Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:41
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of ECC:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12 


ECC 2:1     Alignment score: 0.245 → 0.268
I said in my heart , " Come now , I will test you with happiness . So enjoy pleasure . " But look , this also is meaningless .
Nikauambia moyo wangu , Njoo , na nitakujaribu kwa furaha . Kwa hiyo furahia
. Lakini tazama , huu nao ulikuwa ni upepo wa muda .


ECC 2:2     Alignment score: 0.319
I said about laughter , " It is crazy , " and about pleasure , " What use is it ? "
Nikasema juu ya kicheko , Ni wazimu , na kuhusu furaha , Yafaa nini ?
ECC 2:3     Alignment score: 0.257 → 0.265
I explored in my heart how to gratify myself with wine . I let my mind guide me with wisdom although
I was still holding on to folly . I wanted to find out what is good for the children of mankind to do under heaven during the days of their lives .
Nikajipeleleza moyoni mwangu katika jinsi ya kutimiza hamu yangu kwa mvinyo . Nikaruhusu akili yangu iongozwe na hekima ingawa bado nilikuwa nikishikilia ujinga . Nilitaka kutafuta jambo lililo jema kwa wanadamu kufanya chini ya mbingu wakati wa siku za maisha yao .
ECC 2:4     Alignment score: 0.238 → 0.28
I accomplished great things . I built
for myself houses and planted for myself vineyards .
Nilitimiza mambo makubwa . Nilijenga nyumba kwa ajili yangu na kupanda miti ya mizabibu .
ECC 2:5     Alignment score: 0.231 → 0.244
I built
for myself gardens and parks , and I planted all kinds of fruit trees in them .
Nilitengeneza bustani na viwanja ; nikapanda aina zote za matunda ndani yake .
ECC 2:6     Alignment score: 0.364
I created pools of water to water a forest where trees were grown .
Nikatengeneza mabwawa ya maji ili kumwagilia msitu mahali miti ilikuwa
imepandwa .
ECC 2:7     Alignment score: 0.379 → 0.384
I purchased male slaves and female slaves ; I had slaves born in my palace . I also had large herds and flocks of livestock , much more than any king who ruled before me in Jerusalem .
Nilinunua watumwa wa kiume na wa kiume ; nilikuwa na watumwa waliozaliwa katika ikulu yangu . Pia nikawa na makundi makubwa
na wanyama wa kufugwa , zaidi ya mfalme yeyote aliyetawala kabla yangu katika Yerusalemu .
ECC 2:8     Alignment score: 0.374 → 0.379
I also accumulated for myself silver and gold , the treasures of kings and provinces . I got singers , both male and female , and many concubines , the delight of the children of men .
Pia nilijikusanyia fedha na dhahabu , hazina ya wafalme na majimbo . Nikapata waimbaji wanaume na wanawake kwa ajili yangu , na kufurahia
kutoka kwa wana wa wanadamu , masulia na wanawake .
ECC 2:9     Alignment score: 0.4
So I became greater and wealthier than all who were before me in Jerusalem , and my wisdom remained with me .
Hivyo nikawa mkuu na tajiri
kuliko wote waliokuwa Yerusalemu kabla yangu , na hekima yangu ilikuwa ndani yangu .
ECC 2:10     Alignment score: 0.229 → 0.241
Whatever my eyes desired , I did not withhold from them . I did not withhold my heart from any pleasure , because my heart rejoiced in all my labor and pleasure was my reward for all my labor .
Lolote ambalo macho yangu yalikitamani sikuyazuia . Sikuuzuia moyo
wangu katika furaha yeyote , kwa sababu moyo wangu ulifurahi katika katka kazi yangu zote na furaha ilikuwa ni tunu kwa kazi zangu zote .
ECC 2:11     Alignment score: 0.42 → 0.432
Then I looked on all the deeds that my hands had accomplished , and on the labor that I had done , but again , everything was meaningless like chasing the wind . There was no profit under the sun in it .
Kisha nikatazama matendo yote ambayo mikono yangu iliyokwisha kuyatimiliza na juu ya kazi niliyokuwa nimeifanya , lakini tena , kila kitu kilikuwa ni mvuke na kujaribu kuuchunga upepo . Hakukuwa na faida chini ya jua .
ECC 2:12     Alignment score: 0.213 → 0.215
Then I turned to consider wisdom , and also madness and folly . For what more can the man who becomes the next king do than what the king has already
done ?
Kisha nikageuka kuitafakari hekima , na upumbavu na ujinga . Kwa maana ni kitu gani mfalme anayekuja baada yangu afanye , ambacho hakijafanyika ?
ECC 2:13     Alignment score: 0.327
Then I began
to understand that wisdom has advantages over folly , just as light is more profitable than darkness .
Kisha nikaanza kuelewa kwamba hekima ina faida kuliko upumbavu , kama nuru ilivyo bora kuliko giza .
ECC 2:14     Alignment score: 0.33 → 0.339
The wise man uses his eyes in his head to see where he is going , but the fool walks in darkness , although
I know the same event happens to all of them .
Mwenye hekima hutumia macho yake katika kichwa chake kuona mahali anakoenda , lakini mpumbavu hutembea katika giza , ingawa ninafahamu kuwa mwisho wa aina moja umetunzwa kwa kila mmoja .
ECC 2:15     Alignment score: 0.305 → 0.305
Then I said in my heart , " What happens to the fool , will also happen to me . So what difference does it make if I am very wise ? " I concluded in my heart , " This too is meaningless . "
Kisha nikasema moyoni mwangu , Kinachotokea kwa mpumbavu , ndicho kitachotokea na kwangu . Hivyo kuna utofauti
gani kama mimi ni mwenye hekima sana ? Nikahitimisha moyoni mwangu , Huu pia ni mvuke tu .
ECC 2:16     Alignment score: 0.264 → 0.272
For the wise man , like the fool , is not remembered for very long . In the days to come everything will have been long forgotten . The wise man dies just like the fool dies .
Kwa kuwa mwenye hekima , kama mpumbavu , hakumbukwi kwa muda mrefu . Katika siku zijazo , kila kitu kitakuwa kimesahauliwa . Mwenye hekima hufa kama navyokufa mpumbavu .
ECC 2:17     Alignment score: 0.403 → 0.409
So I detested life because all the work done under the sun was evil to me . This was because everything is meaningless like chasing the wind .
Hivyo nikauchukia uhai kwa sababu kazi zote zilizofanyika chini ya jua zilikuwa mbaya
kwangu . Hii ni kwa sababu kila kitu ni mvuke na kujaribu kuuchunga upepo .
ECC 2:18     Alignment score: 0.26 → 0.262
I hated all my toil for which I had toiled under the sun because I must leave it behind to the man who comes after me .
Nikachukia yote niliyoyatimiza , ambayo nilikuwa nimekwisha yafanya chini ya jua kwa sababu ni lazima niyaache kwa mtu anaye kuja baada yangu .
ECC 2:19     Alignment score: 0.396
For who knows whether he will be a wise man or a fool ? Yet he will be master over everything under the sun that my labor and wisdom have built
. This also is meaningless .
Na ni nani ajuaye kama atakuwa mwenye hekima au mpumbavu ? Ila atakuwa mtawala juu ya kila kitu chini ya jua ambayo kazi yangu na hekima yangu imeyajenga . Huu pia ni mvuke .
ECC 2:20     Alignment score: 0.349 → 0.352
So I began to give
my heart to despair over all the labor that I had done under the sun .
Kwa hiyo moyo wangu ukaanza kukata tamaa juu ya kazi zote nilizozifanya chini ya jua .
ECC 2:21     Alignment score: 0.267 → 0.279
For there might
be someone who labors with wisdom , knowledge , and skill , but he will leave everything he has to a man who has not made any of it . This also is meaningless a great injustice .
Kwa kuwa kunaweza kuwa na mtu anayefanya kazi kwa hekima , ufahamu , naumahili , lakini ataacha kila kitu alichonacho kwa mtu ambaye hajafanya chochote . Huu nao ni mvuke na hatari kubwa .
ECC 2:22     Alignment score: 0.221 → 0.228
What profit does a man gain from all the work and from the striving of heart that he labors at under the sun ?
Kwa maana ni faida gani mtu hupata
ambaye hufanya kazi kwa juhudi na kujaribu moyoni mwake kutimiza kazi zake chini ya jua ?
ECC 2:23     Alignment score: 0.369 → 0.39
Every day his work is painful and stressful , so at night his soul does not find rest . This also is meaningless .
Kila siku kazi yake ni maumivu na masikitiko , hivyo wakati wa usiku roho yake haipumziki . Huu pia ni mvuke .
ECC 2:24     Alignment score: 0.29
There is nothing better for a person than to simply eat and drink and find enjoyment in his labor . I saw that this truth comes from the hand of God .
Hakuna jambo jema kwa mtu yeyote zaidi ya kula na kunywa na kuridhika na kile kilichochema katika kazi yake . Nikaona kwamba ukweli
huu unatoka kutoka mkononi mwa Mungu .
ECC 2:25     Alignment score: 0.352
For who can eat or who can have any kind of pleasure apart from God ?
Kwa kuwa ni nani anaweza kula au anaweza kupata furaha yoyote tofauti na Mungu ?
ECC 2:26     Alignment score: 0.317 → 0.339
For to a person who pleases him , God gives wisdom and knowledge and joy . However , to the sinner he gives the work of gathering and storing up so that he may give
it away to someone who pleases God . This also is meaningless like chasing the wind .
Kwa kuwa kwa kila anayemfurahisha yeye , Mungu humpa hekimana ufahamu ba furaha . Ingawa , kwa mwenye dhambi humpa kazi ya kukusanya na kutunza ili kwamba ampe mtu anayempendeza Mungu . Huu pia ni sawa na mvuke na kujaribu kuuchunga upepo .
ECC 2     Average alignment score: 0.321 for 26 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of ECC:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12