Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:46
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of HEB:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13 


HEB 4:1     Alignment score: 0.095 → 0.093
Therefore , since the promise of entering his rest is still allowed to stand , let us fear , so that none of you may seem to have fallen short of it .
Kwa hiyo , tunapaswa kuwa makini ili kwamba kati yenu asiwepo hata mmoja atakayeonekana kushindwa kufikia ahadi endelevu ya kuingia katika pumzika
la Mungu .


HEB 4:2     Alignment score: 0.17 → 0.185
For we were told the good news just as they were . But that message did not benefit those who did not unite in faith with those
who obeyed .
Kwani tumekuwa na habari njema kuhusu pumziko la Mungu lililotangazwa kwetu kama Waisrael walivyokuwa nayo , lakini ujumbe huo haukuwasaidia wale ambao waliusikia bila kuunganisha imani kwa hilo .
HEB 4:3     Alignment score: 0.16 → 0.171
For we who have believed enter that rest , just as he said , " As I swore in my wrath , They will never enter my rest . " Even so , his works were finished from the foundation of the world .
Kwa sisi , ambao tumekwisha amini - sisi ndio miongoni tutakaoingia katika lile pumuziko , Kama inavyosema , Kama nilivyoapa kwa hasira yangu , Hawataingia katika pumziko langu . Alisema hili
, ingawa kazi zote alizotengeneza zilikuwa zimekamilika tangu mwanzo wa ulimwengu .
HEB 4:4     Alignment score: 0.357 → 0.373
For he has somewhere spoken about the seventh day : " And God rested on the seventh day from all his works . "
Kwani ameshasema sehemu fulani kuhusu siku ya saba , Mungu alipumzika siku ya saba katika yote aliyoyafanya .
HEB 4:5     Alignment score: 0.242 → 0.254
And again in this
same passage he said , " They will never enter my rest . "
Tena ameshasema , Hawataingia kwenye pumziko langu .
HEB 4:6     Alignment score: 0.237 → 0.244
Therefore , it remains for some to enter that rest , and those who previously had the good news proclaimed to them did not go in because of their disobedience .
Kwa sababu hiyo , tangu pumziko la Mungu bado ni akiba kwa ajili ya baadhi kuingia , na tangu Waisraeli wengi ambao walisikia habari njema kuhusu pumziko lake hawakuingia kwa sababu ya kutotii ,
HEB 4:7     Alignment score: 0.374
So God again appointed a certain day , calling it " Today , " when he spoke through David much later in words already
quoted : " Today if you hear his voice , do not harden your hearts . "
Mungu aliweka tena siku fulani , iitwayo Leo . Yeye aliiongeza siku hii alipozungumza kupitia Daudi , ambaye alisema kwa muda mrefu baada ya yaliyosemwa kwanza , Leo kama mtasikia sauti yake , msifanye mioyo yenu kuwa migumu .
HEB 4:8     Alignment score: 0.379
For if Joshua had given them rest , God would not have spoken about another day .
Kwani kama Yoshua aliwapatia pumziko , Mungu asingelisema juu ya siku nyingine .
HEB 4:9     Alignment score: 0.433
So there remains a Sabbath rest reserved for God 's people .
Kwa hiyo bado kuna Sabato ya pumziko iliyotunzwa kwa ajili ya watu wa Mungu .
HEB 4:10     Alignment score: 0.456
For he who enters into God 's rest has himself also rested from his deeds , just as God did from his .
Kwani anayeingia katika pumziko la Mungu yeye mwenyewe pia amepumzika kutokana na matendo yake , kama Mungu alivyofanya katika yeye .
HEB 4:11     Alignment score: 0.229 → 0.255
Therefore let us be eager to enter that rest , so that no one will fall into the kind of disobedience that they did .
Kwa hiyo tuweni na shauku ya kuingia katika lile pumziko , ili kwamba asiwepo atakayeanguka katika aina ya uasi waliofanya .
HEB 4:12     Alignment score: 0.32 → 0.329
For the word of God is living and active and sharper than any two - edged sword . It pierces even to the dividing of soul and spirit , of joints and marrow , and is able to discern the thoughts and intentions of the heart .
Kwa maana neno la Mungu li hai na lina nguvu na lina ukali kuliko upanga wowote wenye makali kuwili . Na huchoma hata kufikia kugawanya
nafsi na roho , na viungo kutika ubongo . Na lenye kuweza kufahamu fikra za moyo na nia yake .
HEB 4:13     Alignment score: 0.37
No thing that has been created is hidden before God , but everything is bare and open to the eyes of the one to whom we must give
an account .
Hakuna kilichoumbwa kilichojificha katika uso wa Mungu . Badala yake , kila kitu ni dhahiri na wazi kwa macho ya mmoja ambaye ni lazima tutoe hesabu .
HEB 4:14     Alignment score: 0.393 → 0.397
Therefore , since we have a great high priest who has passed through the heavens , Jesus the Son of God , let us firmly hold to our confession .
Baadaye kuwa na kuhani mkuu aliyeingia katika mbingu , Yesu Mwana wa Mungu , kwa uimara tushikilie imani zetu .
HEB 4:15     Alignment score: 0.268
For we do not have a high priest who can not feel sympathy for our weaknesses
. Rather , we have someone who has in all ways been tempted as we are , except that he is without sin .
Kwa kuwa hatuna kuhani mkuu ambaye hawezi kuhisi huruma kwa ajili udhaifu wetu , lakini yeye ambaye kwa njia zote amekuwa akijaribiwa kama sisi , isipokuwa yeye ambaye hakutenda dhambi .
HEB 4:16     Alignment score: 0.414 → 0.413
Let us then go with confidence to the throne of grace , so that we may receive mercy and find grace to help in time of need .
Na tuje kwa ujasiri katika kiti cha enzi cha neema , ili kwamba tupokee rehema na kupata neema ya kutusaidia wakati wa hitaji
.
HEB 4     Average alignment score: 0.301 for 16 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of HEB:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13