Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:46
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of HEB:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13 


HEB 5:1     Alignment score: 0.323
For every high priest , chosen from among people , is appointed to act on the behalf of people in the things concerning God , so that he may offer both gifts and sacrifices
for sins .
Kwani kila kuhani mkuu , aliyechaguliwa kutoka miongoni mwa watu , amechaguliwa kusimama badala yao katika vitu vinavyohusiana na Mungu , ili aweze kutoa kwa pamoja zawadi na dhabihu kwa ajili ya dhambi .


HEB 5:2     Alignment score: 0.193 → 0.193
He can deal gently
with those who are ignorant and who have been deceived , because he himself is subject to weakness .
Anaweza kujishughulisha kwa upole na wajinga na wabishi kwa kuwa yeye mwenyewe pia amezungukwa na udhaifu .
HEB 5:3     Alignment score: 0.253 → 0.254
Because of this , he also is required to offer sacrifices
for his own sins , just as he does for the people 's sins .
Kwa sababu ya hili , ana wajibu wa kutoa sadaka kwa ajili ya dhambi zake kama afanyavyo kwa dhambi za watu .
HEB 5:4     Alignment score: 0.393
No one takes this honor for himself . Rather , he is called by God , just as Aaron was .
Na hakuna mtu achukuaye heshima hii kwa ajili yake mwenyewe , lakini badala yake , lazima aitwe na Mungu , kama alivyokuwa Haruni .
HEB 5:5     Alignment score: 0.361 → 0.364
In the same way , neither did Christ glorify himself by making himself high priest . Instead , the one speaking to him said , " You are my Son ; today I have become your Father . "
Hata Kristo hakujipa heshima mwenyewe kwa kujifanya mwenyewe kuwa kuhani mkuu . Badala yake , Mungu alisema kwake , Wewe ni mwanangu , leo nimekuwa Baba yako .
HEB 5:6     Alignment score: 0.51
It is just as he also says in another place , " You are a priest forever after the manner of Melchizedek . "
Ni kama asemavyo pia sehemu nyingine , Wewe ni kuhani milele baada ya mfumo wa Melkizedeki .
HEB 5:7     Alignment score: 0.254 → 0.275
During the days of his flesh , Christ offered up both prayers and requests with loud cries and tears to God , the one able to save him from death , and he was heard because of his godly life
.
Wakati wa kipindi chake katika mwili , aliomba na kuombea , alimwomba Mungu kwa machozi , kwa yeye awezaye kumwokoa kutoka kwenye kifo . Kwa sababu ya unyenyekevu wake kwa Mungu , alisikiwa .
HEB 5:8     Alignment score: 0.263
Even though he was a Son , he learned obedience from what he suffered .
Ijapokuwa
alikua mwana , alijifunza kutii kwa mambo yaliyomtesa .
HEB 5:9     Alignment score: 0.284 → 0.286
He was made perfect and became , for everyone who obeys him , the cause of eternal salvation .
Alikamilishwa na kwa njia hii alifanyika kwa kila mtu amwaminiye kuwa sababu ya wokovu wa milele ,
HEB 5:10     Alignment score: 0.536 → 0.537
He was designated by God as high priest after the manner of Melchizedek .
kwa kutengwa na Mungu kama kuhani Mkuu baada ya zamu ya Melkizedeki .
HEB 5:11     Alignment score: 0.254 → 0.273
We have much to say about Jesus , but it is hard to explain since you have become dull in hearing .
Tuna mengi ya kusema kuhusu Yesu , lakini ni vigumu kuwaelezea
kwa kuwa ninyi ni wavivu wa kusikia .
HEB 5:12     Alignment score: 0.293 → 0.3
For though by this time you should be teachers , you still have need for someone to teach you the elementary principles of God 's messages . You need milk , not solid food !
Ijapokuwa
kwa kipindi hiki mlipaswa kuwa walimu , bado kuna umuhimu wa mtu kuwafundisha mafundisho ya awali ya kanuni za neno la Mungu . Mnahitaji maziwa na si chakula kigumu .
HEB 5:13     Alignment score: 0.418
For anyone who only takes milk is inexperienced with the message of righteousness , because he is still a little child .
Kwa kuwa yeyote anywaye maziwa tu hana uzoefu katika ujumbe wa haki , kwa kuwa bado ni mtoto .
HEB 5:14     Alignment score: 0.256 → 0.262
But solid food is for the mature . These
are those who , because of their maturity , have their understanding trained for distinguishing good from evil .
Kwa upande mwingine , chakula kigumu ni cha watu wazima , wale ambao kwa sababu ya uzoefu wao katika kutofautisha haki na ubaya wamefundishwa kutambua jema na ovu .
HEB 5     Average alignment score: 0.327 for 14 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of HEB:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13