Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:44
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of MAT:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28 


MAT 6:2     Alignment score: 0.345 → 0.348
So when you give
alms , do not sound a trumpet before yourself as the hypocrites do in the synagogues and in the streets , so that they may be glorified by people . Truly I say to you , they have received their reward in full .
Hivyo basi unapotoa usipige tarumbeta na kujisifu mwenyewe kama wanafiki wanavyofanya katika masinagogi na katika mitaa , ili kwamba watu wawasifu . Kweli nawaambia , wamekwisha kupokea thawabu yao .


MAT 6:3     Alignment score: 0.34 → 0.432
But when you give
alms , do not let your left hand know what your right hand is doing
Lakini wewe unapotoa , mkono wako wa kushoto usijue kinachofanywa na mkono wa kulia ,
MAT 6:4     Alignment score: 0.326
so that your alms may be given in secret . Then your Father who sees in secret will reward you .
ili kwamba zawadi yako itolewe kwa siri . Ndipo Baba yako aonaye sirini atakupatia thawabu yako .
MAT 6:5     Alignment score: 0.354 → 0.361
" When you pray , do not be like the hypocrites , for they love to stand and pray in the synagogues and on the street corners so that they may be seen by people . Truly I say to you , they have received their reward .
Na unapokuwa ukiomba
, usiwe kama wanafiki , kwa kuwa wanapenda kusimama na kuomba kwenye masinagogi na kwenye kona za mitaani , ili kwamba watu wawatazame . Kweli nawaambia , wamekwishapokea thawabu yao .
MAT 6:6     Alignment score: 0.397 → 0.404
But you , when you pray , enter your inner chamber . Shut the door and pray to your Father , who is in secret . Then your Father who sees in secret will reward you .
Lakini wewe , unapo omba , ingia chumbani . Funga mlango , na uombe
kwa Baba yako aliye sirini . Ndipo Baba yako aonaye sirini atakupatia thawabu yako .
MAT 6:7     Alignment score: 0.224 → 0.246
When you pray , do not make useless repetitions as the pagans do , for they think that they will be heard because of their many words .
Na unapokuwa ukiomba
, usirudie rudie maneno yasiyo na maana kama mataifa wanavyofanya , kwa kuwa wanafikiri kwamba watasikiwa kwa sababu ya maneno mengi wanayosema .
MAT 6:8     Alignment score: 0.304
Therefore , do not be like them , for your Father knows what things you need before you ask him .
Kwa hiyo , usiwe kama wao , kwa kuwa Baba yako anatambua mahitaji yako hata kabla hujaomba kwake .
MAT 6:9     Alignment score: 0.338 → 0.351
Therefore pray like this : ' Our Father in heaven , may your name be honored as holy .
Hivyo basi omba hivi : Baba yetu uliye
mbinguni , ulitukuze jina lako .
MAT 6:10     Alignment score: 0.425 → 0.426
May your kingdom come . May your will be done on earth as it is in heaven .
Ufalme wako uje , mapenzi yako yafanyike hapa duniani kama huko mbinguni .
MAT 6:11     Alignment score: 0.51
Give
us today our daily bread .
Utupatiye leo mkate wetu wa kila siku .
MAT 6:12     Alignment score: 0.286
Forgive us our debts , as we also have forgiven our debtors .
Utusamehe
deni zetu , kama nasi tunavyowasamehe wadeni wetu .
MAT 6:13     Alignment score: 0.285
Do not bring us into temptation , but deliver us from the evil one . '
Na usitulete katika majaribu , lakini utuepushe kutoka kwa yule mwovu .
MAT 6:14     Alignment score: 0.423
For if you forgive people their trespasses , your heavenly Father will also forgive you .
Ikiwa mtawasemehe watu makosa yao , Baba yako aliye mbinguni pia atawasamehe ninyi .
MAT 6:15     Alignment score: 0.454
But if you do not forgive their trespasses , neither will your Father forgive your trespasses .
Lakini ikiwa hamtawasamehe makosa yao , wala Baba yenu hatawasamehe makosa yenu .
MAT 6:16     Alignment score: 0.248 → 0.249
" When you fast , do not have a sad face as the hypocrites do , for they disfigure their faces so that they may appear to people to be fasting . Truly I say to you , they have received their reward in full .
Zaidi ya yote , unapokuwa umefunga , usioneshe sura ya huzuni kama wanafiki wanavyofanya , kwa kuwa wanakunja sura zao ili kwamba watu wawatambue wamefunga . Kweli ninakuambia , wamekwisha kupokea thawabu yao .
MAT 6:17     Alignment score: 0.383
But you , when you fast , anoint your head and wash your face
Lakini wewe , unapokuwa umefunga , paka mafuta kichwa chako na uoshe uso wako .
MAT 6:18     Alignment score: 0.395 → 0.4
so that you may not appear to people to be fasting , but only to your Father who is in secret ; and your Father who sees in secret will reward you .
Hivyo haitakuonesha mbele ya watu kuwa umefunga , lakini tu itakuwa kwa Baba yako aliye sirini . Na Baba yako aonaye sirini , atakupa thawabu yako .
MAT 6:19     Alignment score: 0.3 → 0.328
" Do not store up for yourselves treasures on the earth , where moth and rust destroy , and where thieves break in and steal .
Usijitunzie hazina yako mwenyewe hapa duniani , ambapo nondo na kutu huharibu , ambapo wezi huvunja
na kuiba .
MAT 6:20     Alignment score: 0.397 → 0.399
Instead , store up for yourselves treasures in heaven , where neither moth nor rust destroys , and where thieves do not break in and steal .
Badala yake , jitunzie hazina yako mwenyewe mbinguni , ambapo wala nondo wala kutu hawezi kuharibu , na ambapo wezi hawawezi kuvunja na kuiba .
MAT 6:21     Alignment score: 0.383
For where your treasure
is , there will your heart be also .
Kwa kuwa hazina yako ilipo , ndipo na moyo wako utakapokuwepo pia .
MAT 6:22     Alignment score: 0.517
The eye is the lamp of the body . Therefore , if your eye is good , your whole body is filled with light .
Jicho ni taa ya mwili . Kwa hiyo , ikiwa jicho lako ni zima , mwili wote utajazwa na nuru .
MAT 6:23     Alignment score: 0.441
But if your eye is bad , your whole body is full of darkness . Therefore , if the light that is in you is actually darkness , how great is that darkness !
Lakini ikiwa jicho lako ni bovu , mwili wako wote umejaa giza totoro . Kwahiyo , ikiwa nuru ambayo imo ndani yako ni giza hasa , ni giza kubwa kiasi gani !
MAT 6:24     Alignment score: 0.41 → 0.411
No one can serve two masters , for either he will hate the one and love the other , or else he will be devoted to one and despise the other . You can not serve God and wealth .
Hakuna hata mmoja anayeweza kuwatumikia mabwana wawili , kwa kuwa atamchukia mmoja na kumpenda mwingine , au la sivyo atajitoa kwa mmoja na kumdharau mwingine . Hamuwezi kumtumikia Mungu na mali .
MAT 6:25     Alignment score: 0.422 → 0.422
Therefore I say to you , do not worry about your life , what you will eat or what you will drink ; or about your body , what you will wear . For is not life more than food , and the body more than clothes ?
Kwa hiyo nakuambia , usiwe na mashaka kuhusu maisha yako , kuwa utakula nini au utakunywa
nini , au kuhusu mwili wako , utavaa nini . Je ! Maisha si zaidi ya chakula na mwili zaidi ya mavazi ?
MAT 6:26     Alignment score: 0.506 → 0.527
Look at the birds in the sky . They do not sow or reap or gather into barns , but your heavenly Father feeds them . Are you not more valuable than they are ?
Tazama ndege walioko angani . Hawapandi na hawavuni na hawakusanyi na kutunza ghalani , lakini Baba yenu wa mbinguni huwalisha wao . Je ninyi si wa thamani zaidi kuliko wao ?
MAT 6:27     Alignment score: 0.212 → 0.236
Which one of you by being anxious can add one cubit to his lifespan ?
Na ni nani miongoni mwenu kwa kujihangaisha anaweza kuongeza dhiraa moja kwenye uhai wa maisha yake ?
MAT 6:28     Alignment score: 0.292
Why are you anxious about clothing ? Think about the lilies in the fields , how they grow . They do not labor , and they do not spin cloth .
Na kwa nini mna kuwa na wasiwasi kuhusu mavazi ? Fikiria kuhusu maua kwenye mashamba , jinsi yanavyokua . Hayafanyi kazi na hayawezi kujivisha .
MAT 6:29     Alignment score: 0.489
Yet I say to you , even Solomon in all his glory was not clothed like one of these
.
Bado ninawaambia , hata Sulemani katika utukufu wake wote hakuvikwa kama mojawapo ya haya .
MAT 6:30     Alignment score: 0.281 → 0.287
If God so clothes the grass in the fields , which exists today and tomorrow is thrown into the oven , how much more will he clothe
you , you of little faith ?
Ikiwa Mungu anayavalisha majani katika mashamba , ambayo yadumu siku moja na kesho yanatupwa katika moto , je ni kwa kiasi gani atawavalisha ninyi , ninyi wenye imani ndogo ?
MAT 6:31     Alignment score: 0.354 → 0.401
Therefore do not be anxious and say , ' What will we eat ? ' or ' What will we drink ? ' or ' What clothes will we wear ? '
Kwa hiyo msiwe na wasiwasi nakusema , Je tutakula nini ? au Je tutakunywa nini ? au Je tutavaa nguo gani ?
MAT 6:32     Alignment score: 0.419
For the Gentiles search for these
things , and your heavenly Father knows that you need them .
Kwa kuwa mataifa wanatafuta mambo haya , na Baba yenu wa mbinguni anajua kuwa mnahitaji hayo .
MAT 6:33     Alignment score: 0.426 → 0.428
But seek first his kingdom and his righteousness , and all these
things will be given to you .
Lakini kwanza tafuteni ufalme wake na haki yake na haya yote yatakabidhiwa kwako .
MAT 6:34     Alignment score: 0.313
Therefore , do not be anxious for tomorrow , for tomorrow will be anxious for itself . Each day has enough evil of its own .
Kwa hiyo , usione shaka kwa ajili ya kesho , kwa kuwa kesho itajishughulikia yenyewe . Kila siku inatosha kuwa na tatizo lake yenyewe .
MAT 6     Average alignment score: 0.377 for 33 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of MAT:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28