Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:44
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of HOS:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14 


HOS 2:1     Alignment score: 0.374 → 0.383
Yet the number of the people of Israel will be like the sand of the seashore , which can not be measured or counted . It will be that where it was said to them , ' You are not my people , ' it will be said to them , ' You are people of the living God . '
Hata hivyo idadi ya watu wa Israeli itakuwa kama mchanga wa bahari , ambayo haiwezi kupimwa au kuhesabiwa . Itakuwa pale ambapo waliambiwa , Ninyi si watu wangu , wataambiwa , Ninyi ni watu wa Mungu aliye hai .


HOS 2:2     Alignment score: 0.463
The people of Judah and the people of Israel will be gathered together . They will appoint one leader for themselves , and they will go up from the land , for great will be the day of Jezreel .
Watu wa Yuda na watu wa Israeli watakusanyika pamoja . Wao wataweka kiongozi mmoja wao wenyewe , na watatoka kutoka nchi , kwa maana itakuwa siku ya Yezreeli kuu .
HOS 2:3     Alignment score: 0.378 → 0.383
Say to your brothers , ' My people ! ' and to your sisters , ' You have been shown compassion . ' "
Waambie ndugu zenu wanaume , Watu wangu ! na kwa dada zako , umeonyeshwa huruma .
HOS 2:4     Alignment score: 0.398
Bring a lawsuit against your mother , bring a lawsuit , for she is not my wife , and neither am I her husband . Let her put away her prostitution from before herself , and her acts of adultery from between her breasts .
Leteni mashtaka dhidi ya mama yenu , leteni mashtaka , kwa kuwa yeye si mke wangu , wala mimi si mumewe . Na auondoe uzinzi wake mbele yake , na matendo yake ya uzinzi kati ya matiti yake .
HOS 2:5     Alignment score: 0.32
If not , I will strip her naked and show her nakedness as on the day that she was born . I will make her like the wilderness , like a parched land , and I will make her die from thirst .
Ikiwa sio , nitamvua nguo na kumuonyesha uchi wake kama siku aliyozaliwa
. Nami nitamfanya kama jangwa , kama nchi iliyoharibika , nami nitamfanya afe kutokana na kiu .
HOS 2:6     Alignment score: 0.446
I will not have any mercy on her children , for they are children of prostitution .
Sitakuwa na rehema kwa watoto wake , kwa maana wao ni watoto wa ukahaba .
HOS 2:7     Alignment score: 0.445 → 0.447
For their mother has been a prostitute , and she who conceived them has acted shamefully
. She said , " I will go after my lovers , for they give me my bread and water , my wool and flax , my oil and drink . "
Maana mama yao amekuwa kahaba , na yeye aliye mimba amefanya mambo ya aibu . Alisema , Nitawafuata wapenzi wangu , kwa maana wananipa mkate wangu na maji , sufu yangu na kitani , mafuta yangu na kinywaji .
HOS 2:8     Alignment score: 0.26 → 0.275
Therefore I will build up a hedge to block her way with thorns . I will build up a wall against her so she can not find her way .
Kwa hiyo nitajenga ua wa kuzuia njia yake kwa miiba . Nitajenga ukuta dhidi yake ili asiweze kupata njia . Yeye atawafuatilia wapenzi wake , lakini yeye hatawafikia .
HOS 2:10     Alignment score: 0.422 → 0.423
For she had not known that it was I who gave
her the grain , the new wine and the oil , and who lavished on her silver and gold , which they then used for Baal .
Kwa maana hakujua kwamba mimi ndimi niliyempa nafaka , divai mpya na mafuta , na ambaye nilimwongezea fedha na dhahabu , ambazo walizitumia kwa Baali .
HOS 2:11     Alignment score: 0.402 → 0.412
So I will take back her grain at harvest time , and my new wine in its season . I will take back my wool and flax that were used to cover her nakedness .
Kwa hiyo nitachukua nafaka yake wakati wa mavuno , na divai yangu mpya katika msimu wake . Nitachukua sufu yangu na kitambaa kilichotumiwa kufunika uchi wake .
HOS 2:12     Alignment score: 0.276 → 0.276
Then I will strip her naked in the sight of her lovers , and no one will rescue her out of my hand .
Ndipo nitamvua nguo machoni pa wapenzi wake , wala hakuna mtu atakayemwokoa mkononi mwangu .
HOS 2:13     Alignment score: 0.263
I will stop all her rejoicing her feasts , her new moon celebrations , her Sabbaths , and all her appointed festivals
.
Nitasitisha furaha yake yote - sikukuu zake , mwandamo wa mwezi , sabato zake na sikukuu zake zote zilizowekwa .
HOS 2:14     Alignment score: 0.412 → 0.42
" I will destroy her vines and her fig trees , of which she has said , ' These
are the wages that my lovers gave me . ' I will make them a forest , and the animals of the field will eat them .
Nitaharibu mizabibu yake na mtini wake , ambayo alisema , Hii ni mishahara ambayo wapenzi wangu walinipa . Nitawafanya kuwa msitu , na wanyama wa shambani watakula .
HOS 2:15     Alignment score: 0.208 → 0.229
I will punish her for the feast days of the Baals , when she burned incense to them , when she adorned herself with her rings and jewelry , and she went after her lovers and forgot me this
is Yahweh 's declaration . "
Nami nitamuadhibu kwa ajili ya Sikukuu ya Baali , alipowafukizia uvumba , akijipamba kwa pete zake na mavazi yake , naye akafuata wapenzi wake , akanisahau . Hili ndilo tamko la Bwana .
HOS 2:16     Alignment score: 0.228 → 0.226
So I am going to allure her . I will bring her into the wilderness and speak
tenderly to her .
Kwa hiyo nitaenda kumshawishi . Nitamleta jangwani na kumwambia kwa huruma .
HOS 2:17     Alignment score: 0.481 → 0.511
I will give
her back her vineyards , and the Valley of Achor as a door of hope . She will answer me there as she did in the days of her youth , as in the days that she came out of the land of Egypt .
Nami nitamrudishia mizabibu yake , na bonde la Akori kama mlango wa tumaini . Yeye atanijibu huko kama alivyofanya katika siku za ujana wake , kama katika siku ambazo alitoka katika nchi ya Misri .
HOS 2:18     Alignment score: 0.32 → 0.327
" It will be in that day this is Yahweh 's declaration that you will call me , ' My husband , ' and you will no longer call me , ' My Baal . '
Itakuwa katika siku hiyo
- hili ndilo tamko la Bwana - kwamba utaniita , Mume wangu , na hutaniita tena mimi , Baali wangu .
HOS 2:19     Alignment score: 0.401 → 0.401
For I will remove the names of the Baals from her mouth ; their names will not be remembered anymore .
Kwa maana nitaondoa
majina ya Baali kinywani mwake ; majina yao hayatakumbukwa tena .
HOS 2:20     Alignment score: 0.423
On that day I will make a covenant for them with the beasts in the fields , with the birds in the sky , and with the crawling things on the ground . I will drive away the bow , the sword , and the battle from the land , and I will make you lie down in safety .
Siku hiyo
nitafanya agano pamoja na wanyama katika mashamba kwa ajili yao , na ndege wa angani , na vitu vya kutambaa chini . Nitaondoa upinde , upanga , na vita katika nchi , nami nitakufanya ulale kwa usalama .
HOS 2:21     Alignment score: 0.434
I will promise to be your husband forever . I will promise to be your husband in righteousness , justice , covenant faithfulness , and mercy .
Nitakuwa mume wako milele . Nitakuwa mume wako katika haki , hukumu , uaminifu wa agano , na huruma .
HOS 2:22     Alignment score: 0.164
I will pledge myself to you in faithfulness , and you will know Yahweh .
Nitakuwa mume wako kwa uaminifu . Nawe utanijua mimi , Bwana .
HOS 2:23     Alignment score: 0.315 → 0.322
On that day , I will answer this is Yahweh 's declaration I will answer the heavens , and they will answer the earth .
Na siku ile , nitajibu - hili ndilo tamko la Bwana . Nitazijibu mbingu , nao watajibu dunia .
HOS 2:24     Alignment score: 0.595
The earth will answer the grain , the new wine and the oil , and they will answer Jezreel .
Dunia itashughulikia nafaka , divai mpya na mafuta , na watajibu Yezreeli .
HOS 2:25     Alignment score: 0.408 → 0.399
I will plant her for myself in the land , and I will have mercy on Lo - Ruhamah . I will say to Lo - Ammi , ' You are my people , ' and they will say to me , ' You are my God . ' "
Nitampanda mwenyewe katika nchi kwa ajili yangu , na nitamhurumia Lo Ruhama . Nami nitamwambia Lo Ami , Wewe ni Ami Ata , nao wataniambia , Wewe ni Mungu wangu .
HOS 2     Average alignment score: 0.38 for 24 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of HOS:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14