Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:44
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of MAT:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28 


MAT 14:1     Alignment score: 0.467 → 0.546
About that time , Herod the tetrarch heard the news about Jesus .
Kwa wakati huo , Herode alisikia habari juu ya Yesu .


MAT 14:2     Alignment score: 0.482
He said to his servants , " This is John the Baptist ; he has risen from the dead . Therefore these
powers are at work in him . "
Akawaambia watumishi wake , Huyu ni Yohana Mbatizaji amefufuka kutoka katika wafu . Kwa hiyo nguvu hizi zipo juu yake .
MAT 14:3     Alignment score: 0.567 → 0.572
For Herod had arrested John , bound him , and put him in prison because of Herodias , his brother Philip 's wife .
Kwa kuwa Herode alikuwa amemkamata Yohana akamfunga na kumtupa gerezani kwa sababu ya Herodia , mke wa Filipo kaka yake .
MAT 14:4     Alignment score: 0.49 → 0.49
For John had said to him , " It is not lawful for you to have her as your wife . "
Kwa kuwa Yohana alimwambia , Si halali kumchukua yeye kuwa mke wake .
MAT 14:5     Alignment score: 0.428 → 0.448
Herod would have killed him , but he feared the people , because they regarded him as a prophet .
Herode angemwua lakini aliwaogopa watu kwa sababu walimwona Yohana kuwa nabii .
MAT 14:6     Alignment score: 0.551
But when Herod 's birthday came
, the daughter of Herodias danced in the midst and pleased Herod .
Lakini wakati siku ya kuzaliwa Herode ilipofika binti wa Herodia alicheza katikati ya watu na kumpendeza Herode .
MAT 14:7     Alignment score: 0.201 → 0.207
In response , he promised with an oath to give
her whatever she should ask .
Katika kujibu aliahidi kwa kiapo kwamba atampa chochote atakachoomba .
MAT 14:8     Alignment score: 0.508
After being instructed by her mother , she said , " Give me here , on a platter , the head of John the Baptist . "
Baada ya kushauriwa na mama yake , alisema , Nipe mimi hapa katika kombe kichwa cha Yohana Mbatizaji .
MAT 14:9     Alignment score: 0.346 → 0.356
The king was grieved by her request , but because of his oath and because of all those at dinner with him , he ordered that it should be done .
Mfalme alikuwa na sikitiko kwa maombi ya binti , lakini kwa ajili ya kiapo chake , kwa sababu ya wote waliokuwa chakulani pamoja naye aliamuru kwamba inapaswa ifanyike .
MAT 14:10     Alignment score: 0.393 → 0.397
He sent and beheaded John in the prison .
Alituma Yohana aletwe kutoka gerezani
MAT 14:11     Alignment score: 0.304 → 0.329
Then his head was brought on a platter and given to the girl , and she took it to her mother .
ili akatwe kichwa chake na kikaletwa juu ya sinia na akapewa binti na akakipeleka kwa mama yake .
MAT 14:12     Alignment score: 0.348 → 0.35
Then his disciples came , took up the corpse , and buried it . After this , they went and told Jesus .
Kisha wanafunzi wake wakaja kuuchukua
ule mwili na kuuzika , baada ya hili walienda kumwambia Yesu .
MAT 14:13     Alignment score: 0.242 → 0.254
Now when Jesus heard this
, he withdrew from there in a boat to a deserted place . When the crowds heard of it , they followed him on foot from the cities .
Naye Yesu aliposika haya , akijatenga kutoka mahali pale akapanda ndani ya mashuka akaenda sehemu iliyotengwa . Wakati umati ulipo fahamu alikokuwa , walimfuata kwa miguu kutoka mijini .
MAT 14:14     Alignment score: 0.366 → 0.373
Then Jesus came before them and saw the large crowd . He had compassion on them and healed their sick .
Kisha Yesu alikuja mbele yao akauona umati mkubwa
. Akawaonea huruma na kuponya magonjwa yao .
MAT 14:15     Alignment score: 0.272 → 0.272
When the evening had come , the disciples came to him and said , " This is a deserted place , and the hour has already
passed . Dismiss the crowds , so that they can go into the villages and buy food for themselves . "
Jioni ilifika , wanafunzi wakaja kwake na kusema , Hii ni sehemu ya jangwa , na siku tayari imepita . Watawanyishe makutano ili waende vijijini wakanunue chakula kwa ajili yao .
MAT 14:16     Alignment score: 0.325
But Jesus said to them , " They have no need to go away . You give
them something to eat . "
Lakini Yesu akawaambia , Hawana haja ya kwenda zao . Wapeni ninyi chakula
MAT 14:17     Alignment score: 0.434 → 0.527
They said to him , " We have here only five loaves of bread and two fish . "
Wakamwambia , Hapa tunayo mikate mitano na samaki wawili tu .
MAT 14:18     Alignment score: 0.435
Jesus said , " Bring them to me . "
Yesu akasema , Ileteni
kwangu .
MAT 14:19     Alignment score: 0.429 → 0.488
Then Jesus ordered the crowd to sit down on the grass . He took the five loaves and the two fish . Looking up to heaven , he blessed and broke the loaves and gave
them to the disciples , and the disciples gave them to the crowd .
Kisha Yesu akauamuru umati kukaa chini kwenye nyasi . Akachukuwa mikate mitano na samaki wawili . Akatazama juu mbinguni , akabariki na kumega mikate akawapa wanafunzi . Wanafunzi wakaupatia umati .
MAT 14:20     Alignment score: 0.336 → 0.348
They all ate and were filled . Then they took up what remained of the broken pieces of food twelve baskets full .
Wakala wote na kushiba . Kisha wakavikusanya vipande vyote
vya chakula na kujaza vikapu kumi na mbili .
MAT 14:21     Alignment score: 0.428
Those who ate were about five thousand men , besides women and children .
Wale waliokula walikadiriwa kuwa wanaume elfu tano bila ya kusehabu wanawake na watoto .
MAT 14:22     Alignment score: 0.235 → 0.248
Immediately he made the disciples get into the boat and go before him to the other side , while he sent away the crowds .
Mara moja aliwaamuru wanafunzi waingie ndani ya mashua , wakati huo yeye akawaaga umati waende zao .
MAT 14:23     Alignment score: 0.273
After he had sent away the crowds , he went up on the mountain by himself to pray . When evening came
, he was there alone .
Baada ya kuwaaga umati kwenda zao , akapanda juu mlimani kuomba pekee yake . Wakati ilipokuwa jioni alikuwa huko pekee yake .
MAT 14:24     Alignment score: 0.334
But the boat was now a long way from land , being tossed about by the waves , for the wind was blowing against them .
Lakini sasa mashua ilipokuwa katikati ya bahari ukiyumbayumba kwa sababu ya mawimbi , kwani upepo ulikuwa wa mbisho .
MAT 14:25     Alignment score: 0.427
In the fourth watch of the night Jesus approached them , walking on the sea .
Katika usiku wa zamu ya nne Yesu aliwakaribia , akitembea juu ya maji .
MAT 14:26     Alignment score: 0.299
When the disciples saw him walking on the sea , they were troubled and said , " It is a ghost , " and they cried out in fear .
Wakati wanafunzi wake walipomwona akiitembea
juu ya bahari , walihofu na kusema , Ni mzuka , na kupaza sauti katika hali ya uoga .
MAT 14:27     Alignment score: 0.221 → 0.221
But Jesus spoke to them right away and said , " Be brave ! It is I ! Do not be afraid . "
Yesu akawaambia mara moja
, akisema , Jipeni moyo ! Ni mimi ! Msiogope .
MAT 14:28     Alignment score: 0.413 → 0.43
Peter answered him and said , " Lord , if it is you , command me to come to you on the water . "
Petro alimjibu kwa kusema
, Bwana , kama ni wewe , niamuru nije kwako juu ya maji .
MAT 14:29     Alignment score: 0.575
Jesus said , " Come . " So Peter got out from the boat and walked on the water to go to Jesus .
Yesu akasema , Njoo . Hivyo Petro akatoka
ndani ya mashua na akatembea juu ya maji kwenda kwa Yesu .
MAT 14:30     Alignment score: 0.327
But when Peter saw the strong wind , he became afraid . As he began to sink
, he cried out and said , " Lord , save me ! "
Lakini Petro alipoona mawimbi , aliogopa , na kuanza kuzama , chini , akaita sauti na kusema , Bwana , niokoe !
MAT 14:31     Alignment score: 0.398 → 0.405
Jesus immediately stretched out his hand , took hold of Peter , and said to him , " You of little faith , why did you doubt ? "
Haraka Yesu akanyoosha
mkono wake akamnyanyua Petro , na kumwambia , Wewe mwenye imani ndogo , kwa nini ulikuwa na mashaka ?
MAT 14:32     Alignment score: 0.538
Then when Jesus and Peter went into the boat , the wind ceased blowing .
Ndipo Yesu na Petro walipoingia katika mashua , upepo ulitulia kuvuma
.
MAT 14:33     Alignment score: 0.548 → 0.572
Then the disciples in the boat worshiped Jesus and said , " Truly you are the Son of God . "
Wanafunzi mashuani wakamwabudu Yesu na kusema
, Kweli wewe ni Mwana wa Mungu .
MAT 14:34     Alignment score: 0.409
When they had crossed over , they came
to land at Gennesaret .
Na walipokwisha kuvuka , walifika katika nchi ya Genesareti .
MAT 14:35     Alignment score: 0.281
When the men in that place recognized Jesus , they sent messages everywhere into the surrounding area , and they brought to him everyone who was sick .
Na watu katika eneo lile walipomtambua Yesu , walituma ujumbe kila sehemu za kando , na kuleta kila aliyekuwa mgonjwa .
MAT 14:36     Alignment score: 0.286
They begged him that they might just touch the edge of his garment , and as many as touched it were healed .
Walimsihi kwamba waweze kugusa pindo
la vazi lake , na wengi walioligusa waliponywa .
MAT 14     Average alignment score: 0.39 for 36 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of MAT:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28