Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:46
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 1TI:1  2  3  4  5  6 


1TI 4:1     Alignment score: 0.351 → 0.351
Now the Spirit clearly says that in later times some people will leave the faith and pay attention to deceitful spirits and the teachings
of demons
Sasa Roho anasema waziwazi kwamba katika nyakati zijazo baadhi ya watu wataiacha imani na kuwa makini kusikiliza roho zidanganyazo na mafundisho ya kipepo yatakayofundishwa


1TI 4:2     Alignment score: 0.23 → 0.23
by the hypocrisy of liars , their own consciences
having been seared .
katika uongo na unafiki . Dhamiri zao zitabadilishwa .
1TI 4:3     Alignment score: 0.242 → 0.245
They will forbid people to marry and require them to abstain from foods that God created to be received with thanksgiving by those who believe and know the truth .
Watawazuia kuoa na kupokea vyakula ambavyo Mungu aliviumba
vitumiwe kwa shukrani miongoni mwao waaminio na wenye kuijua kweli .
1TI 4:4     Alignment score: 0.233 → 0.235
For every creation of God is good , and nothing received with thanksgiving is to be rejected .
Kwa sababu kila kitu ambacho Mungu amekiumba ni chema . Hakuna ambacho tunapokea kwa shukrani kinastahili kukataliwa .
1TI 4:5     Alignment score: 0.498
For it is sanctified by the word of God and prayer .
Kwa sababu kinatakaswa kupitia neno la Mungu na kwa njia ya maombi .
1TI 4:6     Alignment score: 0.509
If you place these
things before the brothers , you will be a good servant of Jesus Christ . For you are being nourished by the words of faith and by the good teaching that you have followed .
Kama utayaweka mambo haya mbele ya ndugu , utakuwa mtumishi mzuri wa Yesu Kristo . Kwa sababu umestawishwa kwa maneno ya imani na kwa mafundisho mazuri ambayo umeyafuata .
1TI 4:7     Alignment score: 0.276
But reject profane stories loved by old women . Instead , train yourself in godliness .
Lakini zikatae hadithi za kidunia ambazo zinapendwa na wanawake wazee . Badala yake , jifunze mwenyewe katika utaua
.
1TI 4:8     Alignment score: 0.332
For bodily training is a little useful , but godliness is useful for all things . It holds promise for this
life now and the life to come .
Kwa maana mazoezi ya mwili yafaa kidogo , bali utauwa wafaa sana kwa mambo yote . Hutunza ahadi kwa maisha ya sasa na yale yajayo .
1TI 4:9     Alignment score: 0.205 → 0.207
This
message is trustworthy and worthy of full acceptance .
Ujumbe huu ni wakuaminiwa na unastahili kukubaliwa kabisa .
1TI 4:10     Alignment score: 0.372
For it is for this that we labor and struggle . For we hope in the living God , who is the Savior of all people , but especially of believers .
Kwa kuwa ni kwa sababu hii tunataabika na kufanya
kazi kwa bidii sana . Kwa kuwa tunao ujasiri katika Mungu aliye hai , ambaye ni Mwokozi wa watu wote , lakini hasa kwa waaminio .
1TI 4:11     Alignment score: 0.23 → 0.237
Instruct the people and teach these
things .
Uyaseme na kuyafundisha mambo haya .
1TI 4:12     Alignment score: 0.392
Let no one despise your youth , but be an example for the believers in speech , conduct , love , faithfulness , and purity .
Mtu yeyote asiudharau ujana wako . Badala yake , uwe mfano kwa wote waaminio
, katika usemi , mwenendo , upendo , uaminifu , na usafi .
1TI 4:13     Alignment score: 0.188
Until I come , attend to the reading , to the exhortation , and to the teaching .
Mpaka nitakapokuja , dumu katika kusoma , katika kuonya , na katika kufundisha
.
1TI 4:14     Alignment score: 0.413 → 0.414
Do not neglect the gift that is in you , which was given to you through prophecy
, with the laying on of the hands of the elders .
Usiipuuze karama iliyomo ndani yako , ambayo ulipewa kupitia unabii , kwa kuwekewa mikono na wazee .
1TI 4:15     Alignment score: 0.163 → 0.167
Care for these
things . Be in them , so that your progress may be evident to all people .
Uyajali mambo haya . Ishi katika hayo ili kukua kwako kuwe dhahiri kwa watu wote . Zingatia sana mwenendo wako na mafundisho .
1TI 4     Average alignment score: 0.329 for 15 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 1TI:1  2  3  4  5  6