Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:46
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of HEB:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13 


HEB 6:1     Alignment score: 0.324 → 0.324
So then , let us leave the beginning of the message of Christ and move forward to maturity . Let us not lay again the foundation
of repentance from dead works and of faith in God ,
Kwa hiyo , tukiacha tulichojifunza kwanza kuhusu ujumbe wa Kristo , twapaswa kuwa na juhudi kuelekea kwenye ukomavu , tusiweke tena misingi ya toba kutoka katika kazi zisizo na uhai na imani katika Mungu ,


HEB 6:2     Alignment score: 0.471
nor the foundation
of teaching about baptisms , laying on of hands , the resurrection of the dead , and eternal judgment .
wala misingi ya mafundisho ya ubatizo , na kuwawekea mikono , ufufuo wa wafu , na hukumu ya milele .
HEB 6:3     Alignment score: 0.367
We will also do this if God permits .
Na tutafanya hivi ikiwa Mungu ataruhusu .
HEB 6:4     Alignment score: 0.355
For it is impossible for those who were once enlightened , who tasted the heavenly gift , who were sharers of the Holy Spirit ,
Kwa kuwa haiwezekani kwa wale ambao waliipata nuru awali , ambao walionja kipawa cha mbinguni , na kufanywa kuwa washirika
wa Roho Mtakatifu ,
HEB 6:5     Alignment score: 0.451
and who tasted God 's good word and the powers of the age to come ,
na ambao walionja uzuri
wa neno la Mungu na kwa nguvu za wakati ujao ,
HEB 6:6     Alignment score: 0.331 → 0.336
but who then fell away it is impossible to restore them again to repentance . This is because they crucify the Son of God for themselves again , and publicly shame him .
na kisha wakaanguka - haiwezekani kuwarejesha tena katika toba . Hii ni kwa sababu wamemsulubisha Mwana wa Mungu mara ya pili kwa nafsi zao , wakimfanya kuwa chombo cha dhihaka hadharani .
HEB 6:7     Alignment score: 0.292 → 0.292
For the land that drinks in the rain that often comes on it , and that gives birth to the plants useful to those for whom the land was worked this
is the land that receives a blessing from God .
Kwa kuwa ardhi iliyopokea mvua inyeshayo mara kwa mara juu yake , na ikatoa mazao muhimu kwa hao waliofanya kazi katika ardhi , hupokea baraka kutoka kwa Mungu .
HEB 6:8     Alignment score: 0.279 → 0.295
But if it bears thorns and thistles , it is worthless and is near to a curse . Its end is in burning .
Lakini ikiwa huzaa miiba na magugu , haina tena thamani na ipo katika hatari ya kulaaniwa . Mwisho wake ni kuteketezwa .
HEB 6:9     Alignment score: 0.122 → 0.203
But we are convinced about better things concerning you , beloved ones things that concern salvation even though we speak
like this .
Ijapokuwa tunazungumza hivi , rafiki wapenzi , tunashawishiwa na mambo mazuri yawahusuyo ninyi na mambo yahusuyo wokovu .
HEB 6:10     Alignment score: 0.295 → 0.31
For God is not unjust . He will not forget your work and the love you showed for his name , because you served his holy people , and you are still serving them .
Kwa kuwa Mungu si dhalimu
hata asahau kazi yenu na kwa upendo mliouonesha kwa ajili ya jina lake , katika hili mliwatumikia waamini na bado mngali mnawatumikia .
HEB 6:11     Alignment score: 0.233 → 0.231
We greatly desire that each of you may show the same diligence to the end , in order to make your hope certain .
Na tunatamani sana kwamba kila mmoja wenu aweze kuonesha bidii ile ile mpaka mwisho kwa uhakika
wa ujasiri .
HEB 6:12     Alignment score: 0.395 → 0.413
This
is so that you will not become lazy , but imitators of those who by faith and patience inherit the promises .
Hatutaki muwe wavivu , lakini muwe wafuasi wa wale warithio ahadi kwa sababu ya imani na uvumilivu .
HEB 6:13     Alignment score: 0.298
For when God made his promise to Abraham , he swore by himself , since he could not swear by anyone greater .
Kwa maana Mungu alipompa Abrahamu
ahadi , aliapa kwa nafsi yake , kwa kuwa asingeliapa kwa mwingine yeyote aliye mkubwa kuliko yeye .
HEB 6:14     Alignment score: 0.347 → 0.343
He said , " I will certainly bless you and give
you many descendants . "
Alisema , Hakika nitakubariki , na nitauongeza uzao wako zaidi .
HEB 6:15     Alignment score: 0.266
In this way , Abraham obtained what was promised after he had patiently waited .
Kwa njia hii , Abrahamu
alipokea kile alichoahidiwa baada ya kusubiria kwa uvumilivu .
HEB 6:16     Alignment score: 0.189
For people swear by someone greater than themselves . At the end of each of their disputes , an oath serves as confirmation .
Maana wanadamu huapa kwa yeye aliye mkuu kuliko wao , na kwao ukomo wa mashindano yote ni kiapo kwa kuyathibitisha
.
HEB 6:17     Alignment score: 0.326 → 0.337
When God decided to show more clearly to the heirs of the promise the unchangeable quality of his purpose , he guaranteed it with an oath .
Wakati Mungu alipoamua kuonesha kwa uwazi
zaidi kwa warithi wa ahadi kusudi lake zuri lisilobadilika , alilithibitisha kwa kiapo .
HEB 6:18     Alignment score: 0.255 → 0.274
He did this
so that by two unchangeable things with which it is impossible for God to lie we , who have fled for refuge , will have a strong encouragement to hold firmly to the hope set before us .
Alifanya hivyo ili kwa vitu viwili visivyoweza kubadilika , ambavyo katika hivyo Mungu hawezi kusema uongo , sisi tulioikimbilia hifadhi tupate kutiwa moyo kushikilia kwa nguvu tumaini lililowekwa mbele yetu .
HEB 6:19     Alignment score: 0.229 → 0.232
We have this as a secure and reliable anchor for the soul , a hope that enters into the inner place behind the curtain ,
Tunao ujasiri
huu kama nanga imara na ya kutegemea ya roho zetu , ujasiri ambao unaingia sehemu ya ndani nyuma ya pazia .
HEB 6:20     Alignment score: 0.387 → 0.393
where Jesus , who went before us , has entered into that place on our behalf . He has become a high priest forever after the order of Melchizedek .
Yesu aliingia sehemu ile kama mtangulizi wetu , akisha kufanyika kuhani mkuu hata milele baada ya utaratibu wa Melkizedeki .
HEB 6     Average alignment score: 0.311 for 20 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of HEB:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13