Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:44
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of MAT:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28 


MAT 2:1     Alignment score: 0.521 → 0.521
After Jesus was born in Bethlehem of Judea in the days of Herod the king , learned men from the east arrived in Jerusalem saying ,
Baada ya Yesu kuzaliwa katika Bethelehem
ya Uyahudi katika siku za mfalme Herode , wataalamu wa nyota kutoka mashariki ya mbali walifika Yerusalemu wakisema ,


MAT 2:2     Alignment score: 0.441
" Where is he who was born King of the Jews ? We saw his star in the east and have come to worship him . "
Yuko wapi yeye ambaye aliyezaliwa Mfalme wa Wayahudi ? Tuliiona nyota yake mashariki nasi tumekuja kumwabudu .
MAT 2:3     Alignment score: 0.543
When Herod the king heard this
, he was troubled , and all Jerusalem with him .
Pindi Mfalme herode aliposikia haya alifadhaika , na Yerusalemu yote pamoja naye .
MAT 2:4     Alignment score: 0.59
Herod brought together all the chief priests and scribes of the people , and he asked them , " Where is the Christ to be born ? "
Herode akawakusanya wakuu wa makuhani wote na waandishi wa watu , naye akawauliza , Kristo atazaliwa wapi ?
MAT 2:5     Alignment score: 0.47 → 0.471
They said to him , " In Bethlehem of Judea , for this is what was written by the prophet :
Wakamwabia , Katika Bethelehemu
ya Uyahudi , kwa kuwa hivi ndivyo ilivyoandikwa na nabii ,
MAT 2:6     Alignment score: 0.406 → 0.427
' But you , Bethlehem , in the land of Judah , are not the least among the rulers of Judah , for from you will come one who rules , who will shepherd my people Israel . ' "
Nawe Bethelehemu
, katika nchi ya Yuda , si mdogo miongoni mwa viongozi wa Yuda , kwa kuwa kutoka kwako atakuja mtawala atakayewachunga watu wangu Israeli .
MAT 2:7     Alignment score: 0.275
Then Herod secretly called the learned men to ask them exactly what time the star had appeared .
Hivyo Herode aliwaita wale watalaamu wa nyota kwa siri na kuwauliza ni wakati gani hasa nyota ilikuwa imeonekana .
MAT 2:8     Alignment score: 0.28 → 0.305
He sent them to Bethlehem , saying , " Go and search carefully for the young child . When you have found him , bring me a report so that I also may come and worship him . "
Akawatuma Bethelehem
, akisema , Nendeni kwa uangalifu mkamtafute mtoto aliyezaliwa . Wakati mtakapomwona , nileteeni habari ili kwamba mimi pia niweze kuja na kumwabudu .
MAT 2:9     Alignment score: 0.269 → 0.287
After they had heard the king , they went on their way , and the star that they had seen in the east went before them until it came
and stood still over where the young child was .
Baada ya kuwa wamemsikia mfalme , waliendelea na safari yao , na nyota ile waliyokuwa wameiona mashariki iliwatangulia hadi iliposimama juu ya mahali mtoto aliyezaliwa alipokuwa .
MAT 2:10     Alignment score: 0.335
When they saw the star , they rejoiced with very great joy .
Wakati walipoiona nyota , walifurahi kwa furaha kuu mno .
MAT 2:11     Alignment score: 0.388 → 0.4
They went into the house and saw the young child with Mary his mother . They fell
down and worshiped him . They opened their treasures and offered him gifts of gold , frankincense , and myrrh .
Waliingia nyumbani na kumuona mtoto aliyezaliwa na Mariamu mama yake . Walimsujudia na kumwabudu . Walifungua hazina zao na kumtolea zawadi za dhahabu , uvumba , na manemane .
MAT 2:12     Alignment score: 0.396
God warned them in a dream not to return to Herod , so they departed to their own country by another way .
Mungu aliwaonya katika ndoto wasirudi kwa Herode , hivyo , waliondoka kurudi katika nchi yao kwa njia nyingine .
MAT 2:13     Alignment score: 0.428 → 0.466
After they had departed , an angel of the Lord appeared to Joseph in a dream and said , " Get up , take the young child and his mother , and flee to Egypt . Remain there until I tell you , for Herod will seek the young child to destroy him . "
Baada ya kuwa wameondoka , malaika wa Bwana alimtokea Yusufu katika ndoto na kusema
, Inuka , mchukue mtoto na mama yake na mkimbilie Misri . Bakini huko mpaka nitakapowaambia , kwa kuwa Herode atamtafuta mtoto ili amwangamize .
MAT 2:14     Alignment score: 0.467
That night Joseph rose and took the young child and his mother and departed into Egypt .
Usiku huo Yusufu aliamka na kumchukua mtoto na mama yake na kukimbilia Misri .
MAT 2:15     Alignment score: 0.387 → 0.391
He remained there until the death of Herod . This fulfilled what had been spoken by the Lord through the prophet , saying , " Out of Egypt I have called my Son . "
Aliishi huko hadi Herode alipo kufa
. Hii ilitimiza kile Bwana alichokuwa amenena kupitia nabii , Kutoka Misri nimemwita mwanangu .
MAT 2:16     Alignment score: 0.328
Then Herod , when he saw that he had been mocked by the learned men , was very angry . He sent and killed all the male children that were in Bethlehem and in all that region who were two years old and under , according to the time that he had determined exactly from the learned men .
Kisha Herode , alipoona kuwa amedhihakiwa na watalaamu wa nyota , alikasirika sana . Aliagiza kuuawa
kwa watoto wote wa kiume waliokuwa Bethelehemu na wote katika eneo lile ambao walikuwa na umri wa miaka miwili na chini yake kulingana na wakati aliokuwa amekwisha thibitisha kabisa kutoka kwa wale watalaamu wa nyota .
MAT 2:17     Alignment score: 0.27 → 0.301
Then was fulfilled what had been spoken through Jeremiah the prophet , saying ,
Ndipo lilipotimizwa lile neno lililonenwa kwa kinywa cha nabii Yeremia ,
MAT 2:18     Alignment score: 0.477
" A voice was heard in Ramah , weeping and great mourning , Rachel weeping for her children , and she refused to be comforted , because they were no more . "
Sauti ilisikika Ramah
, kilio na maombolezo makubwa , Raheli akiwalilia watoto wake , na alikataa kufarijiwa , kwa sababu hawapo tena .
MAT 2:19     Alignment score: 0.611 → 0.607
When Herod died
, behold , an angel of the Lord appeared in a dream to Joseph in Egypt and said ,
Herode alipo kufa , tazama malaika wa Bwana alimtokea Yusufu katika ndoto huko Misri na kusema ,
MAT 2:20     Alignment score: 0.444 → 0.454
" Get up and take the child and his mother and go to the land of Israel , for those who sought the child 's life are dead . "
Inuka mchukue mtoto na mama yake , na mwende katika nchi ya Israeli kwa maana waliokuwa wakitafuta uhai wa mtoto wamekufa .
MAT 2:21     Alignment score: 0.637
Joseph rose , took the child and his mother , and came into the land of Israel .
Yusufu aliinuka , akamchukua mtoto pamoja na mama yake , na wakaja katika nchi ya Israeli .
MAT 2:22     Alignment score: 0.525
But when he heard that Archelaus was reigning over Judea in the place of his father Herod , he was afraid to go there . After God warned him in a dream , he left for the region of Galilee
Lakini aliposikia kuwa Arikelau alikuwa anatawala Yuda mahali pa baba yake Herode , aliogopa kwenda huko . Baada ya Mungu kumuonya katika ndoto , aliondoka kwenda mkoa wa Galilaya
MAT 2:23     Alignment score: 0.432
and went and lived in a city called Nazareth . This fulfilled what had been spoken through the prophets , that he would be called a Nazarene .
na alienda kuishi katika mji uitwao Nazareti . Hili lilitimiza kile kilichokuwa kimekwisha kunenwa kwa njia ya manabii , kwamba ataitwa Mnazareti .
MAT 2     Average alignment score: 0.428 for 23 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of MAT:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28