Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:41
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of ECC:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12 


ECC 4:1     Alignment score: 0.217 → 0.221
Once again I thought about all the oppression that is done under the sun . And behold , the tears of oppressed people , and they had no one to comfort them ! Power was in the hand of their oppressors , and there was no one to comfort them !
Kisha tena nikafikiri kuhusu mateso yote yaliyo chii ya jua . Tazama machozi ya watu walioteswa . Hakuna anaye mfariji kwa ajili yao . Nguvu iko katika mikononi
mwa watesaji , lakini wateswaji hawana mfariji .


ECC 4:2     Alignment score: 0.159
So I considered those who are already
dead more fortunate than the living , who are still alive .
Hivyo nikawapongeza watu walio kufa , wale ambao tayari wamekufa , sio wanaoishi , wale ambao wako hai .
ECC 4:3     Alignment score: 0.313 → 0.322
However , more fortunate than both of them is the one who has not yet lived , the one who has not seen any of the evil acts that are done under the sun .
Ingawa , bahati zaidi kuliko wote wawili ni yule ambaye hajaishi , yeye ambaye hajaona matendo yoyote mabaya ambayo yanafanyika chini ya jua .
ECC 4:4     Alignment score: 0.403 → 0.402
Then I saw that every act of labor and every skillful work became the envy of one 's neighbor . This also is meaningless like chasing the wind .
Kisha , nikaona kwamba kila tendo la kazi na kila kazi ya ujuzi wa mtu ni wivu wa jirani . Huu pia ni ubatili na mvuke na kujaribu kuushika upepo .
ECC 4:5     Alignment score: 0.454
The fool folds his hands and does not work , so his food is his own flesh .
Mpumbavu hukunja mikono yake na hafanyi kazi , hivyo chakula chake ni mwili wake .
ECC 4:6     Alignment score: 0.41 → 0.412
But better is a handful of profit with quiet work than two handfuls with the labor that tries to shepherd the wind .
Lakini afadhali konzi ya faida pamoja na kazi ya haraka kuliko konzi mbili pamoja na kazi ambayo hujaribu kuushika upepo .
ECC 4:7     Alignment score: 0.267
I returned and I saw something meaningless under the sun .
Kisha nikarudi nikafikiria tena kuhusu ubatili chini ya jua :
ECC 4:8     Alignment score: 0.292 → 0.295
There is the kind of man who is alone . He does not have a companion , no son or brother , and yet there is no end to all his work , and his eyes are not satisfied with gaining wealth . He wonders , " For whom am I toiling and depriving myself of pleasure ? " This also is meaningless a bad situation .
Kuna aina ya mtu ambaye yuko peke yake . Hana mtu , hana mwana , wala ndugu . Hakuna mwisho wa kazi zake zote , na macho yake hayaridhiki kwa kupata utajiri . Anashangaa , Nina jihangaisha na kuharibu
furaha yangu kwa ajili ya nani ? Huu pia ni ubatili na hali mbaya .
ECC 4:9     Alignment score: 0.226
Two people work better than one ; together they can earn a good wage for their labor .
Watu wawili wanafanya vizuri zaidi ya mmoja ; kwa pamoja wanaweza kupata malipo mazuri
kwa ajili ya kazi yao .
ECC 4:10     Alignment score: 0.289 → 0.289
For if one falls , the other can lift up his friend . However , woe to the one who is alone when he falls if there is no one to lift him up .
Kwa kuwa kama mmoja akianguka , mwingine anaweza kumwinua rafiki yake . Ingawa , huzuni humfuata yeye aliye peke yake anapoanguka kama hakuna mtu wa kumwinua .
ECC 4:11     Alignment score: 0.303
If two lie down together , they can be warm , but how can one be warm alone ?
Na kama wawili wakilala pamoja , wanaweza kupata joto , lakini mtu mmoja anawezaje kupata joto akiwa mwenyewe ?
ECC 4:12     Alignment score: 0.26 → 0.276
One man alone can be overpowered , but two can withstand an attack , and a three - strand rope is not quickly broken .
Mtu akiwa peke yake anaweza kushindwa nguvu , lakini wawili wanaweza kusimama
katika shambulio Na kamba ya nyuzi tatu haikatika upesi .
ECC 4:13     Alignment score: 0.351 → 0.353
It is better to be a poor but wise youth than an old and foolish king who no longer knows how to listen to warnings .
Ni bora kuwa kijana masikini
kuliko kuwa mfalme mzee na mpumbavu ambaye hajui jinsi ya kusikiliza maonyo .
ECC 4:14     Alignment score: 0.516
This is true even if the young man becomes king from prison , or even if he was born poor in his kingdom .
Hii ni kweli hata kama mtu mdogo anapokuwa mfalme kutoka gerezani , au hata kama alizaliwa maskini
katika ufalme wake .
ECC 4:15     Alignment score: 0.239
I saw everyone who was alive and was walking around under the sun , along with a youth who was to rise
up to take his place .
Ingawa , niliona kila mmoja aliye kuwa hai na kuzunguka chini ya jua : aliyekua na kijana wa pili aliyejiinua kama mfalme . Aliyejiinua
ECC 4:16     Alignment score: 0.426 → 0.438
There is no end to all the people who want to obey the new king , but later many of them will no longer praise him . Surely this also is meaningless like chasing the wind .
Hakuna mwisho kwa watu wote wanaotaka kumtii mfalme mpya , lakini wengi wao hawatamsifu yeye . Hakika hali hii ni ubatili na kujaribu kuushika upepo .
ECC 4:17     Alignment score: 0.325
Guard your steps when you go to the house of God . Go near to listen rather than to offer the sacrifice of fools , who do not understand that they are doing what is wrong .
Linda mwenendo wako unapoenda kwenye nyumba ya Mungu . Nenda kule usikilize
. Kusikiliza ni bora kuliko wapumbavu wanapotoa dhabihu wakati hawajui kuwa wanachofanya katika maisha ni kibaya .
ECC 4     Average alignment score: 0.323 for 17 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of ECC:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12