Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:46
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 1TI:1  2  3  4  5  6 


1TI 2:1     Alignment score: 0.252 → 0.26
Therefore , first of all , I urge that humble
requests , prayers , petitions , and thanksgivings be made for all people ,
Kwa hiyo awali ya yote , nahitaji maombi , na dua , na maombezi , na shukrani vifanyike kwa ajili ya watu wote ,


1TI 2:2     Alignment score: 0.429
for kings and all who are in authority , in order that we may live a peaceful and quiet life in all godliness and dignity .
kwa ajili ya wafalme na wote ambao wako kwenye mamlaka , ili kwamba tuweze kuishi maisha ya amani na utulivu katika utauwa wote na heshima .
1TI 2:3     Alignment score: 0.52
This is good and acceptable before God our Savior .
Hili ni jema na lenye kukubalika mbele za Mungu Mwokozi wetu .
1TI 2:4     Alignment score: 0.242
He desires all people to be saved and to come to the knowledge of the truth .
Yeye hutamani kuwa watu wote waokolewe na wapate kuijua
kweli .
1TI 2:5     Alignment score: 0.547
For there is one God , and there is one mediator for God and man , the man Christ Jesus .
Kwa kuwa kuna Mungu mmoja , na kuna mpatanishi mmoja kati ya Mungu na mwanadamu ambaye
ni Kristo Yesu .
1TI 2:6     Alignment score: 0.394
He gave
himself as a ransom for all , as the testimony at the right time .
Alijitoa mwenyewe kama fidia kwa wote , kama ushuhuda kwa wakati muafaka .
1TI 2:7     Alignment score: 0.296 → 0.309
For this purpose I was appointed a herald and an apostle I am telling the truth , I am not lying and a teacher of the Gentiles in faith and truth .
Kwa sababu hii , mimi mwenyewe nilifanywa kuwa mjumbe wa injili na mtume . ( Nasema kweli . Sisemi uongo ) . Mimi ni mwalimu wa watu wa Mataifa katika imani na kweli .
1TI 2:8     Alignment score: 0.306
Therefore , I want men in every place to pray and to lift up holy hands without anger or arguing .
Kwa hiyo , nataka
wanaume kila mahali waombe na kuinua mikono mitakatifu bila ghadhabu na mashaka .
1TI 2:9     Alignment score: 0.315 → 0.378
In the same way , the women are to dress with proper clothing , with modesty and self - control , not with braided hair or gold or pearls or expensive clothing ,
Vivyo hivyo , nataka
wanawake wajivike mavazi yanayokubalika , kwa heshima na kujizuia . Wasiwe na nywele zilizosukwa , au dhahabu , au Lulu , au mavazi ya gharama kubwa .
1TI 2:10     Alignment score: 0.24
but with what is proper for women who proclaim godliness through good works .
Pia nataka
wavae mavazi yanayowastahili wanawake wanaokiri uchaji kwa kupitia matendo mema .
1TI 2:11     Alignment score: 0.21
A woman should learn in silence and with all submission .
Mwanamke na ajifunze
katika hali ya utulivu na kwa utii wote .
1TI 2:12     Alignment score: 0.369 → 0.37
I do not permit a woman to teach or to exercise authority over a man , but to live in quietness .
Simruhusu mwanamke kufundisha , au kuwa na mamlaka juu ya mwanaume bali aishi katika hali ya ukimya
.
1TI 2:13     Alignment score: 0.519
For Adam was formed first , then Eve .
Kwa kuwa Adamu aliumbwa kwanza , kisha Eva .
1TI 2:14     Alignment score: 0.303
Adam was not deceived , but the woman was deceived and became a transgressor .
Adamu hakudanganywa , lakini mwanamke alidanganywa kabisa katika uasi .
1TI 2:15     Alignment score: 0.37 → 0.376
However , she will be saved through bearing children , if they continue in faith and love and sanctification with self - control .
Hata hivyo , ataokolewa kwa kupitia kuzaa watoto , kama wataendelea katika imani na upendo na katika utakaso na akili njema .
1TI 2     Average alignment score: 0.359 for 15 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 1TI:1  2  3  4  5  6