Alignment Visualization        
English – Swahili
December 10, 2025 at 21:46
       
Search
Bible
Sample: % orauto
Max:  
       
Script ualign.py version 0.0.8
By Ulf Hermjakob, USC/ISI

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 1CO:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16 


1CO 16:1     Alignment score: 0.394
Now concerning the collection
for God 's holy people : as I instructed the churches of Galatia , so you are to do .
Sasa , kuhusu michango kwa ajili ya waumini , kama nilivyo elekeza makanisa ya Galatia , vivyo hivyo mwapaswa kufanya .


1CO 16:2     Alignment score: 0.218
On the first day of the week , each of you is to put something aside and store it up as he may prosper . Do this
so that there will be no collections when I come .
Katika siku ya kwanza ya wiki , kila mmoja wenu aweke kitu fulani kando na kukihifadhi , kama muwezavyo . Fanyeni hivyo ili kwamba kusiwe na michango wakati nikija .
1CO 16:3     Alignment score: 0.253 → 0.242
When I arrive , to whomever you approve , I will give letters of introduction to them and will send them with your gift to Jerusalem .
Na nitakapofika , yeyote mtakayemchagua , nitamtuma pamoja na barua kutoa sadaka yenu huko Yerusalem
.
1CO 16:4     Alignment score: 0.271
If it is appropriate for me to go also , they will go with me .
Na kama ni sahihi kwa mimi kwenda pia , watakwenda pamoja nami .
1CO 16:5     Alignment score: 0.415 → 0.443
But I will come to you when I pass
through Macedonia . For I will pass through Macedonia .
Lakini nitakuja kwenu , wakati ninapitia Makedonia . Kwa kuwa nitapitia Makedonia .
1CO 16:6     Alignment score: 0.319
Perhaps I may stay with you or even spend the winter , so that you may help me on my way , wherever I go .
Labda naweza kukaa nanyi au hata kumaliza majira ya baridi , ili kwamba muweze kunisaidia katika safari yangu , popote niendako .
1CO 16:7     Alignment score: 0.173 → 0.173
For I do not wish to see you now for only a passing visit . For I hope to spend more time with you , if the Lord permits .
Kwa kuwa sitarajii kuwaona sasa kwa muda mfupi . Kwani ninatumaini kukaa nanyi kwa muda fulani , kama Bwana ataniruhusu .
1CO 16:8     Alignment score: 0.683
But I will stay in Ephesus until Pentecost ,
Lakini nitakaa Efeso mpaka Pentekoste ,
1CO 16:9     Alignment score: 0.25 → 0.256
for a wide door has opened for me , and there are many adversaries .
kwa kuwa mlango mpana umefunguliwa kwa ajili yangu , na kuna maadui wengi wanipingao .
1CO 16:10     Alignment score: 0.321 → 0.335
Now when Timothy comes , see that he is with you unafraid , for he is laboring at the work of the Lord , as I am doing .
Sasa wakati Timotheo akija , muoneni kwamba yuko na ninyi pasipo kuogopa , anafanya kazi ya Bwana , kama ninavyofanya .
1CO 16:11     Alignment score: 0.319 → 0.321
Let no one despise him . Help him on his way in peace , so that he may come to me . For I am expecting him to come along with the brothers .
Mtu yeyote asimdharau . Mumsaidie katika njia yake kwa amani , ili kwamba aweze kuja kwangu . Kwa kuwa ninamtarajia aje pamoja na ndugu .
1CO 16:12     Alignment score: 0.394 → 0.394
Now concerning our brother Apollos , I strongly encouraged him to visit you with the brothers . But it was not at all his will that he come now . However , he will come when the time is right .
Sasa kuhusiana na ndugu yetu Apolo . Nilimtia moyo sana kuwatembelea ninyi pamoja na ndugu . Lakini aliamua kutokuja kwa sasa . Hata hivyo , atakuja wakati ana nafasi .
1CO 16:13     Alignment score: 0.169 → 0.174
Be watchful , stand fast in the faith , act like men , be strong .
Muwe macho , simameni imara , mtende
kama wanaume , muwe na nguvu .
1CO 16:14     Alignment score: 0.376
Let all that you do be done in love .
Basi yote myafanyayo yafanyike katika upendo .
1CO 16:15     Alignment score: 0.392 → 0.393
You know the household of Stephanas , that they were the firstfruits of Achaia , and that they have devoted themselves to the service of God 's holy people . Now I urge you , brothers ,
Mnaijua
kaya ya Stefana . Mnajua kwamba walikuwa waamini wa kwanza huko Akaya , na kwamba walijiweka wenyewe kwenye huduma ya waumini . Na sasa nawasihi , kaka na dada zangu ,
1CO 16:16     Alignment score: 0.166
to be in submission to such people and to everyone who helps in the work and labors with us .
kuweni wanyenyekevu kwa watu kama hao , na kwa kila mtu anayesaidia katika kazi na watenda
kazi pamoja nasi .
1CO 16:17     Alignment score: 0.335
I rejoice at the coming of Stephanas , Fortunatus , and Achaicus . They have made up for your absence .
Na ninafurahi kwa ujio wa Stefana
, Fotunato , na Akiko . Wamesimama mahali ambapo ninyi mgepaswa kuwa .
1CO 16:18     Alignment score: 0.27
For they have refreshed my spirit and yours . So then , acknowledge people like them .
Kwa kuwa wameifurahisha roho yangu na yenu . Kwa hiyo sasa , watambueni watu .
1CO 16:19     Alignment score: 0.512
The churches of Asia send greetings to you . Aquila and Priscilla greet you in the Lord , with the church that is in their home .
Makanisa ya Asia wametuma salamu kwenu . Akila na Priska wanawasalimu katika Bwana , pamoja na kanisa lililoko nyumbani kwao .
1CO 16:20     Alignment score: 0.341 → 0.365
All the brothers greet you . Greet one another with a holy kiss .
Kaka na dada zangu wote wanawasalimu . Salimianeni kwa busu takatifu .
1CO 16:21     Alignment score: 0.417
I , Paul , write
this with my own hand .
Mimi , Paulo , naandika hivi kwa mkono wangu .
1CO 16:22     Alignment score: 0.193 → 0.258
If anyone does not love the Lord , may he be accursed
. Our Lord , come !
Kama yeyote hampendi Bwana , basi laana iwe juu yake . Bwana wetu , njoo !
1CO 16:23     Alignment score: 0.546
The grace of the Lord Jesus be with you .
Neema ya Bwana Yesu iwe nanyi .
1CO 16:24     Alignment score: 0.614
My love be with you all in Christ Jesus .
Upendo wangu uwe pamoja nanyi katika Kristo Yesu .
1CO 16     Average alignment score: 0.339 for 24 sentences.     Evaluation statistics page

Old Testament:GEN  EXO  LEV  NUM  DEU  JOS  JDG  RUT  1SA  2SA  1KI  2KI  1CH  2CH  EZR  NEH  EST  JOB  PSA  PRO  ECC  SNG  ISA  JER  LAM  EZK  DAN  HOS  JOL  AMO  OBA  JON  MIC  NAM  HAB  ZEP  HAG  ZEC  MAL 
New Testament:MAT  MRK  LUK  JHN  ACT  ROM  1CO  2CO  GAL  EPH  PHP  COL  1TH  2TH  1TI  2TI  TIT  PHM  HEB  JAS  1PE  2PE  1JN  2JN  3JN  JUD  REV 
Apocrypha:TOB  JDT  ESG  WIS  SIR  BAR  1MA  2MA  MAN 
Chapters of 1CO:1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  11  12  13  14  15  16