Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:41
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of ECC:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12 


ECC 6:1     Alignment score: 0.327
There is an evil that I have seen under the sun , and it weighs heavy on men .
Kuna ubaya ambao
nimeuona chini ya jua , na ni mbaya kwa watu .


ECC 6:2     Alignment score: 0.279 → 0.289
God gives riches , wealth , and honor to a man so that he lacks nothing that he desires for himself , but then God gives him no ability to enjoy them . Instead , a stranger enjoys them . This is meaningless and a terrible affliction .
Mungu anaweza kumpa mtu mali na utajiri na heshima kwa kiasi kwamba hakosi chochote anachokitamani mwenyewe , lakini kisha hampi uwezo wa kukifurahia . Badala yake mtu mwingine hutumia vitu vyake . Huu ni ubatili , teso baya .
ECC 6:3     Alignment score: 0.412 → 0.431
If a man fathers a hundred children and lives many years , so that the days of his years are many , but if his heart is not satisfied with good and he is not buried , then I say that a baby that is born dead is better off than he is .
Kama mtu akizaa watoto mia moja na kuishi miaka mingi
, ili kwamba siku za miaka yake ni nyingi , lakini kama moyo wake hautosheki kwa mema na hazikwi kwa heshima , kisha ninasema kwamba , mtoto aliyezaliwa akiwa amekufa ni bora kuliko alivyo .
ECC 6:4     Alignment score: 0.239
Such a baby is born without meaning and passes away in darkness , and its name is covered in darkness .
Hata mtoto huyo
amezaliwa bila faida na anapita katika njia mbaya , na jina lake halitambuliki .
ECC 6:5     Alignment score: 0.409
Although
this child does not see the sun or know anything , it has rest even though that man did not .
Ingawa mtoto huyu haoni jua au kujua kitu chochote , ana pumziko ingawa mtu huyo hakupumzika .
ECC 6:6     Alignment score: 0.309 → 0.329
Even if a man should live for two thousand years but does not learn to enjoy good things , he goes to the same place as everyone else .
Hata kama mtu akiishi
miaka elfu mbili lakini hajifunzi kufuraia vitu vizuri , aenda sehemu moja kama mtu yeyote yule .
ECC 6:7     Alignment score: 0.261 → 0.261
All a man 's labor is for his mouth , yet his appetite is not satisfied .
Ingawa kazi yote ya mtu ni kujaza
mdomo wake , ila hamu yake haishibi .
ECC 6:8     Alignment score: 0.31 → 0.307
Indeed , what advantage has the wise person over the fool ? What advantage does the poor man have even if he knows how to act in front of other people ?
Hakika ni faida gani aliyo nayo mwenye hekima kuliko mpumbavu ? Ni faida gani aliyo nayo maskini
hata kama anajua jinsi ya kutenda mbele ya watu ?
ECC 6:9     Alignment score: 0.238 → 0.246
What the eye sees is better than what the soul wanders after . This
also is meaningless like chasing the wind .
Ni bora kuridhika na kile ambacho macho hukiona kuliko kutamani kile ambacho hamu isiyo tulia inatamani , ambayo pia ni ubatili na kujaribu kuushika upepo .
ECC 6:10     Alignment score: 0.217 → 0.222
Whatever has existed has already
been given its name , and what mankind is like has already been known . So it has become useless for a man to dispute with the one who is stronger than he is .
Chochote ambacho kimekuwepo , tayari kimekwisha kupewa jina lake , na vile mtu alivyo ni kama tayari amekwisha fahamika . Hivyo imekuwa haifai kugombana na yule ambaye ni muhukumu mkuu wa wote .
ECC 6:11     Alignment score: 0.183
The more words there are , the more meaningless they become . What advantage is that to a man ?
Maneno mengi ambayo yanaongelewa , ndivyo yasiyo na maana yanaongezeka , kwa hiyo
ni faida gani iliyopo kwa mwanadamu ?
ECC 6:12     Alignment score: 0.28
For who knows what is good for a person in life , during the few and meaningless days he passes through like a shadow ? Who can tell a person what will happen under the sun after he is gone ?
Kwa kuwa ni nani ajuaye nini kilicho kizuri kwa mtu katika maisha yake wakati wa ubatili wake , siku zilizo hesabika ambazo kwa hizo anapita kama kivuli ? Ni nina anayeweza kumwambia mtu kile kitakacho kuja chini ya jua baada ya kupita
?
ECC 6     Average alignment score: 0.301 for 12 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of ECC:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12