Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:46
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 1CO:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16 


1CO 3:1     Alignment score: 0.389 → 0.405
And I , brothers , could not speak
to you as to spiritual people , but instead as to fleshly people , as to little children in Christ .
Na mimi , kaka na dada zangu , sikusema nanyi kama watu kiroho , lakini kama na watu wa kimwili . Kama na watoto wadogo katika Kristo .


1CO 3:2     Alignment score: 0.307 → 0.307
I fed you milk , not solid food , for you were not ready for it ; and even now you are not yet ready .
Niliwanywesha maziwa na si nyama , kwa kuwa hamkuwa tayari kwa kula nyama . Na hata sasa hamjawa tayari .
1CO 3:3     Alignment score: 0.222 → 0.231
For you are still fleshly . For where jealousy and strife exist among you , are you not living according to the flesh , and are you not walking by human standards ?
Kwa kuwa ninyi bado ni wa mwilini . Kwa kuwa wivu na majivuno yanaonekana miongoni mwenu . Je , hamuishi kulingana na mwili , na je , hamtembei kama kawaida ya kibinadamu ?
1CO 3:4     Alignment score: 0.434
For when one says , " I follow Paul , " and another says , " I follow Apollos , " are you not merely human beings ?
Kwa kuwa mmoja husema , Namfuata Paulo . Mwingine husema Namfuata Apolo , hamuishi kama wanadamu ?
1CO 3:5     Alignment score: 0.28 → 0.344
Who then is Apollos ? Who is Paul ? Servants through whom you believed , just as the Lord gave tasks to each .
Apolo ni nani ? Na Paulo ni nani ? Watumishi wa yule mliyemwamini , kwa kila ambaye
Bwana alimpa jukumu .
1CO 3:6     Alignment score: 0.402 → 0.409
I planted and Apollos watered , but God gave
the growth .
Mimi nilipanda , Apolo akatia maji , lakini Mungu akakuza .
1CO 3:7     Alignment score: 0.339
So then , neither he who plants nor he who waters is anything . But it is God who gives the growth .
Kwa hiyo , si aliye panda wala aliyetia maji ana chochote . Lakini ni Mungu anayekuza .
1CO 3:8     Alignment score: 0.34
Now he who plants and he who waters are one , and each will receive his own wages according to his own labor .
Sasa apandaye na atiaye maji wote ni sawa , na kila mmoja atapokea ujira wake kulingana na kazi yake .
1CO 3:9     Alignment score: 0.576
For we are God 's fellow workers . You are God 's garden , God 's building .
Kwa kuwa sisi tu watendakazi wa Mungu , ninyi ni bustani ya Mungu , jengo la Mungu .
1CO 3:10     Alignment score: 0.331 → 0.331
According to the grace of God that was given to me as a skilled master builder , I laid a foundation and another is building on it . But let each man be careful how he builds on it .
Kutokana na neema ya Mungu niliyopewa kama mjenzi mkuu
, niliuweka msingi , na mwingine anajenga juu yake . Lakini mtu awe makini jinsi ajengavyo juu yake .
1CO 3:11     Alignment score: 0.371 → 0.38
For no one can lay a foundation other than the one that has been laid , that is , Jesus Christ .
Kwa kuwa hakuna mwingine awezaye kujenga msingi mwingine zaidi ya uliojengwa , ambao
ni Yesu Kristo .
1CO 3:12     Alignment score: 0.433
Now if anyone builds on the foundation
with gold , silver , precious stones , wood , hay , or straw ,
Sasa , kama mmoja wenu ajenga juu yake kwa dhahabu , fedha , mawe ya thamani , miti , nyasi , au majani ,
1CO 3:13     Alignment score: 0.281 → 0.293
his work will be revealed , for the day will reveal it . For it will be revealed in fire . The fire will test the quality of what each one has done .
kazi yake itafunuliwa , kwa mwanga wa mchana utaidhihirisha
. Kwa kuwa itadhihirishwa na moto . Moto utajaribu ubora wa kazi wa kila mmoja alichofanya .
1CO 3:14     Alignment score: 0.181
If anyone 's work remains , he will receive a reward ;
Kama chochote mtu alichojenga kitabaki , yeye atapokea zawadi .
1CO 3:15     Alignment score: 0.355 → 0.355
but if anyone 's work is burned up , he will suffer loss , but he himself will be saved , as though
escaping through fire .
Lakini kama kazi ya mtu ikiteketea kwa moto , atapata hasara . Lakini yeye mwenyewe ataokolewa , kama vile kuepuka katika moto .
1CO 3:16     Alignment score: 0.537
Do you not know that you are God 's temple and that the Spirit of God lives in you ?
Hamjui kuwa ninyi ni hekalu la Mungu na kwamba Roho wa Mungu anakaa ndani yenu ?
1CO 3:17     Alignment score: 0.475 → 0.489
If anyone destroys God 's temple , God will destroy that person . For God 's temple is holy , and so are you .
Kama mtu akiliharibu hekalu la Mungu , Mungu atamharibu mtu yule
. Kwa kuwa hekalu la Mungu ni takatifu , na hivyo na ninyi .
1CO 3:18     Alignment score: 0.229
Let no one deceive himself . If anyone among you thinks he is wise in this
age , let him become a " fool " that he may become wise .
Mtu asijidanganye mwenyewe , kama yeyote miongoni mwenu anadhani ana hekima katika nyakati hizi , awe kama mjinga ndipo atakuwa na hekima .
1CO 3:19     Alignment score: 0.395
For the wisdom of this world is foolishness with God . For it is written , " He catches the wise in their craftiness . "
Kwa kuwa hekima ya dunia hii ni ujinga mbele za Mungu , Kwa kuwa imeandikwa , Huwanasa wenye hekima kwa hila zao
1CO 3:20     Alignment score: 0.282
And again , " The Lord knows that the reasoning of the wise is futile . "
Na tena Bwana anajua mawazo ya wenye busara ni ubatili
.
1CO 3:21     Alignment score: 0.137 → 0.151
For this
reason , let no one boast in men . All things are yours ,
Hivyo mtu asijivunie wanadamu ! Kwa kuwa vitu vyote ni vyenu .
1CO 3:22     Alignment score: 0.572
whether Paul , or Apollos , or Cephas , or the world , or life , or death , or things present , or things to come . All things are yours ,
Kama ni Paulo , au Apolo , au Kefa , au dunia , au maisha , au kifo , au vitu vilivyopo , au vitakavyokuwepo . Vyote ni vyenu ,
1CO 3:23     Alignment score: 0.767
and you are Christ 's , and Christ is God 's .
na ninyi ni wa Kristo na Kristo ni wa Mungu .
1CO 3     Average alignment score: 0.38 for 23 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 1CO:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16