Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:45
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of MRK:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16 


MRK 5:1     Alignment score: 0.328
They came to the other side of the sea , to the region of the Gerasenes .
Walikuja mpaka ng'ambo ya bahari , katika mkoa wa Gerasi .


MRK 5:2     Alignment score: 0.303 → 0.32
When Jesus was getting out of the boat , a man with an unclean spirit came up to him out of the tombs .
Wakati Yesu alipokua akitoka kwa mtumbwi , mwanaume mwenye pepochafu alikuja kwake kutoka makaburini .
MRK 5:3     Alignment score: 0.221 → 0.226
The man lived in the tombs . No one could restrain him anymore , not even with a chain .
Mtu huyu aliishi makaburini . Hakuna aliyeweza kumzuia kamwe , hata kwa kumfunga minyororo
.
MRK 5:4     Alignment score: 0.254
He had been bound many times with shackles and with chains . He tore the chains apart and his shackles were shattered . No one had the strength to subdue him .
Alikuwa amefungwa mara kadhaa kwa pingu na minyororo . Alikata minyororo na pingu zake zikavunjika . Hakuna hata mmoja aliyekuwa na nguvu za kumshinda .
MRK 5:5     Alignment score: 0.411
Every night and day in the tombs and in the mountains , he cried out and cut himself with sharp stones .
Usiku na mchana akiwa makaburini na milimani , alilia na kujikata mwenyewe kwa mawe makali
.
MRK 5:6     Alignment score: 0.514
When he saw Jesus from a distance , he ran to him and bowed down before him .
Alipomwona Yesu kwa umbali
, alimkimbilia na kuinama mbele yake .
MRK 5:7     Alignment score: 0.426 → 0.426
He cried out with a loud voice , " What do I have to do with you , Jesus , Son of the Most High God ? I beg you by God himself , do not torment me . "
Akalia kwa sauti kubwa , Nina shughuli gani na wewe , Yesu , Mwana wa Mungu aliye Juu ? Nakuomba kwa jina la Mungu mwenyewe , usinitese .
MRK 5:8     Alignment score: 0.288 → 0.316
For he had been saying to him , " Come out of the man , you unclean spirit . "
Kwa kuwa Yesu alikuwa amemwambia , Mtoke mtu huyu , wewe roho mchafu .
MRK 5:9     Alignment score: 0.447
He asked him , " What is your name ? " He answered him , " My name is Legion , for we are many . "
Yesu akamuuliza , Jina lako ni nani ? Naye alimjibu , Jina langu ni Jeshi , kwa kuwa tuko wengi .
MRK 5:10     Alignment score: 0.355
He begged him again and again not to send them out of the region .
Alimsihi tena na tena asiwapeleke nje ya mkoa .
MRK 5:11     Alignment score: 0.236
Now a great herd of pigs was there feeding on the hill ,
Palikuwa na kundi kubwa la nguruwe walikua
wakilisha mlimani ,
MRK 5:12     Alignment score: 0.381
and they begged him , saying , " Send us into the pigs ; let us enter into them . "
nao walimsihi , wakisema , Utupeleke ndani ya nguruwe ; tuingie ndani yao .
MRK 5:13     Alignment score: 0.406 → 0.408
So he allowed them ; the unclean spirits came
out and entered into the pigs , and the herd rushed down the steep hill into the sea , and about two thousand pigs drowned in the sea .
Hivyo aliwaruhusu ; roho wachafu walimtoka na kuingia ndani ya nguruwe , nao nguruwe walikimbia chini ya kilima mwinuko mpaka baharini , na angalau nguruwe elfu mbili walizama baharini .
MRK 5:14     Alignment score: 0.306
Then those who were feeding the pigs ran away and reported what had happened in the city and in the countryside , and so people went out to see what had happened .
Na wale waliokuwa
wakichunga nguruwe walikimbia nakwenda kutoa taarifa ya yaliyotendeka katika mji na mashambani , na watu wengi walitoka kwenda kuona kilichotokea .
MRK 5:15     Alignment score: 0.318 → 0.321
Then they came to Jesus and they saw the demon - possessed man , the one who had been possessed by Legion , sitting there , clothed and in his right mind ; and they were afraid .
Walikuja kwa Yesu na kumuona mtu aliyepagawa na pepo , aliyekuwa amepagawa na Jeshi la mapepo , amekaa hapo , amevishwa na katika akili yake sawa na wakaogopa .
MRK 5:16     Alignment score: 0.223 → 0.236
Those who had seen what happened to the demon - possessed man told them about it in detail , and they also told them about the pigs .
Wale waliokuwa
wameshudia kilichotendeka kwa mtu aliyekuwa amepagawa na mapepo waliwaambia kilichotokea kwa undani , na pia kuhusu nguruwe .
MRK 5:17     Alignment score: 0.202 → 0.203
Then they started to beg him to leave their region .
Nao walianza kumsihi Yesu aondoke katika mkoa wao .
MRK 5:18     Alignment score: 0.208 → 0.208
When he was getting into the boat , the demon - possessed man begged him that he might
be with him .
Alipokuwa akiingia ndani ya mtumbwi , yule aliyekuwa amepagawa na mapepo alimsihi kwamba aende pamoja naye .
MRK 5:19     Alignment score: 0.351 → 0.365
But Jesus did not permit him , but said to him , " Go to your house and to your people and tell them what the Lord has done for you , and how he has shown you mercy . "
Lakini Yesu hakumruhusu , lakini akamwambia , Nenda nyumbani kwako na kwa watu wako na uwaambie alichokufanyia Bwana , na huruma aliyokuonyesha .
MRK 5:20     Alignment score: 0.345 → 0.354
So he went away and began to proclaim in the Decapolis the great things that Jesus had done for him , and everyone was amazed .
Hivyo alienda na kuanza
kutangaza mambo makuu ambayo Yesu amefanya kwake katika maeneo yote ya Dekapoli , na kila mtu alistaajabu .
MRK 5:21     Alignment score: 0.429
Now when Jesus had crossed over again to the other side in the boat , a great crowd gathered around him , as he was beside the sea .
Na wakati Yesu alipovuka tena upande mwingine ndani ya mtumbwi , umati mkubwa ulikusanyika karibu naye , alipokuwa kando ya bahari .
MRK 5:22     Alignment score: 0.496
Then one of the leaders of the synagogue named Jairus came , and when he saw him , fell at his feet .
Mmoja wa viongozi wa sinagogi aliyeitwa Yairo alikuja , na alipomwona , alianguka miguuni pake .
MRK 5:23     Alignment score: 0.235 → 0.255
He begged again and again , saying , " My little daughter is near death . I beg you , come and lay your hands on her that she may be made well and live . "
Akamsihi zaidi na zaidi , akisema
, Binti yangu mdogo anakaribia kufa . Ninakusihi , njoo na uweke mikono yako juu yake ili aweze kupata afya na kuishi .
MRK 5:24     Alignment score: 0.284
So he went with him , and a great crowd followed him and pressed close around him .
Hivyo alienda pamoja naye , na umati mkubwa watu ulimfuata
nao walisonga karibu wakimzunguka .
MRK 5:25     Alignment score: 0.352 → 0.377
Now a woman was there who had a flow of blood for twelve years .
Kulikuwa na mwanamke kati yao ambaye damu yake ilikuwa inamtoka kwa miaka kumi na miwili
.
MRK 5:26     Alignment score: 0.273 → 0.27
She had suffered much from many doctors and had spent everything that she had , but instead of getting better she grew worse .
Aliteseka vya kutosha chini ya matabibu wengi na alitumia kila kitu alichokuwa nacho , lakini badala kuendelea vizuri hali yake iliendelea kuwa mbaya .
MRK 5:27     Alignment score: 0.443
When she had heard the reports about Jesus , she came up behind him in the crowd and touched his cloak .
Aliposikia habari kuhusu Yesu , alikuja nyuma yake katikati ya umati na akagusa vazi lake .
MRK 5:28     Alignment score: 0.177
For she said , " If I touch just his clothes , I will be healed . "
Kwa kuwa alisema , Kama nitayagusa mavazi yake , nitapona .
MRK 5:29     Alignment score: 0.311
When she touched him , the bleeding stopped , and she felt in her body that she was healed from her affliction .
Alipomgusa , kutokwa damu kulikoma , na alijisikia katika mwili wake kwamba ameponywa kutoka mateso yake .
MRK 5:30     Alignment score: 0.219 → 0.256
Jesus immediately realized in himself that power had gone out from him . He turned around in the crowd and said , " Who touched my clothes ? "
Na ghafla Yesu aligundua ndani yake mwenyewe kwamba nguvu zimemtoka . Akageuka katika ya umati ya watu na kuuliza , Ni nani aliyeligusa vazi langu ?
MRK 5:31     Alignment score: 0.272
His disciples said to him , " You see this crowd pressed around you , and you say , ' Who touched me ? ' "
Wanafunzi wake walimwambia , Unaona umati huu umekusonga nawe wauliza , Ni nani aliyenigusa ?
MRK 5:32     Alignment score: 0.365
But Jesus looked around to see who had done it .
Lakini Yesu alitazama pande zote kuona ambaye aliye mgusa .
MRK 5:33     Alignment score: 0.293
The woman , knowing what had happened to her , feared and trembled . She came and fell down before him and told him the whole truth .
Mwanamke huyo , akijua kilichomtendekea , aliogopa na kutetemeka . Alikuja na alianguka chini mbele yake na kumwambia ukweli
wote .
MRK 5:34     Alignment score: 0.392
He said to her , " Daughter , your faith has made you well . Go in peace and be healed from your affliction . "
Yesu akamwambia , Binti , imani yako imekufanya uwe mzima . Enenda kwa amani na uponywe kutoka kwenye mateso yako .
MRK 5:35     Alignment score: 0.397
While he was speaking , some people came from the synagogue leader 's house , saying , " Your daughter is dead . Why trouble the teacher any longer ? "
Yesu alipokuwa akizungumza , baadhi ya watu walikuja kutoka kwa kiongozi wa Sinagogi , wakisema , Binti yako amekufa . Kwa nini kuendelea kumsumbua mwalimu ?
MRK 5:36     Alignment score: 0.409 → 0.41
But when Jesus overheard the message that was spoken , he said to the leader of the synagogue , " Do not be afraid . Just believe . "
Lakini Yesu aliposikia ambacho walikisema , alimwambia kiongozi wa Sinagogi , Usiogope . Amini tu .
MRK 5:37     Alignment score: 0.583
He did not permit anyone to accompany him except Peter , James , and John , the brother of James .
Hakumruhusu yeyote kuongozana naye , isipokuwa Petro , Yakobo , na Yohana , ndugu yake Yakobo .
MRK 5:38     Alignment score: 0.276
They came to the house of the leader of the synagogue and he saw there people making a lot of noise ; they were weeping and wailing loudly .
Walikuja nyumbani kwa kiongozi wa Sinagogi naye aliona vurugu ; za kulia kwingi na kuomboleza kwa nguvu .
MRK 5:39     Alignment score: 0.272 → 0.273
When he entered the house , he said to them , " Why are you upset and why do you weep ? The child is not dead
but sleeps . "
Alipoingia nyumbani , aliwaambia , Kwa nini mnahuzunika na kwa nini mnalia ? Mtoto hajafa bali amelala .
MRK 5:40     Alignment score: 0.421
They began to mock him . But he put them all outside and took the father of the child and the mother and those who were with him , and he went in where the child was .
Walianza kumkejeli . Lakini aliwatoa wote nje na kumchukua baba ya mtoto na mama na wale waliokuwa
naye , na akaingia mahali alipokuwa mtoto .
MRK 5:41     Alignment score: 0.331 → 0.352
He took the hand of the child and said to her , " Talitha , koum ! " which is translated , " Little girl , I say to you , get up . "
Aliuchukua
mkono wa mtoto na kumwambia , Talitha koum ! ambayo ni kusema , Binti mdogo , nakuambia , amka .
MRK 5:42     Alignment score: 0.364
Immediately the child got up and walked ( for she was twelve years of age ) . They were immediately astonished with overwhelming amazement .
Ghafla mtoto akaamka na kutembea ( kwa kuwa alikuwa na umri wa miaka kumi na miwili
) . Na ghafla walishikwa na mshangao mkubwa .
MRK 5:43     Alignment score: 0.115 → 0.121
He strictly ordered them that no one should know about this . Then he told them to give
her something to eat .
Aliwaamuru kwa ukali kwamba mtu yeyote asijue kuhusu hili . Kisha akawaambia wampe binti chakula .
MRK 5     Average alignment score: 0.339 for 43 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of MRK:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16