Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:46
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of HEB:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13 


HEB 10:1     Alignment score: 0.399 → 0.408
For the law is only a shadow of the good things to come , not the real
forms of those things themselves . Those who approach God can never be made perfect by the same sacrifices that the priests continually bring year after year .
Kwa vile sheria ni kivuli cha mambo mema yajayo , si yale yaliyo halisi . Sheria kamwe haiwezi kuwakamilisha wale ambao wanaomkaribia Mungu kwa njia ya dhabihu zilezile ambazo makuhani waliendelea kutoa mwaka baada ya mwaka .


HEB 10:2     Alignment score: 0.116 → 0.138
Otherwise , would the sacrifices
not have ceased to be offered ? For the worshipers would have been cleansed one time and would no longer have any consciousness of sin .
Au vinginevyo dhabihu hizo zisingeweza kukoma kutolewa ? Kwa kigezo hicho waabuduo , wakiwa wamesafishwa mara moja , wasingelikuwa na utambuzi zaidi wa dhambi .
HEB 10:3     Alignment score: 0.562
But with those sacrifices
there is a reminder of sins year after year .
Bali katika dhabihu hizo kuna ukumbusho wa dhambi zilizotendwa mwaka baada ya mwaka .
HEB 10:4     Alignment score: 0.519
For it is impossible for the blood of bulls and goats to take away sins .
Kwa kuwa haiwezekani kwa damu ya mafahari na mbuzi kuziondoa dhambi .
HEB 10:5     Alignment score: 0.211 → 0.254
When Christ came into the world , he said , " Sacrifices
and offerings you did not desire , but a body you have prepared for me ;
Wakati Kristo alipokuja duniani , alisema , Hamkutamani matoleo au dhabihu , badala yake , mliandaa mwili kwa ajili yangu .
HEB 10:6     Alignment score: 0.088 → 0.104
with burnt offerings
and sin offerings you did not take pleasure .
Hamkuwa na thamani katika matoleo yote ya kuteketezwa au dhabihu kwa ajili ya dhambi .
HEB 10:7     Alignment score: 0.43 → 0.43
Then I said , ' See , here I am as it is written about me in the scroll to do your will , God . ' "
Kisha nilisema , Ona , hapa ninayafanya mapenzi yako , Mungu , kama ilivyoandikwa kunihusu mimi katika gombo .
HEB 10:8     Alignment score: 0.226 → 0.235
First he said , " It was neither sacrifices
, nor offerings , nor whole burnt offerings , nor sin offerings that you desired . Nor did you take pleasure in them . " These are sacrifices that are offered according to the law .
Alisema kama ilivyo semwa hapo juu : Hamkutamani dhabihu , matoleo , au sadaka ya kuteketezwa kwa ajili ya dhambi , wala hukuona furaha ndani yake dhabihu ambazo zinatolewa kulingana na sheria .
HEB 10:9     Alignment score: 0.237
Then he said , " See , here I am to do your will . " He takes away the first practice in order to establish the second practice .
Kisha alisema , Ona , niko hapa kufanya mapenzi yako . Ameweka pembeni taratibu zilizo za awali ili kuimarisha zile za pili .
HEB 10:10     Alignment score: 0.332 → 0.34
By that will , we have been sanctified through the offering
of the body of Jesus Christ once for all .
Katika taratibu za pili , tumekwisha tengwa kwa Mungu kwa mapenzi yake kupitia kujitoa kwa mwili wa Yesu Kristo mara moja kwa nyakati zote .
HEB 10:11     Alignment score: 0.205 → 0.218
Day after day every priest stands and ministers , offering
the same sacrifices again and again sacrifices that can never take away sins .
Ni kweli , kila kuhani husimama kwa huduma siku kwa siku , akitoa dhabihu ile ile , ambayo , kwa vyovyote , kamwe isingeweza kuziondoa dhambi .
HEB 10:12     Alignment score: 0.472
But when Christ offered for all time one sacrifice for sins , he sat down at the right hand of God .
Lakini baada ya Kristo kutoa dhabihu mara moja kwa dhambi milele yote , aliketi mkono wa kuume wa Mungu ,
HEB 10:13     Alignment score: 0.319
He is waiting until his enemies are made a footstool for his feet .
akisubiri mpaka maadui zake watiwe chini na kufanywa kiti kwa ajili ya miguu yake .
HEB 10:14     Alignment score: 0.242
For by one offering
he has perfected forever those who are being sanctified .
Kwa kuwa kwa njia ya toleo moja amewakamilisha milele wale ambao wametengwa kwa Mungu .
HEB 10:15     Alignment score: 0.456 → 0.462
The Holy Spirit also testifies to us . First he says ,
Na Roho Mtakatifu pia ashuhudia kwetu . Kwa kuwa kwanza alisema ,
HEB 10:16     Alignment score: 0.434 → 0.435
" This is the covenant that I will make with them after those days , says the Lord . I will put my laws in their hearts , and I will write them on their minds . "
Hili ni agano nitakalofanya pamoja nao baada ya siku hizo ; asema Bwana : nitaweka sheria zangu ndani ya mioyo yao , na nitaziandika katika akili zao .
HEB 10:17     Alignment score: 0.146 → 0.193
Then he adds , " Their sins and lawlessness I will remember no longer . "
Kisha alisema , Hawatazikumbuka tena dhambi na matendo yao mafu .
HEB 10:18     Alignment score: 0.46
Now where there is forgiveness for these
, there is no longer any sacrifice for sin .
Sasa mahali palipo na msamaha kwa hawa , hakuna tena dhabihu yoyote kwa ajili ya dhambi .
HEB 10:19     Alignment score: 0.47
Therefore , brothers , we have confidence to enter into the most holy place by the blood of Jesus .
Kwa hiyo , ndugu , tunao ujasiri wa kuingia mahali patakatifu zaidi kwa damu ya Yesu .
HEB 10:20     Alignment score: 0.332 → 0.335
That is the new and living way that he has established for us through the curtain , that is , by means of his flesh .
Hiyo
ni njia ambayo ameifungua kwa ajili yetu kwa njia ya mwili wake , mpya na hai inayopitia kwenye pazia .
HEB 10:21     Alignment score: 0.648
Because we have a great priest over the house of God ,
Na kwa sababu tunaye kuhani mkuu juu ya nyumba ya Mungu ,
HEB 10:22     Alignment score: 0.405 → 0.409
let us approach with true hearts in the full assurance of faith , having our hearts sprinkled clean from an evil conscience and having our bodies washed with pure water .
na tumkaribie na moyo
wa kweli katika utimilifu wa uhakika wa imani tukiwa na mioyo iliyonyunyiziwa safi kutoka uovu wa dhamiri na kuwa na miili yetu iliyooshwa kwa maji safi .
HEB 10:23     Alignment score: 0.169 → 0.173
Let us also hold firmly to the hope we confess , for he who promised is faithful .
Basi na tushikilie kwa uthabiti
katika ungamo la ujasiri wa tumaini letu , bila ya kugeuka , kwa sababu Mungu aliyeahidi ni mwaminifu .
HEB 10:24     Alignment score: 0.224
Let us think carefully
about how to motivate one another to love and good deeds .
Na tuzidi kutafakari namna ya kumtia moyo kila mmoja kupenda na matendo mema .
HEB 10:25     Alignment score: 0.204 → 0.229
Let us not abandon meeting together , as some have done . Instead , encourage one another , and all the more as you see the day coming closer .
Na tusiache kukusanyika pamoja , kama wafanyavyo wengine . Badala yake , kutiana moyo kila mmoja zaidi na zaidi , kama muonavyo siku inakaribia .
HEB 10:26     Alignment score: 0.222 → 0.264
For if we deliberately go on sinning after we have received the knowledge of the truth , a sacrifice for sins no longer remains .
Kama tukifanya makusudi kuendelea kutenda dhambi baada ya kuwa tumepokea elimu ya ukweli
, Dhabihu nyingine ya dhambi haisalii tena .
HEB 10:27     Alignment score: 0.454 → 0.455
Instead , there is only a certain fearful expectation of judgment , and a fury of fire that will consume God 's enemies .
Badala yake , kuna tarajio pekee la hukumu ya kutisha , na ukali wa moto ambao
utawateketeza maadui wa Mungu .
HEB 10:28     Alignment score: 0.529
Anyone who has rejected the law of Moses dies without mercy at the testimony of two or three witnesses .
Yeyote ambaye ameikataa
sheria ya Musa hufa bila rehema mbele ya ushuhuda wa mashahidi wawili au watatu .
HEB 10:29     Alignment score: 0.376
How much worse punishment do you think one deserves who has trampled underfoot the Son of God , who has regarded the blood of the covenant as unholy the blood by which he was sanctified and has insulted the Spirit of grace ?
Kiwango gani zaidi cha adhabu unafikiri
kinamstahili kila mmoja ambaye amemdharau mwana wa Mungu , yeyote aliyeitendea damu ya agano kama kitu kisicho kitakatifu , damu ambayo kwayo aliiweka wakfu kwa Mungu - yeyote ambaye amemtukana Roho wa neema ?
HEB 10:30     Alignment score: 0.344
For we know the one who said , " Vengeance belongs to me ; I will pay back . " And again , " The Lord will judge his people . "
Kwa kuwa tunajua mmoja ambaye aliyesema , Kisasi ni changu , nitalipa . Na tena , Bwana atawahukumu watu wake .
HEB 10:31     Alignment score: 0.431 → 0.431
It is a fearful thing to fall into the hands of the living God !
Ni jambo la kuogofya mtu kuangukia
katika mikono ya Mungu aliye hai !
HEB 10:32     Alignment score: 0.25 → 0.264
But remember the former days , after you were enlightened , how you endured a great struggle in suffering .
Lakini kumbuka siku zilizopita , baada ya kutiwa kwenu nuru , ni jinsi gani mliweza kuvumilia maumivu makali .
HEB 10:33     Alignment score: 0.098 → 0.104
Sometimes you were publicly exposed to insult and persecution , and other times you shared with those who were so treated .
Mlikuwa mmewekwa wazi katika dhihaka ya matukano na mateso , na mlikuwa washiriki
pamoja na wale waliopitia mateso kama hayo .
HEB 10:34     Alignment score: 0.254 → 0.268
For you had compassion on those who were prisoners , and you accepted with joy the seizure of your possessions . You knew
that you yourselves had a better and everlasting possession .
Kwa kuwa mlikuwa na moyo wa huruma kwa hao waliokuwa wafungwa , na mlipokea kwa furaha adhabu ya urithi wenu , mkijua kwamba ninyi wenyewe mlikuwa na urithi bora na wa kudumu milele .
HEB 10:35     Alignment score: 0.184
So do not throw
away your confidence , which has a great reward .
Kwa hiyo msiutupe ujasiri wenu , ulio na zawadi kuu .
HEB 10:36     Alignment score: 0.25 → 0.262
For you need perseverance so that when you have done the will of God , you will receive what he has promised .
Kwa kuwa mnahitaji uvumilivu , ili kwamba mpate kupokea ambacho Mungu amekiahidi , baada ya kuwa mmekwisha yatenda mapenzi yake .
HEB 10:37     Alignment score: 0.196 → 0.196
" For in a very little while , the one who is coming will indeed come and not delay .
Kwa kuwa baada ya kitambo kidogo , mmoja anayekuja , atakuja hakika na hatakawia .
HEB 10:38     Alignment score: 0.387 → 0.39
My righteous one will live by faith . If he shrinks back , my soul will not be pleased with him . "
Mwenye haki wangu ataishi kwa imani . Kama atarudi nyuma , sitapendezwa naye .
HEB 10:39     Alignment score: 0.224
But we are not any of those who turn back to destruction , but we are among those who have faith and preserve their souls .
Lakini sisi si kama wale warudio nyuma kwa kuangamia . Badala yake , sisi ni baadhi ya wale tulio na imani ya kuzilinda roho zetu .
HEB 10     Average alignment score: 0.324 for 39 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of HEB:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13