Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:47
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of HEB:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13 


HEB 12:1     Alignment score: 0.233
Therefore , since we are surrounded by such a large cloud of witnesses , let us lay aside
every weight and easily entangling sin . Let us run with perseverance the race that is placed before us .
Kwa hiyo , kwa kuwa tumezungukwa na wingu kubwa la mashaidi , na tutupe kila kitu kinacho tulemea pamoja na dhambi ambayo inatuzingira kwa urahisi . Tupige mbio kwa saburi katika mashindano yaliyowekwa mbele yetu .


HEB 12:2     Alignment score: 0.382 → 0.387
Let us pay attention to Jesus , the founder and perfecter of the faith . For the joy that was placed before him , he endured the cross , despised its shame , and sat down at the right hand of the throne of God .
Tuyaelekeze macho yetu kwa Yesu , aliye mwanzilishi na mwenye kutimiliza imani yetu , ambaye
kwa ajili ya furaha iliyowekwa mbele yake alistahmili msalaba , akiidharau aibu yake , na akakaa chini mkono wa kulia wa kiti cha enzi cha Mungu .
HEB 12:3     Alignment score: 0.116 → 0.12
So think about him , the one who has endured such opposition from sinners against himself , so that you do not become weary and lose
heart .
Maana mtafakarini yeye aliye stahimili maneno ya chuki kutoka kwa wenye dhambi , dhidi yake mwenyewe ili kwamba msije mkachoka au kuzimia mioyo yenu .
HEB 12:4     Alignment score: 0.282
You have not yet resisted or struggled against sin to the point of blood ;
Hamjataabika au kuteseka mkishindana na dhambi kiasi cha kutoa damu .
HEB 12:5     Alignment score: 0.188 → 0.193
and you have forgotten the encouragement that instructs you as sons : " My son , do not think lightly of the Lord 's discipline , nor grow weary when you are corrected by him .
Tena mmesahau
kule kutiwa moyo ambako kunawaelekeza kama watoto wa kiume : Mwanangu , usiyachukuwe kwa wepesi marudia ya Bwana , wala usikate tamaa unapo rekebishwa na yeye .
HEB 12:6     Alignment score: 0.264
For the Lord disciplines the one he loves , and he punishes every son he receives . "
Kwa kuwa Bwana humrudi yeyote ambaye
anampenda , na humwadhibu kila mwana ambaye humpokea .
HEB 12:7     Alignment score: 0.282
Endure suffering as discipline . God deals with you as with sons . For what son is there whom his father does not discipline ?
Stahimili majaribu kama kurudiwa . Mungu hushughulika nanyi kama anavyoshughulika na watoto , maana ni mtoto yupi ambaye baba yake hawezi kumrudi ?
HEB 12:8     Alignment score: 0.283
But if you are without discipline , which all people share in , then you are illegitimate and not his sons .
Lakini kama hakuna kurudiwa , ambako sisi sote tunashiriki , basi ninyi ni haramu na si watoto wake .
HEB 12:9     Alignment score: 0.244 → 0.256
Furthermore , we had human fathers who disciplined us and we respected them . How much more should we submit to the Father of spirits and live !
Zaidi ya yote , tulikuwa na baba zetu kidunia wa kuturudi , na tuliwaheshimu . Je haitupasi hata zaidi kumtii Baba wa kiroho na kuishi ?
HEB 12:10     Alignment score: 0.252 → 0.252
Our fathers disciplined us for a short time as they thought best . But God disciplines us for our benefit , so that we can share in his holiness .
Kwa hakika
baba zetu walituadhibu kwa miaka michache kama ilivyoonekana sawa kwao , lakini Mungu hutuadhibu kwa faida yetu ili tushiriki utakatifu wake .
HEB 12:11     Alignment score: 0.166
No discipline at the time seems to give
joy , but to give sorrow . But later it produces the peaceful fruit of righteousness for those who have been trained by it .
Hakuna adhabu inayofurahisha kwa wakati huo . Huwa na maumivu . Hata hivyo , baadaye huzaa tunda la amani ya utauwa kwa wale waliofundishwa nayo .
HEB 12:12     Alignment score: 0.271
So strengthen your hands that hang down and your weak knees .
Kwa hiyo inueni mikono yenu iliyolegea na kufanya
magoti yenu yaliyo dhaifu kuwa yenye nguvu tena ;
HEB 12:13     Alignment score: 0.243
Make straight paths for your feet , so that what is lame will not be sprained but rather be healed .
nyosheni mapito ya nyayo zenu , ili kwamba yeyote aliye mlemavu hataongozwa upotevuni lakini apate kuponywa .
HEB 12:14     Alignment score: 0.344
Pursue peace with everyone , and holiness , for without it no one will see the Lord .
Tafuteni
amani na watu wote , na pia utakatifu ambao bila huo hakuna atakayemwona Bwana .
HEB 12:15     Alignment score: 0.312 → 0.311
Be careful so that no one lacks God 's grace , and that no root of bitterness grows up to cause trouble , so that many do not become defiled by it ,
Muwe waangalifu ili kwamba asiwepo atakayetengwa mbali
na neema ya Mungu , na kwamba lisije shina la uchungu litakalochipuka na kusababisha shida na kukengeusha wengi .
HEB 12:16     Alignment score: 0.258 → 0.267
and that there is no one who is sexually
immoral or profane , such as Esau , who for one meal sold his own birthright .
Angalieni kuwa hakuna zinaa au mtu asiye mtauwa kama vile Esau , ambaye kwa sababu ya mlo mmoja aliuza haki yake ya kuzaliwa .
HEB 12:17     Alignment score: 0.371 → 0.38
For you know that afterwards
, when he desired to inherit the blessing , he was rejected , because he found no opportunity for repentance , even though he sought it with tears .
Kwa kuwa mnajua kwamba baadaye , alipotamani kurithi baraka , alikataliwa , kwa sababu hakupata fursa ya kutubu pamoja na baba yake , hata ingawa alitafuta sana kwa machozi .
HEB 12:18     Alignment score: 0.408 → 0.411
For you have not come to a mountain that can be touched , a mountain of burning fire , darkness , gloom , and storm .
Kwa kuwa hamkuja katika mlima ambao
unaweza kuguswa , mlima unaowaka moto , giza , kukatisha tamaa na dhoruba .
HEB 12:19     Alignment score: 0.231 → 0.232
You have not come to a trumpet blast , nor to a voice that speaks words whose hearers begged that not another word be spoken to them .
Hamkuja kwa sauti za tarumbeta , au kwa maneno yatokanayo na sauti ambayo ilisababisha kila wasikiao wasiombe neno lolote kusemwa kwao .
HEB 12:20     Alignment score: 0.387
For they could not endure what was commanded : " If even an animal touches the mountain , it must be stoned . "
Kwa kuwa hawakuweza kuvumilia kile kilichoamuliwa : Ikiwa hata mnyama agusaye mlima , lazima apigwe kwa mawe .
HEB 12:21     Alignment score: 0.272 → 0.278
So fearful was this
sight that Moses said , " I am terrified and am trembling . "
Ya kutisha zaidi aliyoyaona Musa alisema , Nimeogopa sana kiasi cha kutetemeka .
HEB 12:22     Alignment score: 0.467 → 0.47
Rather , you have come to Mount Zion and to the city of the living God , the heavenly Jerusalem , and to tens of thousands
of angels in joyful assembly .
Badala yake , mmekuja mlima Sayuni na katika mji wa Mungu aliye hai , Yerusalemu ya mbinguni , na kwa malaika elfu kumi wanaosherehekea .
HEB 12:23     Alignment score: 0.309
You have come to the congregation of the firstborn , who have been registered in heaven . You have come to God , the Judge of all , and to the spirits of the righteous ones who have been made perfect .
Mmekuja katika kusanyiko la wazaliwa wa kwanza wote waliosajiliwa mbinguni , kwa Mungu hakimu wa wote , na kwa roho za watakatifu ambao wamekamilishwa .
HEB 12:24     Alignment score: 0.543
And you have come to Jesus , the mediator of a new covenant , and to the sprinkled blood that speaks better than Abel 's blood .
Mmekuja kwa Yesu mpatanishi wa agano jipya , na kwa damu iliyonyunyizwa ambayo hunena mema zaidi kuliko damu ya Habili .
HEB 12:25     Alignment score: 0.2 → 0.214
See that you do not refuse the one who is speaking . For if they did not escape when they refused the one who warned them on earth , much less will we escape if we turn away from the one who is warning from heaven .
Angalia kuwa usije ukamkataa mmoja ambaye anenaye . Kwa kuwa kama hawakuepuka walipomkataa mmoja aliye waonya duniani , kwa hakika
hatutaepuka ikiwa tutageuka mbali kutoka kwa yule atuonyaye kutoka mbinguni .
HEB 12:26     Alignment score: 0.406
At one time , his voice shook the earth . But now he has promised and said , " One more time I will shake not only the earth , but also the heavens . "
Kwa wakati huo sauti yake ilitikisa dunia . Lakini sasa ameahidi na kunena , Bado mara nyingine tena sitatikisa dunia pekee , bali mbingu pia .
HEB 12:27     Alignment score: 0.17 → 0.177
These
words , " One more time , " mean the removal of those things that can be shaken , that is , of the things that have been created , so that the things that can not be shaken will remain .
Maneno haya , Mara moja tena , inaonyesha kutoweshwa kwa vitu vile vitetemeshwavyo , hivi ni , vitu vile ambavyo vimeumbwa , ili kwamba vile vitu visivyotetemeshwa vibakie .
HEB 12:28     Alignment score: 0.236
Therefore , receiving a kingdom that can not be shaken , let us be thankful and in this
manner worship God with reverence and awe .
Kwa hiyo , tupokee ufalme ambao hautetemeshwi , tufurahi katika hali ya kumwabudu Mungu kwa kukubali pamoja na kunyenyekea katika kicho ,
HEB 12:29     Alignment score: 0.521
For our God is a consuming fire .
kwa maana Mungu wetu ni moto ulao .
HEB 12     Average alignment score: 0.295 for 29 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of HEB:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13