Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:44
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of MAT:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28 


MAT 26:1     Alignment score: 0.531
It came
about that when Jesus had finished all these words , he said to his disciples ,
Wakati Yesu alipomaliza kusema maneno yote hayo , aliwaambia wanafunzi wake ,


MAT 26:2     Alignment score: 0.45
" You know that after two days the Passover is coming , and the Son of Man will be given over to be crucified . "
Mnajua kwamba baada ya siku mbili kutakuwa na sikukuu ya pasaka , na mwana wa Adamu atatolewa ili asulibiwe
.
MAT 26:3     Alignment score: 0.443
Then the chief priests and the elders of the people were gathered together in the palace of the high priest , who was named Caiaphas .
Baadaye wakuu wa makuhani na wazee wa watu walikutana pamoja katika makao ya Kuhani Mkuu , aliye kuwa anaitwa Kayafa .
MAT 26:4     Alignment score: 0.442
They plotted together to arrest Jesus stealthily and kill him .
Kwa pamoja walipanga njama ya kumkamata Yesu kwa siri na kumuua .
MAT 26:5     Alignment score: 0.231 → 0.235
For they were saying , " Not during the festival , so that a riot does not arise
among the people . "
Kwa kuwa walisema , Isifanyike wakati wa sikukuu , kusudi isije ikazuka ghasia miongoni mwa watu .
MAT 26:6     Alignment score: 0.642
Now while Jesus was in Bethany in the house of Simon the leper ,
Wakati Yesu alipokuwa Bethania katika nyumba ya Simoni mkoma ,
MAT 26:7     Alignment score: 0.266
as he was reclining at table , a woman came to him having an alabaster jar of very expensive ointment , and she poured it upon his head .
alipokuwa amejinyoosha mezani , mwanamke mmoja alikuja kwake akiwa amebeba mkebe wa alabasta iliyokuwa na mafuta yenye thamani kubwa , na aliyamimina juu ya kichwa chake .
MAT 26:8     Alignment score: 0.366 → 0.365
But when his disciples saw it , they became angry
and said , " What is the reason for this waste ?
Lakini wanafunzi wake walipoona jambo hilo , walichukia na kusema , Nini sababu ya hasara hii ?
MAT 26:9     Alignment score: 0.378
This
could have been sold for a large amount and given to the poor . "
Haya yangeweza kuuzwa kwa kiasi kikubwa na kupewa maskini .
MAT 26:10     Alignment score: 0.308 → 0.34
But Jesus , knowing this , said to them , " Why are you causing trouble for this woman ? For she has done a beautiful thing for me .
Lakini Yesu , akiwa anajua hili , akawaambia , Kwa nini mnamsumbua mwanamke huyu
? Kwa kuwa amefanya kitu kizuri kwangu .
MAT 26:11     Alignment score: 0.286
You always have the poor with you , but you will not always have me .
Masikini
mnao siku zote , lakini hamtakuwa pamoja nami daima .
MAT 26:12     Alignment score: 0.267
For when she poured this
ointment on my body , she did it for my burial .
Kwa sababu alipomimina mafuta haya juu ya mwili wangu , alifanya hivyo kwa ajili ya maziko yangu .
MAT 26:13     Alignment score: 0.263 → 0.281
Truly I say to you , wherever this good news is preached in the whole world , what this woman has done will also be spoken of in memory of her . "
Kweli nawaambieni , popote Injili hii itakapohubiriwa katika ulimwengu mzima , kitendo alichofanya huyu
mwanamke , pia kitakuwa kinasemwa kwa ajili ya kumkumbuka .
MAT 26:14     Alignment score: 0.478
Then one of the twelve , who was named Judas Iscariot , went to the chief priests
Ndipo mmoja wa wale Kumi na wawili , aliyeitwa Yuda Iskariote , alienda kwa wakuu wa makuhani
MAT 26:16     Alignment score: 0.156 → 0.157
From that moment he sought an opportunity to turn him over to them .
Tangu muda huo alitafuta nafasi ya kumsaliti .
MAT 26:17     Alignment score: 0.44 → 0.44
Now on the first day of unleavened bread the disciples came
to Jesus and said , " Where do you want us to prepare for you to eat the Passover meal ? "
Hata siku ya kwanza ya mikate isiyotiwa chachu , wanafunzi walimwendea Yesu na kusema , Wapi unataka tukuandalie ule chakula cha Pasaka ?
MAT 26:18     Alignment score: 0.463 → 0.467
He said , " Go into the city to a certain man and say to him , ' The Teacher says , " My time is at hand . I will keep the Passover at your house with my disciples . " ' "
Akawaambia , Nendeni mjini kwa mtu fulani na mwambieni , Mwalimu anasema , Muda wangu umekaribia . Nitaitimiza Pasaka pamoja na wanafunzi wangu katika nyumba yako .
MAT 26:19     Alignment score: 0.438
The disciples did as Jesus directed them , and they prepared the Passover meal .
Wanafunzi walifanya kama Yesu alivyowaagiza , na waliandaa chakula cha Pasaka .
MAT 26:20     Alignment score: 0.486 → 0.487
When evening came
, he sat down to eat with the twelve disciples .
Ilipofika jioni , aliketi kula chakula pamoja na wale wanafunzi kumi na wawili .
MAT 26:21     Alignment score: 0.271 → 0.263
As they were eating , he said , " Truly I say to you that one of you will betray me . "
Walipokuwa wanakula chakula , alisema , Kweli nawaambia kwamba mmoja wenu atanisaliti .
MAT 26:22     Alignment score: 0.347 → 0.351
They were very sorrowful , and each one began to ask him , " Surely not I , Lord ? "
Walihuzunika sana , na kila mmoja alianza kumuuliza , Je , hakika siyo mimi , Bwana ?
MAT 26:23     Alignment score: 0.221 → 0.22
He answered , " The one who dips his hand with me in the dish is the one who will betray me .
Akawajibu , Yule ambaye anachovya mkono wake pamoja nami katika bakuli ndiye atakaye nisaliti .
MAT 26:24     Alignment score: 0.408 → 0.406
The Son of Man will go , just as it is written about him . But woe to that man by whom the Son of Man is betrayed ! It would be better for that man if he had not been born . "
Mwana wa Adamu ataondoka , kama alivyoandikiwa . Lakini ole wake mtu ambaye atamsaliti Mwana wa Adamu ! Ingekuwa vizuri kwa mtu huyo
kama asingezaliwa .
MAT 26:25     Alignment score: 0.372
Judas , who would betray him said , " Is it I , Rabbi ? " He said to him , " You have said it yourself . "
Yuda , ambaye angemsaliti alisema , Je , ni mimi Rabi ? Yesu akamwambia , Umesema
jambo hilo wewe mwenyewe .
MAT 26:26     Alignment score: 0.437 → 0.443
As they were eating , Jesus took bread , blessed it , and broke it . He gave it to the disciples and said , " Take , eat . This is my body . "
Walipokuwa wakila chakula , Yesu aliutwaa mkate , akaubariki , na kuumega . Akawapa wanafunzi wake akisema
, Chukueni , mle . Huu ni mwili wangu .
MAT 26:27     Alignment score: 0.413 → 0.416
He took a cup and gave
thanks , and gave it to them and said , " Drink it , all of you .
Akatwaa kikombe na kushukuru , akawapa na kusema , Kunyweni wote katika hiki .
MAT 26:28     Alignment score: 0.46
For this is my blood of the covenant that is poured out for many for the forgiveness of sins .
Kwa kuwa hii ni damu ya agano langu , inayomwagwa kwa ajili ya wengi kwa msamaha wa dhambi .
MAT 26:29     Alignment score: 0.537 → 0.537
But I say to you , I will not drink again of this fruit of the vine , until that day when I drink it new with you in my Father 's kingdom . "
Lakini nawaambieni , sitakunywa tena matunda ya mzabibu huu , hadi siku ile nitakapokunywa mpya pamoja nanyi katika ufalme wa Baba yangu .
MAT 26:30     Alignment score: 0.32
When they had sung
a hymn , they went out to the Mount of Olives .
Walipokuwa wamemaliza kuimba wimbo , walitoka kwenda Mlima wa Mizeituni .
MAT 26:31     Alignment score: 0.44 → 0.47
Then Jesus said to them , " All of you will fall away tonight because of me , for it is written , ' I will strike the shepherd and the sheep of the flock will be scattered . '
Kisha Yesu akawaambia , Usiku huu ninyi nyote mtajikwaa kwa sababu yangu , kwa kuwa imeandikwa , Nitampiga mchungaji na kondoo wa kundi watatawanyika .
MAT 26:32     Alignment score: 0.517
But after I am raised up , I will go ahead of you into Galilee . "
Lakini baada ya kufufuka kwangu , nitawatangulia kwenda Galilaya .
MAT 26:33     Alignment score: 0.374
But Peter said to him , " Even if all fall away because of you , I will never fall away . "
Lakini Petro alimwambia , Hata kama wote watakukataa kwa sababu ya mambo yatakayokupata , mimi sitakukataa .
MAT 26:34     Alignment score: 0.514 → 0.528
Jesus said to him , " Truly I say to you , this very night , before the rooster crows , you will deny me three times . "
Yesu akamjibu , Kweli nakuambia , usiku huu kabla jogoo hajawika , utanikana mara tatu .
MAT 26:35     Alignment score: 0.376 → 0.378
Peter said to him , " Even if I must die with you , I will not deny you . " All the other disciples said the same thing .
Petro akamwambia , Hata kama ingenipasa kufa na wewe , sitakukana . Na wanafunzi wengine wote wakasema vivyo hivyo .
MAT 26:36     Alignment score: 0.451 → 0.452
Then Jesus went with them to a place called Gethsemane and said to his disciples , " Sit here while I go over there and pray . "
Baadaye Yesu alienda nao mahali panapoitwa Gethsemane na aliwaambia wanafunzi wake , Kaeni hapa wakati nikienda huko na kuomba .
MAT 26:37     Alignment score: 0.457 → 0.49
He took Peter and the two sons of Zebedee with him and began to become sorrowful and troubled .
Akamchukua Petro na wana wawili wa Zebedayo na akaanza kuhuzunika na kusononeka .
MAT 26:38     Alignment score: 0.291 → 0.314
Then he said to them , " My soul is deeply sorrowful , even to death . Remain here and watch with me . "
Kisha akawaambia , Roho yangu ina huzuni kubwa sana , hata kiasi cha kufa
. Bakini hapa na mkeshe pamoja nami .
MAT 26:39     Alignment score: 0.31 → 0.31
He went a little farther
, fell on his face , and prayed . He said , " My Father , if it is possible , let this cup pass from me . Yet , not as I will , but as you will . "
Akaenda mbele kidogo , akaanguka kifudifudi , na kuomba . Akasema , Baba yangu , kama inawezekana , kikombe hiki kiniepuke . Isiwe kama ninavyotaka mimi , bali kama utakavyo wewe .
MAT 26:40     Alignment score: 0.419 → 0.418
He came
to the disciples and found them sleeping , and he said to Peter , " What , could you not watch with me for one hour ?
Akawaendea wanafunzi na akawakuta wamelala usingizi , na akamwambia Petro , Kwa nini hamkuweza kukesha nami kwa saa moja ?
MAT 26:41     Alignment score: 0.486
Watch and pray that you do not enter into temptation . The spirit indeed is willing , but the flesh is weak . "
Kesheni na kuomba kusudi msiingie majaribuni . Roho i radhi , lakini mwili ni dhaifu .
MAT 26:42     Alignment score: 0.238 → 0.244
He went away a second time and prayed . He said , " My Father , if this can not pass
away unless I drink it , your will be done . "
Akaenda zake mara ya pili na kuomba , akasema , Baba yangu , kama jambo hili haliwezi kuepukika na ni lazima nikinywee kikombe hiki , mapenzi yako yatimizwe .
MAT 26:43     Alignment score: 0.329
He came
again and found them sleeping , for their eyes were heavy .
Akarudi tena na kuwakuta wamelala usingizi , kwa kuwa macho yao yalikuwa mazito .
MAT 26:44     Alignment score: 0.355 → 0.357
So leaving them again , he went away and prayed a third time , saying the same words .
Kisha akawaacha tena akaenda zake . Akaomba mara ya tatu akisema
maneno yaleyale .
MAT 26:45     Alignment score: 0.409 → 0.408
Then Jesus came
to the disciples and said to them , " Are you still sleeping and taking your rest ? Look , the hour is at hand , and the Son of Man is being betrayed into the hands of sinners .
Baadaye Yesu aliwaendea wanafunzi wake na kuwaambia , Bado mmelala tu na kujipumzisha ? Tazameni , saa imekaribia , na Mwana wa Adamu anasalitiwa mikononi mwa wenye dhambi .
MAT 26:46     Alignment score: 0.21
Arise
, let us go . Look , the one who is betraying me is near . "
Amkeni , tuondoke . Tazama , yule anaye nisaliti amekaribia .
MAT 26:47     Alignment score: 0.424
While he was still speaking , Judas , one of the twelve , came
. A large crowd came with him from the chief priests and elders of the people . They came with swords and clubs .
Wakati alipokuwa bado anaongea , Yuda mmoja wa wale kumi na wawili , akafika . Kundi kubwa lilifika pamoja naye likitokea kwa wakuu wa Makuhani na wazee wa watu . Walikuja na mapanga na marungu .
MAT 26:48     Alignment score: 0.376
Now the man who was going to betray Jesus had given them a signal , saying , " The one I kiss is the man . Seize him . "
Tena mtu aliyekusudia kumsaliti Yesu alikuwa amewapa ishara , akisema
, Yule nitakayembusu , ndiye yeye . Mkamateni .
MAT 26:49     Alignment score: 0.472
Immediately he came up to Jesus and said , " Greetings , Rabbi ! " and he kissed him .
Mara hiyo
alikuja kwa Yesu na kusema , Salamu , Mwalimu ! Na akambusu .
MAT 26:50     Alignment score: 0.4
Jesus said to him , " Friend , do what you have come to do . " Then they came , laid hands on Jesus , and seized him .
Yesu akamwambia , Rafiki , lifanye lile ambalo limekuleta . Ndipo wakaja , na kumnyoshea mikono Yesu , na kumkamata .
MAT 26:51     Alignment score: 0.533 → 0.542
Behold , one of those who was with Jesus stretched out his hand , drew his sword , and struck the servant of the high priest , and cut off his ear .
Tazama , mtu mmoja wa wale waliokuwa
pamoja na Yesu , alinyosha mkono wake , akachomoa upanga wake , na akampiga mtumishi wa kuhani mkuu , na kumkata sikio lake .
MAT 26:52     Alignment score: 0.384 → 0.414
Then Jesus said to him , " Put your sword back in its place , for all those who take up the sword will perish by the sword .
Ndipo Yesu akamwambia , rudisha upanga wako pale ulipoutoa , kwa kuwa wote watumiao upanga wataangamizwa kwa upanga .
MAT 26:53     Alignment score: 0.283 → 0.289
Do you think that I could not call upon my Father , and he would send me more than twelve legions of angels ?
Mnadhani kuwa siwezi kumwita Baba yangu , naye akanitumia makundi ya majeshi zaidi ya kumi na mawili
ya malaika ?
MAT 26:54     Alignment score: 0.289
But how then would the scriptures
be fulfilled , that this must happen ? "
Lakini basi jinsi gani maandiko yangeweza kutimizwa , hivi ndivyo inapasa kutokea ?
MAT 26:55     Alignment score: 0.359 → 0.381
At that time Jesus said to the crowd , " Have you come out with swords and clubs to seize me like a robber ? Every day I sat teaching in the temple , and you did not arrest me .
Wakati huo Yesu akauambia umati , Je ! Mmekuja na mapanga na marungu kunikamata kama mnyang'anyi ? Kila siku nilikaa hekaluni nikifundisha , na hamkunishika !
MAT 26:56     Alignment score: 0.371
But all this
has happened so that the writings of the prophets might be fulfilled . " Then all the disciples abandoned him and fled .
Lakini yote haya yametendeka ili Maandiko ya manabii yatimie . Ndipo wanafunzi wake wakamwacha na kukimbia .
MAT 26:57     Alignment score: 0.521
Those who had seized Jesus led him away to Caiaphas the high priest , where the scribes and the elders had gathered together .
Wale waliomkamata
Yesu walimpeleka kwa Kayafa , Kuhani Mkuu , mahali ambapo waandishi na wazee walikuwa wamekusanyika pamoja .
MAT 26:58     Alignment score: 0.299
But Peter followed him from a distance to the courtyard of the high priest . He went inside and sat down with the officers to see the outcome .
Lakini Petro alimfuata nyuma kwa mbali hadi katika ukumbi wa Kuhani Mkuu . Aliingia ndani na kukaa pamoja na walinzi aone kitakachotokea .
MAT 26:59     Alignment score: 0.371 → 0.37
Now the chief priests and the whole council were looking for false testimony against Jesus so that they might put him to death .
Basi wakuu wa makuhani na Baraza lote walikuwa wakitafuta ushahidi wa uongo dhidi ya Yesu , kusudi wapate kumuua .
MAT 26:60     Alignment score: 0.235 → 0.29
They did not find any , even though
many false witnesses came forward . But later two came forward
Ingawa walijitokeza mashahidi wengi , lakini hawakupata sababu yoyote . Baadaye mashahidi wawili walijitokeza mbele
MAT 26:61     Alignment score: 0.362 → 0.372
and said , " This man said , ' I am able to destroy the temple of God and rebuild it in three days . ' "
na kusema
, Mtu huyu alisema , Naweza kulivunja hekalu la Mungu na kulijenga tena kwa siku tatu .
MAT 26:62     Alignment score: 0.302 → 0.307
The high priest stood up and said to him , " Do you have no answer ? What is it that they are testifying against you ? "
Kuhani Mkuu alisimama na kumwuliza , Hauwezi kujibu ? Hawa
wanakushuhudia nini dhidi yako ?
MAT 26:63     Alignment score: 0.542 → 0.565
But Jesus was silent . The high priest said to him , " I command you by the living God , tell us whether you are the Christ , the Son of God . "
Lakini Yesu alikaa kimya . Kuhani Mkuu akamwambia , Kama Mungu aishivyo , nakuamuru utwambie , kama wewe ni Kristo , Mwana wa Mungu .
MAT 26:64     Alignment score: 0.443 → 0.447
Jesus replied to him , " You have said it yourself . But I tell you , from now on you will see the Son of Man sitting at the right hand of Power , and coming on the clouds of heaven . "
Yesu akamjibu , Wewe mwenyewe umesema
jambo hilo . Lakini nakuambia , toka sasa na kuendelea utamwona Mwana wa Adamu ameketi mkono wa kulia wenye nguvu , na akija katika mawingu ya mbinguni .
MAT 26:65     Alignment score: 0.257 → 0.268
Then the high priest tore his clothes and said , " He has spoken blasphemy ! Why do we still need witnesses
? Look , now you have heard the blasphemy .
Ndipo Kuhani Mkuu alirarua mavazi yake na kusema , Amekufuru ! Je , twahitaji tena ushahidi wa nini ? Angalia , tayari mmesikia akikufuru .
MAT 26:66     Alignment score: 0.286
What do you think ? " They answered and said , " He is deserving of death . "
Je ! Mnawaza nini ? Wakajibu na kusema
, Anastahili kifo .
MAT 26:67     Alignment score: 0.23
Then they spit in his face and beat him with their fists , while some slapped him
Kisha walimtemea mate usoni na kumpiga ngumi , na kumchapa makofi kwa mikono
yao ,
MAT 26:68     Alignment score: 0.325 → 0.326
and said , " Prophesy
to us , you Christ . Who is it that struck you ? "
na kusema , Tutabirie , wewe Kristo . Ni nani amekuchapa ?
MAT 26:69     Alignment score: 0.459 → 0.476
Now Peter was sitting outside in the courtyard , and a servant girl came
to him and said , " You were also with Jesus of Galilee . "
Wakati huo Petro alikuwa amekaa nje katika ukumbi , na mtumishi wa kike alimwendea na kusema , Wewe pia ulikuwa pamoja na Yesu wa Galilaya .
MAT 26:70     Alignment score: 0.415
But he denied it in front of them all , saying , " I do not know what you are talking about . "
Lakini alikana mbele yao wote , akisema
, Sijui kitu unachosema .
MAT 26:71     Alignment score: 0.44
When he went out to the gateway , another servant girl saw him and said to those
there , " This man was also with Jesus of Nazareth . "
Alipoenda nje ya lango , mtumishi mwingine wa kike alimwona na kuwaambia waliokuwepo hapo , Mtu huyu pia alikuwa pamoja na Yesu wa Nazareti .
MAT 26:72     Alignment score: 0.396
He again denied it with an oath , " I do not know the man ! "
Akakana tena kwa kiapo , Mimi simjui mtu huyu .
MAT 26:73     Alignment score: 0.27 → 0.27
After a little while those who were standing by came
and said to Peter , " Surely you are also one of them , for the way you speak gives you away . "
Muda mfupi baadaye , wale waliokuwa wamesimama karibu , walimwendea na kusema na Petro , Kwa hakika wewe pia ni mmoja wao , kwa kuwa hata lafudhi yako inaonesha .
MAT 26:74     Alignment score: 0.446 → 0.447
Then he began to curse and swear , " I do not know the man , " and immediately a rooster crowed .
Ndipo alianza kulaani na kuapa , Mimi simfahamu mtu huyu
, na mara hiyo jogoo akawika .
MAT 26     Average alignment score: 0.389 for 73 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of MAT:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16  17  18  19  20  21  22  23  24  25  26  27  28