Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:41
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of ECC:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12 


ECC 9:1     Alignment score: 0.23 → 0.235
So all of this
I laid to my heart , to make it clear , and I concluded that the righteous and the wise , and all that they do , are in the hand of God , but no one knows whether love or hate awaits him .
Kwa kuwa nilifikiri haya yote katika akili zangu kufahamu kuhusu watu wenye haki na wenye hekima na matendo yao . Wote wako katika mikono ya Mungu . Hakuna anayefahamu kama upendo au chuki itakuja kwa mtu .


ECC 9:2     Alignment score: 0.248 → 0.255
Everyone has the same fate . The same fate awaits righteous people and wicked , the good , the clean and the unclean , and the one who sacrifices
and the one who does not sacrifice . As good people will die , so also will the sinner . As the one who swears will die , so also will the man who fears to make an oath .
Kila mmoja ana mwisho sawa . Mwisho sawa una subiria watu wenye haki na waovu , wema , walio safi na wasio safi , yeye atoaye dhabibu na yule asiye dhabihu . Kama vile watu wema watakufa wenye dhambi nao watakufa vivyo hivyo . Kama vile yule anayeapa atakavyo kufa , vivyo hivyo mtu yule aogopaye kuweka kiapo naye atakufa .
ECC 9:3     Alignment score: 0.319 → 0.32
There is an evil fate for everything that is done under the sun , the same event happens to them all . The hearts of human beings are full of evil , and madness is in their hearts while they live . So after that they go to the dead .
Kuna mwisho mwovu kwa kila kitu kinachofanyika chini ya jua , na mwisho kwa kila mtu . Moyo
wa mwanadamu umejaa uovu , na wazimu uko katika mioyo yao wakati wanaishi . Hivyo baada ya hilo wanaenda kwa wafu .
ECC 9:4     Alignment score: 0.345
Whoever is joined with all the living has hope even a live dog is better than a dead
lion .
Kwa kuwa yeyote anayeungana na wote walio hai kuna tumaini , kama vile mbwa aliye hai ni bora kuliko simba aliye kufa .
ECC 9:5     Alignment score: 0.341
For those who are alive know they will die , but the dead
do not know anything . They no longer have any reward because their memory is forgotten .
Kwa kuwa watu walio hai , lakini walio kufa hawajui chochote . Hawana tena tuzo yeyote kwa sababu kumbukumbu yao imesahaulika .
ECC 9:6     Alignment score: 0.326
Their love , hatred , and envy have vanished long ago . They will never have a place again in anything done under the sun .
Upendo wao , chuki na wivu vimekatiliwa mbali
muda mwingi . Hawatapata sehemu katika kitu chochote kinachofanyika chini ya jua .
ECC 9:7     Alignment score: 0.434 → 0.436
Go your way , eat your bread with joy , and drink your wine with a happy heart , for God approves of your deeds .
Nenda zako , kula mkate wako kwa furaha , na kunywa mvinyo wako na moyo wa furaha , kwa kuwa Mungu huruhusu kusherehekea
kazi njema .
ECC 9:8     Alignment score: 0.393
Let your clothes be always white and your head anointed with oil .
Nguo zako ziwe nyeupe siku zote , na kichwa chako kipake mafuta .
ECC 9:9     Alignment score: 0.305
Enjoy life
with the wife whom you love all the days of this meaningless life that God has given you under the sun all your meaningless days . For this is your reward in life for your difficult work that you labored in under the sun .
Ishi kwa furaha na mwanamke umpendaye siku zako zote za maisha yako ya ubatili , siku ambazo Mungu amekupatia chini ya jua wakati wa siku zako za ubatili . Hiyo ni thawabu kwa ajili yakazi yako chini ya jua .
ECC 9:10     Alignment score: 0.422 → 0.428
Whatever your hand finds to do , work at it with your strength , because there is no work or explanation
or knowledge or wisdom in Sheol , where you are going .
Chochote mkono wako unakifanya , kifanye kwa nguvu zako kwa sababu hakuna kazi , au ufafanuzi au ujuzi au hekima katika kaburi , unapoenda .
ECC 9:11     Alignment score: 0.162 → 0.18
Again I saw under the sun : the race is not to the swift , nor is the battle to the strong , nor does food come to the wise , nor riches to the intelligent , nor favor to those with knowledge , but time and chance happen to them all .
Nimeona baadhi ya vitu vyakuvutia chini ya jua : Mashindano hayatokani na watu wenye mbio . Vita havitokani na watu imara . Mkate
hautokani na watu wenye busara . Mali hazitokani na watu wenye ufahamu . Kibali hakitokani na watu wenye ujuzi . Badala yake muda na bahati huwaathiri wao wote .
ECC 9:12     Alignment score: 0.224 → 0.235
Surely , no one knows when his time will come . As fish are caught in a deadly net , or birds are caught in a snare , the children of human beings are ensnared by evil times that suddenly fall upon them .
Kwa kuwa hakuna anaye fahamu wakati wake wa kufa
, kama vile samaki wanaswavyo katika nyavu ya kifo , au kama vile ndege akamatwavyo katika mtego . Kama wanyama wanadamu wamefungwa katika nyakati mbaya ambazo ghafla huwaangukia .
ECC 9:13     Alignment score: 0.43 → 0.425
I have also seen wisdom under the sun in a way that seemed great to me .
Pia nimeona hekima chini ya jua kwa namna ambayo kwangu ilionekana kubwa .
ECC 9:14     Alignment score: 0.271 → 0.277
There was a small city with only a few men in it , and a great king came against it , he surrounded it and built great siege ramps against it .
Kulikuwa na mji mdogo na watu wachache ndani yake , na mfalme mkuu akaja kinyume na mji huo na akauzingira na akajenga mahandaki kwa ajili ya kuushambulia
.
ECC 9:15     Alignment score: 0.341
Now in the city was found a poor , wise man , who by his wisdom saved the city . Yet later , no one remembered that same poor man .
Na katika mji kulikuwa na maskini
, mtu mwenye hekima , ambaye kwa hekima yake aliuokoa mji . Ila baadaye hakuna aliye mkumbuka yule maskini .
ECC 9:16     Alignment score: 0.56
So I concluded , " Wisdom is better than strength , but the poor man 's wisdom is despised , and his words are not heard . "
Hivyo , nikasema , Hekima ni bora kuliko nguvu , lakini hekima ya mtu maskini
hudharauliwa , na maneno yake hayasikilizwi .
ECC 9:17     Alignment score: 0.396
The words of wise people spoken quietly are heard better than the shouts of any ruler among fools .
Maneno ya watu wenye hekima yaliongewa polepole yanasikiwa vizuri kuliko makelele ya mtawala yeyote miongoni mwa wapumbavu .
ECC 9:18     Alignment score: 0.462
Wisdom is better than weapons of war , but one sinner can ruin much good .
Hekima ni bora kuliko silaha za vita , lakini mwenye dhambi mmoja anaweza kuharibu mazuri
mengi .
ECC 9     Average alignment score: 0.324 for 18 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of ECC:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12