Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:44
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of MIC:1  2  3  4  5  6  7 


MIC 4:1     Alignment score: 0.368
But in the last days it will come about that the mountain of the house of Yahweh will be established as the chief over the other mountains . It will be exalted above the hills , and peoples will stream to it .
Lakini katika siku za mwisho itakuja kuhusu kwamba mlima wa nyumba ya Yahwe utawekwa imara juu ya milima mingine
. Utainuliwa juu ya milima , na watu watautakabisha .


MIC 4:2     Alignment score: 0.527 → 0.558
Many nations will go and say , " Come , let us go up to the mountain of Yahweh , to the house of the God of Jacob . He will teach us his ways , and we will walk in his paths . " For from Zion the law will go out , and the word of Yahweh from Jerusalem .
Mataifa mengi yataenda na kusema , Njoni
, twendeni juu kwenye mlima wa Yahwe , kwenye nyumba ya Mungu wa Yakobo . Atatufundisha njia zake , na tutembea katika njia zake . Kwa kuwa kutoka Sayuni sheria itatoka , na neno la Yahwe kutoka Yerusalemu .
MIC 4:3     Alignment score: 0.378 → 0.384
He will judge among many peoples and will decide concerning numerous nations far away . They will beat their swords into plowshares and their spears into pruning hooks . Nation will not lift up sword against nation , nor will they train for war any longer .
Atahukumu
miongoni mwa watu na kuamua kuhusiana na mataifa mengi ya mbali . Watafua mapanga yao kuwa plau na mikuki yao kuwa miundu ya kupogolea . Taifa halitainua upanga dhidi ya taifa , wala kutawala kwa vita tena .
MIC 4:4     Alignment score: 0.468
Instead , they will sit every person under his vine and under his fig tree . No one will make them afraid , for the mouth of Yahweh of hosts has spoken .
Badala yake , wataketi kila mtu chini ya mzabibu wake na chini ya mtini wake . Hakuna mtu atakayewafanya waogope , kwa kuwa mdomo wa Yahwe wa majeshi umesema
.
MIC 4:5     Alignment score: 0.532 → 0.541
For all the peoples walk , each one , in the name of their god . But we will walk in the name of Yahweh our God forever and ever .
Kwa kuwa watu wote wataenenda , kila mmoja , katika jina la mungu wake . Lakini sisi tutaenenda katika jina la Yahwe Mungu wetu milele na milele .
MIC 4:6     Alignment score: 0.107 → 0.152
" On that day " this
is Yahweh 's declaration " I will assemble the lame and gather the outcast , those whom I have afflicted .
Katika siku hiyo , aseme Yahwe , Nitamkusanya achechemeaye na kumkusanya aliyefukuzwa , wale ambao nimewatesa .
MIC 4:7     Alignment score: 0.331 → 0.357
I will turn the lame into a remnant , and the ones driven away into a strong nation , and I , Yahweh , will reign over them on Mount Zion , now and forever .
Nitamrudisha aliyechechemea kwenye mabaki , na yeye aliyetupwa kwenye taifa imara , na mimi , Yahwe , nitatawala juu yao katika Milima
Sayuni , sasa na milelev .
MIC 4:8     Alignment score: 0.422
As for you , watchtower for the flock , hill of the daughter of Zion to you it will come , your former dominion will be restored , the kingdom that belongs to the daughter of Jerusalem .
Kama kwako , mnara wa saa kwa ajili ya kundi , mlima wa binti wa Sayuni utakuja
kwenu , utawala wenu wa zamani utarudishwa , ufalme ambao unaomilikiwa na binti wa Yerusalemu .
MIC 4:9     Alignment score: 0.34
Now , why do you shout so loudly ? Is there no king among you ? Has your counselor died
? Is this why pain like a woman in labor seizes you ?
Sasa , kwa nini unapiga kelele kwa sauti kuu ? Je hakuna mfalme miongoni mwenu ? Je mshauri wako amekufa ? Kwa nini uchungu umekushika kama yule mwanamke akiwa anazaa ?
MIC 4:10     Alignment score: 0.452 → 0.454
Be in pain and labor to give
birth , daughter of Zion , like a woman in labor . For now you will go out of the city , live in the field , and go to Babylon . There you will be rescued . There Yahweh will redeem you from the hand of your enemies .
Kuwa katika uchungu wa kuzaa ili uzae , binti Sayuni , kama mwanamke mwenye uchungu . Kwa sasa utatoka nje ya mji , kuishi kwenye shamba , na kwenda Babeli . Huko utaokolewa . Huko Yahwe atakuokoa kutoka kwenye mikono ya maadui .
MIC 4:11     Alignment score: 0.36 → 0.361
Now many nations are assembled against you ; they say , ' Let her be defiled ; let our eyes gloat over Zion . '
Sasa mataifa mengi yamekusanyika juu yako ; wakisema ; Atiwe unajisi ; macho yenu yaangalie Sayuni .
MIC 4:12     Alignment score: 0.266 → 0.309
They do not know Yahweh 's thoughts , neither do they understand his plans , for he has gathered them like bundles of grain prepared for the threshing floor .
Nabii asema , Hawayajui mawazo ya Yahwe , wala hawaelewi mpango wake , kwa kuwa wamewakusanaya kama miganda kupura sakafuni .
MIC 4:13     Alignment score: 0.311 → 0.322
Arise and thresh , daughter of Zion , for I will make your horn to be iron , and I will make your hooves to be bronze . You will crush many peoples and you will devote their unjust gain to Yahweh , their wealth to the Lord of the whole earth . "
Yahwe
asema , simama na upure , binti Sayuni , kwa kuwa nitaifanya pembe yako kuwa chuma , na nitazifanya kwato zako kuwa shaba . Utaponda watu wengi . Nitaweka wakfu udhalimu wao kwangu mwenyewe , Yahwe , miliki zao kwangu , Bwana wa dunia nzima .
MIC 4:14     Alignment score: 0.342 → 0.342
Now come together in battle ranks , daughter of soldiers ! A siege has been set up against us ! With a rod they strike
the judge of Israel on the cheek .
Sasa njoni pamoja katika safu ya kupigana , binti wa maaskari ; maaskari wameuzingira mji , kwa ufito watampiga mwamuzi wa Israeli kwenye shavu .
MIC 4     Average alignment score: 0.394 for 14 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of MIC:1  2  3  4  5  6  7