Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:46
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of HEB:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13 


HEB 2:1     Alignment score: 0.132 → 0.158
Therefore , we must give
far more attention to what we have heard , so that we do not drift away from it .
Kwa hiyo ni lazima tuweke kipaumbele zaidi kwa yale tuliyosikia , ili kwamba tusije tukatengwa mbali nayo .


HEB 2:2     Alignment score: 0.252
For if the message that was spoken through the angels proved to be so reliable , and every transgression and disobedience receives just repayment ,
Kwa maana ikiwa ujumbe uliozungumzwa na malaika ni halali , na kila kosa na uasi hupokea adhabu
tu ,
HEB 2:3     Alignment score: 0.209
how then can we escape if we ignore so great a salvation ? This is salvation that was first announced by the Lord and confirmed to us by those who heard it .
tutapataje kuepuka kama tusipojali wokovu huu mkuu ? Wokuvu
ambao kwanza ulitangazwa na Bwana na kuthibitishwa kwetu na wale waliousikia .
HEB 2:4     Alignment score: 0.405 → 0.405
At the same time God testified to it by signs , wonders , and various miracles , and by distributing the gifts of the Holy Spirit according to his will .
Mungu pia aliuthibitisha kwa ishara , maajabu , na kwa matendo makuu mbalimbali , na kwa zawadi za Roho Mtakatifu alizozigawa kulingana na mapenzi yake mwenyewe .
HEB 2:5     Alignment score: 0.295 → 0.35
For it was not to the angels that God subjected the world to come , about which we are speaking .
Mungu hakuuweka ulimwengu ujao , ambao
tunaongelea habari zake , chini ya malaika .
HEB 2:6     Alignment score: 0.335
But someone has somewhere testified , saying , " What is man , that you are mindful of him ? Or a son of man , that you care for him ?
Badala yake , mtu fulani ameshuhudia mahali fulani akisema
, Mtu ni nani , hata uweze kumkumbuka ? Au mwana wa mtu , hata umtunze ?
HEB 2:7     Alignment score: 0.405
You made man a little lower than the angels ; you crowned him with glory and honor .
Mtu kuwa mdogo kuliko malaika ; umemvika taji ya utukufu na heshima .
HEB 2:8     Alignment score: 0.317 → 0.337
You put everything in subjection under his feet . " For it was to him that God has subjected all things . He did not leave anything not subjected to him . But now we do not yet see everything subjected to him .
Umeweka kila kitu chini ya miguu yake . Kwa hiyo
Mungu ameweka kila kitu chini ya mtu . Hakuacha kitu chochote ambacho hakiko chini yake . Lakini sasa hivi hatuoni bado kila kitu kikiwa chini yake .
HEB 2:9     Alignment score: 0.376 → 0.375
But we see him who was made lower than the angels for a little while , Jesus , crowned with glory and honor because of his suffering and death , so that by God 's grace he might
taste death for everyone .
Hata hivyo , tunaona ambaye alikuwa amefanywa kwa muda , chini kuliko malaika Yesu , ambaye , kwa sababu ya mateso yake na kifo chake , amevikwa taji ya utukufu na heshima . Hivyo sasa kwa neema ya Mungu , Yesu ameonja kifo kwa ajili ya kila mtu .
HEB 2:10     Alignment score: 0.366 → 0.364
For it was proper for God , because everything exists for him and through him , to bring many sons to glory . It was proper for him to make the founder of their salvation complete through his sufferings
.
Ilikuwa sahihi kwamba Mungu , kwa sababu kila kitu kipo kwa ajili yake na kupitia yeye , alipaswa kuwaleta watoto wengi katika utukufu , na kwamba alipaswa kumfanya kiongozi katika wokovu wao kuwa mkamilifu kupitia mateso yake .
HEB 2:11     Alignment score: 0.153 → 0.153
For both the one who sanctifies and those who are sanctified have one source . So he is not ashamed to call them brothers .
Kwa maana wote wawili yule anayeweka wakfu na wale ambao wanawekwa wakfu , wote wanatoka kwenye asili moja , Mungu . Kwa sababu hii yule
anayewaweka wakfu kwa Mungu haoni aibu kuwaita ndugu .
HEB 2:12     Alignment score: 0.502
He says , " I will proclaim your name to my brothers , I will sing about you from inside the assembly . "
Anasema , Nitatangaza jina lako kwa ndugu zangu , nitaimba kuhusu wewe kutoka ndani ya kusanyiko .
HEB 2:13     Alignment score: 0.496 → 0.501
And again , " I will trust in him . " And again , " See , here am I and the children whom God has given me . "
Tena asema , Nitaamini katika yeye . Na tena , Tazama , hapa nipo na watoto ambao Mungu amenipa .
HEB 2:14     Alignment score: 0.321
Therefore , since the children share in flesh and blood , he shared in those things in the same way , so that through death he might destroy the one who has the power of death , that is , the devil .
Kwa hiyo , kwa kuwa watoto wa Mungu wote hushiriki mwili na damu , kadhalika Yesu alishiriki vitu vile vile , ili kwamba kupitia kifo apate kumdhohofisha yule ambaye ana mamlaka juu ya mauti , ambaye
ni Ibilisi .
HEB 2:15     Alignment score: 0.347 → 0.347
This was so that he would free all those who through fear of death lived all their lives subject to slavery .
Hii ilikuwa hivyo ili awaweke huru wale wote ambao kupitia hofu ya kifo waliishi maisha yao yote katika utumwa .
HEB 2:16     Alignment score: 0.333
For surely it is not the angels he helps , but Abraham 's descendants .
Kwa hakika siyo malaika anaowasaidia . Badala yake , anawasaidia wazao wa Abrahamu
.
HEB 2:17     Alignment score: 0.319 → 0.32
So it was necessary for him to become like his brothers in all ways , so that he could be a merciful and faithful high priest in relation to the things of God , and so that he could make atonement for the sins of the people .
Kwa hiyo , ilikuwa lazima yeye awe kama ndugu zake katika njia zote , ili aweze kuwa kuhani mkuu mwenye huruma na mwaminifu kwa vitu vya Mungu , na ili kwamba awe na uwezo wa kutoa msamaha kwa dhambi za watu .
HEB 2:18     Alignment score: 0.316
Because Jesus himself has suffered and was tempted , he is able to help those who are tempted .
Kwa sababu Yesu mwenyewe ameteseka , na kujaribiwa
, ana uwezo wa kuwasaidia wale wanaojaribiwa .
HEB 2     Average alignment score: 0.329 for 18 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of HEB:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13