Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:45
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of MRK:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16 


MRK 2:1     Alignment score: 0.482 → 0.484
When Jesus came
back to Capernaum after a few days , it was heard that he was at home .
Yesu aliporudi Kapernaumu baada ya siku chache walisikia kwamba yupo nyumbani .


MRK 2:2     Alignment score: 0.274
So many gathered there that there was no more space , not even at the door , and he spoke the word to them .
Watu wengi sana walikusanyika pale na haikuwepo nafasi tena , hata ile ya mlangoni , na Yesu alisema neno kwao .
MRK 2:3     Alignment score: 0.366
Then some men came to him who were bringing a paralyzed man ; four people were carrying him .
Kisha baadhi ya watu walikuja kwake waliomleta mtu aliyekuwa amepooza ; watu wanne walikuwa wamembeba .
MRK 2:4     Alignment score: 0.271 → 0.277
When they could not get near him because of the crowd , they removed the roof that was above Jesus , and after they made an opening , they lowered the mat the paralyzed man was lying on .
Wakati waliposhindwa kumpitisha kwa sababu ya umati wa watu , waliondoa paa juu mahali pale alipokuwa Yesu . Na walipokuwa wamekwishatoboa tundu , walishusha kitanda ambacho mtu aliyepooza alikuwa amelala .
MRK 2:5     Alignment score: 0.523
Seeing their faith , Jesus said to the paralyzed man , " Son , your sins are forgiven . "
Alipoiona imani yao , Yesu alimwambia mtu aliyepooza , mwanangu , dhambi zako zimesamehewa .
MRK 2:6     Alignment score: 0.299 → 0.3
Now some of the scribes were sitting there , and they reasoned in their hearts ,
Lakini baadhi ya waandishi wale waliokuwa
wamekaa pale walijihoji mioyoni mwao ,
MRK 2:7     Alignment score: 0.325
" How can this man speak this way ? He blasphemes ! Who can forgive sins but God alone ? "
Mtu huyu
anawezaje kusema hivi ? Anakufuru ! Nani awezaye kusamehe dhambi isipokuwa Mungu peke yake ?
MRK 2:8     Alignment score: 0.297
Immediately Jesus knew in his spirit what they were thinking within themselves . He said to them , " Why are you thinking this in your hearts ?
Mara Yesu alijua rohoni mwake walichokuwa wakifikiri miongoni mwao wenyewe . Aliwaambia , Kwa nini mnafikiri hivi mioyoni mwenu ?
MRK 2:9     Alignment score: 0.33
Which is easier , to say to the paralyzed man , ' Your sins are forgiven , ' or to say , ' Get up , take up your mat and walk ' ?
Lipi ni jepesi zaidi kusema kwa mtu aliyepooza , Dhambi zako zimesamehewa au kusema Simama , chukua kitanda chakomkeka wako , na utembee ?
MRK 2:10     Alignment score: 0.407
But in order that you may know that the Son of Man has authority on earth to forgive sins , " he said to the paralytic ,
Lakini ili wapate kujua ya kuwa Mwana wa Adamu ana mamlaka ya kusamehe dhambi katika dunia , alimwambia yule aliyepooza ,
MRK 2:11     Alignment score: 0.356 → 0.385
" I say to you , get up , take up your mat , and go to your house . "
Inuka , chukua mkeka wako , na uende nyumbani kwako .
MRK 2:12     Alignment score: 0.392
He got up and immediately took up the mat , and went out of the house in front of everyone , so that they were all amazed and they gave glory to God , and they said , " We never saw anything like this . "
Alisimama na mara moja akachukua mkeka wake , na alienda nje ya nyumba mbele ya kila mtu , hivyo wote wakashangaa
na wakampa Mungu utukufu , nakusema Kamwe , hatujawahi kuona jambo kama hili .
MRK 2:13     Alignment score: 0.415 → 0.418
He went out again by the lake , and all the crowd came to him , and he taught them .
Alienda tena kando ya ziwa , na umati wote wa watu walikuja kwake , na akawafundisha .
MRK 2:14     Alignment score: 0.467 → 0.472
As he passed by , he saw Levi son of Alphaeus sitting at the tax collector 's tent and he said to him , " Follow me . " He got up and followed him .
Alipokuwa akipita
alimwona Lawi mwana wa Alfayo ameketi kwenye sehemu ya kukusanyia kodi na akamwambia , Nifuate . Alisimama na kumfuata .
MRK 2:15     Alignment score: 0.455 → 0.456
Jesus was having a meal in Levi 's house and many tax collectors and sinners were dining with him and his disciples , for there were many and they followed him .
Na wakati Yesu alipokuwa akipata chakula katika nyumba ya Lawi , wakusanya kodi wengi na watu wenye dhambi walikuwa wakila na Yesu na wanafunzi wake , kwa kuwa walikuwa wengi nao walimfuata .
MRK 2:16     Alignment score: 0.48
When the scribes , who were Pharisees , saw that Jesus was eating with sinners and tax collectors , they said to his disciples , " Why does he eat with tax collectors and sinners ? "
Wakati waandishi , ambao walikuwa Mafarisayo , walipoona kwamba Yesu alikuwa akila na watu wenye dhambi na wakusanya kodi , waliwaambia wanafunzi wake , Kwa nini anakula na wakusanya kodi na watu wenye dhambi ?
MRK 2:17     Alignment score: 0.403
When Jesus heard this , he said to them , " People who are strong in body do not need a physician ; only people who are sick need one . I did not come to call righteous people , but sinners . "
Wakati Yesu aliposikia hivi aliwaambia , Watu walio
na afya katika mwili hawamhitaji tabibu ; ni watu wagonjwa pekee ndio wanamhitaji . Sikuja kuwaita watu wenye haki , lakini watu wenye dhambi .
MRK 2:18     Alignment score: 0.603 → 0.606
Now John 's disciples and the Pharisees were fasting . Some people came and said to him , " Why do John 's disciples and the disciples of the Pharisees fast , but your disciples do not fast ? "
Wanafunzi wa Yohana na Mafarisayo walikuwa wakifunga . Na baadhi ya watu walikuja kwake na kumwambia , Kwa nini wanafunzi wa Yohana na mafarisayo hufunga , lakini wanafunzi wako hawafungi ?
MRK 2:19     Alignment score: 0.316
Jesus said to them , " Can the wedding attendants fast while the bridegroom is still with them ? As long as they have the bridegroom with them , they can not fast .
Yesu aliwaambia , Je waliohudhuria harusi wanaweza kufunga wakati bwana harusi bado akiwa pamoja nao ? Kwa vyovyote bwana harusi akiwa bado yuko pamoja nao hawawezi kufunga .
MRK 2:20     Alignment score: 0.403
But the days will come when the bridegroom will be taken away from them , and in those days , they will fast .
Lakini siku zitakuja wakati bwana harusi atakapoondolewa kwao , na katika siku hizo wao watafunga .
MRK 2:21     Alignment score: 0.283
No one sews a piece of new cloth on an old garment . Otherwise the patch tears away from it , the new from the old , and there is a worse tear .
Hakuna mtu ashonaye kipande kipya cha nguo kwenye vazi kuukuu , vinginevyo kiraka kitararuka kutoka katika hilo , kipya kitararuka kutoka katika kikuukuu , nayo itachanika zaidi .
MRK 2:22     Alignment score: 0.399 → 0.402
No one puts new wine into old wineskins . Otherwise the wine will burst the skins and both the wine and the wineskins are lost . Instead , new wine is put into fresh wineskins . "
Hakuna mtu atiaye divai mpya kwenye viriba vikuukuu , vinginevyo divai itavipasua viriba na vyote
viwili divai na viriba vitapotea . Badala yake , weka divai mpya katika viriba vipya .
MRK 2:23     Alignment score: 0.39 → 0.412
On the Sabbath day Jesus went through some grainfields , and his disciples began picking heads of grain as they made their way .
Katika siku ya Sabato Yesu alipita kwenye baadhi ya mashamba , na wanafunzi wake walianza kuchukua
baadhi ya masuke ya ngano .
MRK 2:24     Alignment score: 0.384 → 0.384
The Pharisees said to him , " Look , why are they doing something that is not lawful on the Sabbath day ? "
Na Mafarisayo walimwambia , Tazama , kwa nini wanafanya kitu ambacho ni kinyume cha sheria katika siku ya Sabato ?
MRK 2:25     Alignment score: 0.361 → 0.362
He said to them , " Have you never read what David did when he was in need and hungry he and the men who were with him
Aliwaambia , Hamkusoma kile alichofanya Daudi alipokuwa katika uhitaji
na njaa yeye pamoja na watu waliokuwa pamoja naye ?
MRK 2:26     Alignment score: 0.439 → 0.439
how he went into the house of God when Abiathar was high priest , and ate the bread of the presence , which is unlawful for anyone to eat except the priests , and he even gave some to those who were with him ? "
Jinsi alivyoenda katika nyumba ya Mungu wakati Abiathari alipokuwa kuhani mkuu na akala mkate uliowekwa mbele ambao
ilikuwa kinyume cha sheria kwa mtu yeyote kula isipokuwa makuhani tu . Na aliwapa hata baadhi ya wale waliokuwa pamoja naye ?
MRK 2:27     Alignment score: 0.445
Jesus said , " The Sabbath was made for mankind , not mankind for the Sabbath .
Yesu alisema , Sabato ilifanywa kwa ajili ya mwanadamu , siyo mwanadamu kwa ajili ya Sabato .
MRK 2:28     Alignment score: 0.555 → 0.562
Therefore , the Son of Man is Lord , even of the Sabbath . "
Kwa hiyo , Mwana wa Adamu ni Bwana , wa Sabato .
MRK 2     Average alignment score: 0.398 for 28 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of MRK:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16