiani ninyi wenyewe , na kuwa waamuzi wenye mawazo mabaya ?
JAS 2:5     Alignment score: 0.421 → 0.464
Listen , my beloved brothers , did not God choose the poor of the world to be rich in faith and to be heirs of the kingdom that he promised to those
who love him ?
Sikilizeni , ndugu zangu wapendwa , je , Mungu hakuwachagua watu masikini wa dunia hii kuwa matajiri katika imani na kurithi ufalme wa Mungu aliowaahidia wampendao ?
JAS 2:6     Alignment score: 0.267
But you have dishonored the poor ! Is it not the rich who oppress you ? Are they not the ones who drag you to court ?
Lakini mmewadharau masikini
! Je , sio matajiri wanaowatendea ninyi na sio wao wanaowaburuta ninyi mahakamani ?
JAS 2:7     Alignment score: 0.16 → 0.165
Do they not insult the good name by which you have been called ?
Je , si matajiri wanaolitukana jina lile zuri
la Yesu kristo ambalo kwalo mnaitiwa ?
JAS 2:8     Alignment score: 0.242 → 0.284
If , however , you fulfill the royal law according to the scripture
, " Love your neighbor as yourself , " you do well .
Hivyo , basi kama mwaitimiza ile sheria ya kifalme kama ilivyoandikwa katika maandiko , Utampenda kila mtu kama wewe mwenyewe unavyojipenda , mwafanya vyema .
JAS 2:9     Alignment score: 0.216
But if you favor certain people , you are committing sin , and you are convicted by the law as transgressors .
Lakini kama mkipendelea baadhi ya watu , matajiri na wenye vyeo mnatenda dhambi , mwahukumiwa na sheria kuwa ni wavunja sheria .
JAS 2:10     Alignment score: 0.275 → 0.293
For whoever obeys the whole law , except that he stumbles in just a single way , has become guilty
of breaking the whole law .
Kwa kuwa yeyote anayetii sheria yote , na bado akajikwaa katika jambo moja tu , amekuwa na hatia ya kuvunja sheria yote !
JAS 2:11     Alignment score: 0.31 → 0.325
For the one who said , " Do not commit adultery , " also said , " Do not murder . " If you do not commit adultery , but if you do commit murder , you have become a transgressor of the law .
Kwa kuwa Mungu aliyesema , Usizini , ndiye pia aliyesema , Usiue . Kama hauzini , lakini una uwa , umekwishavunja sheria ya Mungu .
JAS 2:12     Alignment score: 0.305
So speak
and act as those who will be judged by means of the law of freedom .
Kwa hiyo kutii kama wale ambao mko karibu kuhukumiwa na sheria ya uhuru wa kweli .
JAS 2:13     Alignment score: 0.297
For judgment comes without mercy to those who have shown no mercy . Mercy triumphs over judgment .
Kwa kuwa hukumu huja pasipo huruma kwa wale wasio na huruma . Huruma hujitukuza juu ya hukumu .
JAS 2:14     Alignment score: 0.258 → 0.258
What profit is it , my brothers , if someone says he has faith , but he has no works ? Can that faith save him ?
Kuna uzuri
gani , ndugu zangu , kama mtu anasema ninayo imani kwa Mungu , lakini hana matendo mema ? Je , imani hiyo yaweza kumwokoa mtu huyo kutoka kwenye hukumu ya Mungu ?
JAS 2:15     Alignment score: 0.271
Suppose that a brother or sister is badly clothed and lacks food for the day .
Kama ndugu wa kiume au wa kike ni muhitaji
wa mavazi au chakula cha kila siku ,
JAS 2:16     Alignment score: 0.196 → 0.196
Suppose that one of you says to them , " Go in peace , stay warm and be filled . " If you do not give
them the things necessary for the body , what profit is that ?
na mmoja wenu akawaambia , Nendeni kwa amani , mkaote moto na mle vizuri , lakini hamuwapi mahitaji muhimu ya mwili , hiyo yafaa nini ?
JAS 2:17     Alignment score: 0.276
In the same way faith by itself , if it does not have works , is dead
.
Hali kadhalika , imani pekee , kama haina matendo mema , imekufa .
JAS 2:18     Alignment score: 0.354
Yet someone may say , " You have faith , and I have works . " Show me your faith without works , and I will show you my faith by my works .
Lakini mtu fulani anaweza kushindana kusema , Una imani , na mimi ninayo matendo . Nionyeshe
imani yako pasipo matendo , nami nitakuonyesha imani yangu kwa matendo yangu .
JAS 2:19     Alignment score: 0.256 → 0.256
You believe that there is one God ; you do well . But even the demons believe that , and they tremble .
Waamini
kuwa kuna Mungu mmoja ; uko sahihi . Hata mapepo nayo yanaamini hivyo na kutetemeka .
JAS 2:20     Alignment score: 0.277 → 0.278
Do you want to know , foolish man , that faith without works is useless ?
Je , unataka kujua , ewe mtu mpumbavu , namna ambavyo imani hiyo
pasipo matendo mema isivyofaa ?
JAS 2:21     Alignment score: 0.386 → 0.445
Was not Abraham our father justified by works when he offered up Isaac his son on the altar ?
Je , si baba yetu Abrahamualihesabiwa haki kwa matendo alipomtoa mwanawe Isaka juu ya madhabahu ?
JAS 2:22     Alignment score: 0.301
You see that faith worked with his works , and that by works his faith was completed .
Mnaona kuwa imani yake ilifanya kazi na matendo yake mema , na kwa matendo yake , imani yake ilifikia kusudio lake .
JAS 2:23     Alignment score: 0.371 → 0.415
The scripture
was fulfilled that says , " Abraham believed God , and it was counted to him as righteousness , " and he was called a friend of God .
Maandiko yalitimizwa yasemayo , Abrahamu alimwamini Mungu , na akahesabiwa kuwa ni mwenye haki . Hivyo Abrahamu aliitwa rafiki wa Mungu .
JAS 2:24     Alignment score: 0.398
You see that it is by works that a man is justified , and not only by faith .
Mwaona kuwa kwa matendo mtu huhesabiwa haki , na si kwa imani tu .
JAS 2:25     Alignment score: 0.339
In the same way also , was not Rahab the prostitute justified by works when she welcomed the messengers and sent them away by another road ?
Hali kadhalika , Rahabu yule kahaba alihesabiwa haki kwa matendo , alipowakaribisha wajumbe na kuwapeleka kwa barabara nyingine ?
JAS 2:26     Alignment score: 0.367
For as the body apart from the spirit is dead
, even so faith apart from works is dead .
Kwa kuwa kama vile mwili usipokuwa na roho umekufa , vivyo hivyo imani pasipo matendo imekufa .
JAS 2     Average alignment score: 0.316 for 26 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JAS:1  2  3  4  5