Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:47
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JAS:1  2  3  4  5 


JAS 3:1     Alignment score: 0.252 → 0.249
Not many of you should become teachers , my brothers , for you know that we who teach will be judged more strictly .
Ndugu zangu , siyo wengi wenu mnapaswa kuwa walimu , mkijua kwamba tutapokea hukumu
kubwa zaidi .


JAS 3:2     Alignment score: 0.251 → 0.261
For we all stumble in many ways . If anyone does not stumble in words , he is a perfect man , able to control even his whole body .
Kwa kuwa wote tunakosea katika njia nyingi . Kama yeyote huwa hajikwai
katika maneno yake , huyo ni mtu mkamilifu , aweza kudhibiti mwili wake wote pia .
JAS 3:3     Alignment score: 0.256 → 0.27
Now if we put bits into horses ' mouths for them to obey us , we can also direct their whole bodies .
Sasa kama tunaweka lijamu za farasi katika vinywa vyao wanatutii , na tunaweza kuigeuza miili yao yote .
JAS 3:4     Alignment score: 0.23 → 0.235
Notice also that ships , although
they are so large and are driven by strong winds , are steered by a very small rudder to wherever the pilot desires .
Tambua pia kwamba meli , ingawa ni kubwa na husukumwa na upepo mkali , inaongozwa kwa usukani mdogo sana kwenda popote anakotaka nahodha .
JAS 3:5     Alignment score: 0.232 → 0.24
In this
way , the tongue is a small member , yet it boasts great things . Notice also how small a fire sets on fire a large forest .
Vivyo hivyo , ulimi ni kiungo kidogo cha mwili , lakini hujisifia makuu sana . Angalia msitu mkubwa unavyoweza kuwashwa kwa cheche ndogo ya moto !
JAS 3:6     Alignment score: 0.364 → 0.37
The tongue is also a fire , a world of evil set among our members . The tongue defiles the whole body , sets on fire the course of life , and is itself set on fire by hell .
Ulimi ni kama moto , ni ulimwengu wa uovu , umewekwa miongoni mwa viungo vya mwili wetu , ambao
hunajisi mwili wote na huiweka juu ya moto njia ya maisha , na wenyewe kuchomwa na moto wa kuzimu .
JAS 3:7     Alignment score: 0.384 → 0.391
For every kind of wild animal , bird , reptile , and sea creature is being tamed and has been tamed by mankind .
Kila aina ya mnyama wa porini , ndege , kitambaacho na kiumbe cha baharini kinadhibitiwa na wanadamu .
JAS 3:8     Alignment score: 0.299
But no human being can tame the tongue . It is a restless evil , full of deadly poison .
Lakini hakuna mwanadamu hata mmoja ambaye
anaweza kudhibiti ulimi ; ni uovu usiotulia , umejaa sumu ya kufisha .
JAS 3:9     Alignment score: 0.275
With it we praise the Lord and Father , and with it we curse men , who have been made in God 's likeness .
Kwa ulimi twamtukuza Bwana na Baba yetu , na kwa huo twawalaani watu ambao wameumbwa kwa mfano wa Mungu .
JAS 3:10     Alignment score: 0.304 → 0.316
Out of the same mouth come blessing and cursing . My brothers , these
things should not happen .
Katika kinywa hichohicho husema maneno ya baraka na laana . Ndugu zangu mambo haya hayapaswi kuwa hivi .
JAS 3:11     Alignment score: 0.233
Does a spring pour out from its opening both sweet and bitter water ?
Je , kisima kimoja huweza kutoa maji matamu
na machungu ?
JAS 3:12     Alignment score: 0.279
Does a fig tree , my brothers , make olives ? Or a grapevine , figs ? Neither can salty
water produce sweet water .
Ndugu zangu , Je , mti wa mtini unaweza kuzaa matunda ya mzeituni , au mzabibu unazaa matunda ya mtini ? Wala chemchemi ya maji chumvi haitoi maji yasio na chumvi .
JAS 3:13     Alignment score: 0.336
Who is wise and understanding among you ? Let that person show a good life
by his works in the humility of wisdom .
Ni nani miongoni mwenu aliye na hekima na ufahamu ? Hebu mtu huyo na aoneshe matendo mema katika kazi zake kwa unyenyekevu utokanao na hekima .
JAS 3:14     Alignment score: 0.302
But if you have bitter jealousy and ambition in your heart , do not boast and lie against the truth .
Lakini kama mnao wivu mkali
na nia ya ubinafsi mioyoni mwenu , msijivune na kusema uongo mkiupinga ukweli .
JAS 3:15     Alignment score: 0.225
This is not the wisdom that comes down from above . Rather , it is earthly , unspiritual , demonic .
Hii siyo hekima ile ishukayo kutoka juu , lakini badala yake ni ya kidunia , si ya kiroho ni ya kipepo .
JAS 3:16     Alignment score: 0.302
For where there are jealousy and ambition , there is confusion and every evil practice .
Kwa kuwa palipo na wivu na ubinafsi upo , kuna vurugu na kila matendo maovu
JAS 3:17     Alignment score: 0.375 → 0.379
But the wisdom from above is first pure , then peace - loving , gentle
, reasonable , full of mercy and good fruits , impartial and sincere .
Lakini hekima itokayo juu , kwanza ni safi , kisha kupenda amani , upole na ukarimu , yenye kujaa rehema na matunda mema , bila kupendelea watu fulani , na kweli .
JAS 3:18     Alignment score: 0.427
The fruit of righteousness is sown in peace among those who make peace .
Na tunda la haki hupandwa katika amani kwa wale ambao wanatenda mambo ya amani .
JAS 3     Average alignment score: 0.299 for 18 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of JAS:1  2  3  4  5