Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:40
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of EZR:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10 


EZR 3:1     Alignment score: 0.343 → 0.359
It was the seventh month after the descendants of Israel came
back to their cities , when the people gathered together as one man in Jerusalem .
Ilikuwa miezi saba baaada ya watu wa Israeli kurudi kwenye miji yao , ndipo walipojikusanya pamoja kama mtu mmoja katika Yerusalem .


EZR 3:2     Alignment score: 0.546 → 0.566
Jeshua son of Jozadak and his brothers the priests , and Zerubbabel son of Shealtiel , and his brothers rose
up and built the altar of the God of Israel to offer burnt offerings as it is written in the law of Moses the man of God .
Yeshua mwana wa Yosadaki na kaka yake kuhani , na Zerubabeli mwana wa Sheatieli na kaka yake wakainuka na kujenga madhabahu ya Mungu wa Israeli na kutoa sadaka ya kuteketezwa kama ilivyoagizwa katika sheria ya Musa , Mtu wa Mungu .
EZR 3:3     Alignment score: 0.409
Then they established the altar on its stand , for terror was on them because of the people of the land . They offered burnt offerings
to Yahweh at dawn and evening .
Ndipo wakaanzisha madhabahu juu ya msingi , kwa hofu waliokuwa nayo kwa sababu ya watu wa nchi . Wakatoa sadaka ya kuteketezwa kwa Yahwe asubuhi na jioni .
EZR 3:4     Alignment score: 0.385
They also observed the Festival of Shelters as it is written and offered burnt offerings
day by day according to the decree , each day 's duty on its day .
Pia vilevile wakaichunguza sikukuu ya vibanda kama ilivyoandikwa na wakatoa sadaka ya kuteketezwa siku kwa siku kama ilivyoagizwa , kila siku kwa siku yake .
EZR 3:5     Alignment score: 0.181 → 0.197
Accordingly , there were daily burnt offerings
, offerings for the new moons , and offerings for all the fixed feasts of Yahweh that had been consecrated , as well as freewill offerings from all those who offered them to Yahweh .
Kulikuwa na sadaka ya kila siku ya kuteketezwa na mwezi mara moja na sadaka za siku ya Yahwe za kudumu , pamoja na sadaka zote za hiari .
EZR 3:6     Alignment score: 0.454 → 0.454
They began to offer up burnt offerings to Yahweh on the first day of the seventh month , although
the temple had not been founded .
Walianza kutoa sadaka za kuteketezwa za Yahwe siku ya kwanza ya mwezi wa saba , ingawa hekalu lilikuwa halijaanza kujengwa .
EZR 3:7     Alignment score: 0.556
So they gave
silver to the stoneworkers and craftsmen , and they gave food , drink , and oil to the people of Sidon and Tyre , so they would bring cedar trees by sea from Lebanon to Joppa , as authorized for them by Cyrus , king of Persia .
Hivyo wakatoa fedha kwa wahunzi na fundi wa mkono , na wakawapa chakula , vinywaji na mafuta kwa watu wa Sidoni na Tiro , ili kwamba walete miti ya mierezi kupitia baharini kutoka Lebanoni mpaka Yafa , na kama walivyo ruhusiwa na mfalme Koreshi wa Uajemi .
EZR 3:8     Alignment score: 0.504 → 0.53
Then in the second month of the second year after they came to the house of God in Jerusalem , Zerubbabel son of Shealtiel , Jeshua
son of Jozadak , the rest of their brothers the priests and the Levites , and those who came from captivity back to Jerusalem began the work . They assigned the Levites twenty years old and older to oversee the work of the house of Yahweh .
Ndipo mwezi wa pili katika mwaka wa pili baadae wakaja kwenye nyumba ya Mungu Yerusalem , Zerubabeli , Yoshua mwana wa Yosadaki , na baadhi ya makuhani na walawi na wale walikuja kutoka uhamishoni kurudi Yerusalem wakaanza kazi . Wakawachagua walawi walikuwa na miaka ishirini na zaidi kusimamia kazi ya nyumba ya Yahwe ,
EZR 3:9     Alignment score: 0.253 → 0.319
Jeshua
and his sons and brothers , and Kadmiel and his sons ( who were descendants of Hodaviah ) , and the sons of Henadad and their sons and brothers - all of them were Levites - joined together in overseeing those working on the house of God .
Yoshua akamsimamisha kijana wake na kaka yake , Kadmiel na watoto wake , na kizazi cha yuda kusimamia kufanya kazi katika nyumba ya Mungu . Pamoja na wao kulikuwa na wana wa Henadadi , na uzao wao , na pia jamaa zao walawi .
EZR 3:10     Alignment score: 0.532
The builders laid a foundation for the temple of Yahweh . This enabled the priests to stand in their garments with trumpets , and the Levites , sons of Asaph , to praise Yahweh with cymbals , just as the hand of David , king of Israel had commanded .
Wajenzi wakasimamisha msingi wa Hekalu la Yahwe , Na hii ikawawezesha makuhani kusimama na mavazi yao wakiwa na tarumbeta , na walawi wana wa Asafu , kumtukuza Yahwe kwa matoazi , kama mkono wa mfalme Daudi wa Israel
alivyoagiza .
EZR 3:11     Alignment score: 0.361 → 0.371
They sang with praise and thankfulness to Yahweh , " He is good ! His covenant faithfulness to Israel endures forever . " All the people cried out with a great shout of joy in praise of Yahweh because the temple 's foundations had been laid .
Waliimba kwa kumsifu na kumshukuru Yahwe . Yeye ni mwema ! Agano lake ni kweli kwa Israel
ladumu milele . Watu wote wakapiga kelele kwa sauti kuu za shangwe wakimsifu Yahwe kwa sababu misingi ya Hekalu ilikuwa imekamilika
EZR 3:12     Alignment score: 0.391 → 0.395
But many of the priests , Levites , and chief patriarchs , those
who were old and had seen the first house , when this house 's foundations were laid before their eyes , wept loudly . But many people had shouts of joy with gladness and an excited sound .
Lakini wengi wa Makuhani , walawi , wakuu wa kale , na wazeee wa zamani walioiona nyumba ya kwanza , wakati misingi ilipowekwa wakaishuhudia kwa macho yao , walilia kwa sauti . Lakini wengi walipiga kelele kwa sauti za shangwe na furaha na sauti za kushangaza .
EZR 3:13     Alignment score: 0.301
As a result , people were not able to distinguish the joyful and glad sounds from the sound of people weeping , for the people were crying out with great joy , and the sound was heard from far away .
Na matokeo yake , watu hawakuweza kutofautisha sauti za furaha na sauti za shangwe na sauti za watu waliokuwa
wanalia , kwa kuwa watu walikuwa wanalia kwa sauti kuu ya shangwe na sauti ilisikika kutoka mbali .
EZR 3     Average alignment score: 0.43 for 13 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of EZR:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10