Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:44
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of AMO:1  2  3  4  5  6  7  8  9 


AMO 3:1     Alignment score: 0.408
Hear this
word that Yahweh has spoken against you , people of Israel , against the whole family that I brought up out of the land of Egypt :
Sikieni neno la Yahwe aliloongea juu yenu , enyi wana wa Israeli , juu ya familia nzima ambayo niliwatoa kutoka nchi ya Misri , nikisema ,


AMO 3:2     Alignment score: 0.373 → 0.375
" I have chosen only you from all the families of the earth . Therefore I will punish you for all your iniquities . "
Nimewachagua ninyi tu kutoka familia zote za dunia . Kwa hiyo nitawaadhibu kwa dhambi zenu zote .
AMO 3:3     Alignment score: 0.254
Will two walk together unless they have made an appointment ?
Je wawili wanaweza kutembea pamoja isipokuwa wamekubaliana ?
AMO 3:4     Alignment score: 0.277 → 0.277
Will a lion roar in the forest when he has no prey ? Will a young lion growl from his den if he has caught nothing ?
Je , simba huunguruma msituni wakati hakuna mawindo ? Je , mwana simba ataunguruma
kutoka pangoni mwake kama hajakamata kitu ?
AMO 3:5     Alignment score: 0.299
Can a bird fall in a trap on the ground when no bait is set for him ? Will a trap spring up from the ground when it has not caught anything ?
Je , ndege ataanguka kwenye mtego ardhini wakati hakuna chambo kimewekwa kwa ajili yake ? Je , mtego utafyatuka juu ardhini wakati hakuna kitu cha kukamata ?
AMO 3:6     Alignment score: 0.205 → 0.215
If a ram 's horn sounds in a city , will the people not tremble ? If disaster overtakes a city , has Yahweh not sent it ?
Je , tarumbeta itapigwa mjini na watu wasitetemeke ? Je , janga laweza kuja mjini bila kuletwa na Yahwe ?
AMO 3:7     Alignment score: 0.463
Surely the Lord Yahweh will do nothing unless he reveals his plan to his servants the prophets .
Hakika Bwana Yahwe hatafanya kitu isipokuwa awafunulie mpango watumishi wake manabii .
AMO 3:8     Alignment score: 0.232 → 0.247
The lion has roared ; who will not fear ? The Lord Yahweh has spoken ; who will not prophesy ?
Simba ameshaunguruma ! Nani hataogopa ? Bwana Yahwe amekwisha ongea ; nani asiyeweza kutabiri ?
AMO 3:9     Alignment score: 0.399 → 0.408
Proclaim this in the fortresses at Ashdod , and in the fortresses in the land of Egypt ; say , " Assemble yourselves on the mountains of Samaria and see what great tumults are in her , and what oppression is in her .
Tangazeni hii katika majumba ya Ashidodi
, na katika majumba ya nchi ya Misri ; mkaseme , Kusanyikeni juu ya milima ya Samaria ; tazama machafuko makubwa kati yake , na waliokandamizwa ndani yake .
AMO 3:10     Alignment score: 0.208 → 0.215
For they do not know how to do right this is Yahweh 's declaration They store up violence and devastation in their fortresses . "
Kwa kuwa hawajui jinsi ya kufanya haki - asema Yahwe - hao wawekao akiba ya jeuri na unyang'anyi katika majumba yao .
AMO 3:11     Alignment score: 0.235 → 0.244
Therefore , this is what the Lord Yahweh says : " An enemy will surround the land , and pull down your strongholds
and plunder your fortresses . "
Kwa hiyo , hivi ndivyo Yahwe asemavyo , Adui ataizunguka nchi pande zote . Ataziondoa nguvu zako kutoka kwako , na majumba yako yatatekwa nyara .
AMO 3:12     Alignment score: 0.413 → 0.415
This is what Yahweh says : " As the shepherd rescues out of the mouth of the lion two legs only , or a piece of an ear ; so will the people of Israel who live in Samaria be rescued ; they will be left with only the corner of a couch or a piece of a bed . "
Hivi ndivyo Yahwe asemavyo , Kama mchungaji aokoavyo katika kinywa cha simba miguu miwili tu au kipande cha sikio , ndivyo wana wa Israeli watakavyookolewa wale waishio
katika Samaria , penye pembe ya kitanda . Kwenye ukingo wa kochi .
AMO 3:13     Alignment score: 0.507 → 0.512
Hear and testify against the house of Jacob this is the declaration of the Lord Yahweh , the God of hosts :
Sikieni na kushuhudia juu ya nyumba ya Yakobo - hivi ndivyo Yahwe asemavyo , Mungu wa majeshi ,
AMO 3:14     Alignment score: 0.441
" For in the day that I punish the sins of Israel , I will also punish the altars of Bethel . The horns of the altar will be cut off and fall to the ground .
Kwa kuwa katika siku ambayo nimeadhibu dhambi za Israeli , pia nitaziadhibu madhabahu za Betheli . Pembe za madhabahu zitakatwa na kuanguka chini .
AMO 3:15     Alignment score: 0.38 → 0.43
I will destroy the winter house with the summer house . The houses of ivory will perish , and the large houses will vanish this is Yahweh 's declaration . "
Nitaiharibu nyumba ya wakati baridi pamoja na nyumba ya wakati wa hari . Nyumba za pembe zitaangamia , na nyumba kubwa zitakuwa na mwisho , - hivi ndivyo Yahwe asemavyo .
AMO 3     Average alignment score: 0.355 for 15 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of AMO:1  2  3  4  5  6  7  8  9