Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:41
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of ECC:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12 


ECC 10:1     Alignment score: 0.282 → 0.309
As dead
flies cause perfume to stink , so a little folly can outweigh wisdom and honor .
Kama nzi walio kufa husababisha manukato kutoa harufu ya uozo , hivyo hivyo upumbavu kidogo hushinda hekima na heshima .


ECC 10:2     Alignment score: 0.521
The heart of a wise person tends to the right , but the heart of a fool tends to the left .
Moyo wa mtu mwenye hekima huelekea kulia , lakini moyo wa mpumbavu huelekea kushoto .
ECC 10:3     Alignment score: 0.295 → 0.327
When a fool walks down a road , his thinking is deficient , proving to everyone he is a fool .
Wakati mpumbavu anapotembea barabarani , fikira zake zina upungufu
, ikithibitisha kwa kila mtu kwamba ni mpumbavu .
ECC 10:4     Alignment score: 0.22
If the emotions of a ruler rise
up against you , do not leave your work . Calm can quiet down great outrage .
Kama jaziba za mtawala zikiinuka kinyume na wewe , usiache kazi yako . Utulivu unaweza kutuliza ukatili mkubwa .
ECC 10:5     Alignment score: 0.348 → 0.372
There is an evil that I have seen under the sun , a kind of error that comes from a ruler :
Kuna uovu niliouona chini ya jua , aina ya kosa ambalo huja kutoka kwa mtawala :
ECC 10:6     Alignment score: 0.38
Fools are given leadership positions , while wealthy
men are given low positions .
Wapumbavu wanapewa nafasi za uongozi , wakati watu walio faulu wanapewa nafasi za chini .
ECC 10:7     Alignment score: 0.318
I have seen slaves riding horses , and princes walking on the ground like slaves .
Nimewaona watumwa wakipanda farasi , na watu walio
faulu wakitembea kama watumwa juu ya ardhi .
ECC 10:8     Alignment score: 0.271
The one who digs a pit will fall into it , and whoever breaks through a wall may be bitten by a snake .
Yeyote anayechimba shimo anaweza kutumbukia ndani yake , na popote mtu anayevunja ukuta , nyoka anaweza kumuuma .
ECC 10:9     Alignment score: 0.242
Whoever cuts out stones can be hurt by them , and the man who chops wood is endangered by it .
Yeyote achongaye mawe , anaweza kuumizwa nayo . Na mtu achongaye mbao , anaweza kujihatarisha kwa hiyo
.
ECC 10:10     Alignment score: 0.321 → 0.322
If an iron blade is dull , and a man does not sharpen it , then he must use more strength , but wisdom provides an advantage for success .
Kama chuma butu kisicho na makali
, na mtu hainoi , kisha ni lazima atumie nguvu nyingi , lakini hekima hutoa faida kwa ufaulu .
ECC 10:11     Alignment score: 0.266
If a snake bites before it is charmed , then there is no advantage for the charmer .
Kama nyoka akiuma kabla hajafurahi , hivyo hakuna faida kwa mfurahishaji .
ECC 10:12     Alignment score: 0.443 → 0.443
The words of a wise man 's mouth are gracious , but the lips of a fool consume him .
Maneno ya kinywa chamtu mwenye hekima yana huruma . Lakini midomo ya mpumbavu humumeza mwenyewe .
ECC 10:13     Alignment score: 0.388
As words begin to flow from a fool 's mouth , foolishness comes out , and at the end his mouth flows with wicked madness .
Kama maneno yanavyo anza kutiririka mdomoni mwa mpumbavu , ujinga hutoka , na mwisho mdomo wake hutiririka wazimu mbaya .
ECC 10:14     Alignment score: 0.537
A fool multiplies words , but no one knows what is coming . Who knows what is coming after him ?
Mpumbavu huongeza maneno , lakini hakuna ajuaye kinachokuja . Ni nani ajuaye baada yake ?
ECC 10:15     Alignment score: 0.253 → 0.246
The toil of fools wearies them , so that they do not even know the road to town .
Jasho la wapumbavu huwavaa wao , hivyo hawajui hata barabara ya kwenda mjini .
ECC 10:16     Alignment score: 0.45
Woe to you , land , if your king is a young boy , and if your leaders begin
feasting in the morning !
Ole wako ardhi kama mfalme wako ni kijana mdogo , na kama viongozi wako huanza karamu asubuhi !
ECC 10:17     Alignment score: 0.431 → 0.444
But blessed are you , land , if your king is the son of nobles , and if your leaders eat at the right time , for strength , and not for drunkenness !
Lakini umebarikiwa
ardhi kama mfalme wako ni mwana wa waungwana , na kama vingozi wako hula wakati muafaka , kwa nguvu , na sio kwa ulevi .
ECC 10:18     Alignment score: 0.342
Because of laziness the roof sinks in , and because of idle hands the house leaks .
Kwa sababu ya uvivu paa huanguka . Na kwa sababu isiyo fanya kazi nyumba hupata
ufa .
ECC 10:19     Alignment score: 0.427
People prepare food for laughter , wine brings enjoyment to life
, and money fills the need for everything .
Watu huandaa chakula kwa kicheko , divai huleta furaha maishani , na fedha hutimiza hitaji kwa kila kitu .
ECC 10:20     Alignment score: 0.36 → 0.363
Do not curse the king , not even in your mind , and do not curse rich people in your bedroom . For a bird of the sky might
carry your words ; whatever has wings can spread the matter .
Usimlaani mfalme , hata katika akili , na usiwalaani wenye mali katika chumba chako cha kulala . Kwa kuwa ndege wa angani inaweza kuchukua maneno yako . Chochote kilicho na mabawa kinaweza kusambaza jambo .
ECC 10     Average alignment score: 0.362 for 20 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of ECC:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12